MIAKA 60 YA MUUNGANO || Hotuba ya Rais Samia kuhusu Muungano wa Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Taifa kuelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya Sherehe miaka 60 ya Siku ya Muungano.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @jeremiakyomola4413
    @jeremiakyomola4413 4 місяці тому

    Ningeshauri Madam serial zote mbili ziendelee kukaa na kutazama kwa ukaribu maendeleo ya Muungano na kuendelea kupanga mikakati mingine ya kudumisha Muungano. Mhe. tuna safari ndefu sana kutusu Muungano kwani Kuna wanaopinga muungano wengine wanasiasa, viongozi wa dini etc. ila tukiendelea kutupia macho vzr Muungano na kuendelea kuwapa elimu watanzania kuhusu muungano itasaidia Kudumisha Muungano. long live Tanzania, long live Madam President!!

  • @traveler.360
    @traveler.360 5 місяців тому

    The diplomat

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 5 місяців тому

    Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu kwa Hotuba hiyo nzuri.
    Eti kisiku hizi wanasemaga kuwa, ni Hotuba iliyoenda Shule jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani.