1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, (Wakipatana vema na wakipendana)2 2. Kama umande mzuri unyweshavyo shamba (Hivyo na Mungu wetu, abariki ndugu)2 3. Upendano hujenga boma zuri kwao, (wakae na amani waliookoka)2 4. Na ulimwengu wote wavutwa nuruni (halafu kundi moja na mchunga mmoja tu)2
1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, (Wakipatana vema na wakipendana)2
2. Kama umande mzuri unyweshavyo shamba (Hivyo na Mungu wetu, abariki ndugu)2
3. Upendano hujenga boma zuri kwao, (wakae na amani waliookoka)2
4. Na ulimwengu wote wavutwa nuruni (halafu kundi moja na mchunga mmoja tu)2
Nabarikiwa
asanteni sana Kwa wimbo huu na barikiwa