Poleni sana wazazi wa watoto mungu awatie nguvu maana hili nipingo kubwa sana mungu azilaze roho zao mahari pema bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina🙏🙏
Poleni sana baba namama kufiwa nawatoto wanne sio kazi mdogo hiyo nikazi yashetani maana mungu hapendi anasema waacheni watoto wadogo wote wake kwangu mungu awatie nguvu sana😂😂
Daa mshkuru mungu kwa ulicho nacho mala nyingi tunasema watoto ndokila kitu lakini sikuizi imekuwa viseversal yaan nimatatizo tu jamani tuishi nawatu kwa akili kama nimpango wake Allah sawa anakijua anachofanya poleni sana familia
Haya maganga yenu ya kienyeji yatawamaliza msipo badilika ndugu zangu mi msukuma kabisa na nimezaliwa somanda Hospital hawa watu wapewe elimu hawajitambui kabisa wanaona Hao waganga ni miungu yao
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
mbona haikubali
Hii dunia inamitihan mikubwa mno unaamka asbhi huna watoto tena kwa mkupuo4 daaa inaumizaaa sanaaa munguuu tuponyee cc wanao
YESU NAOMBA TEMBELEA FAMILIA HII.WEWE NI MUNGU UONAYE SIRINI.
Amen
Allahu akibarr. Inalillahi wainaipahi rajuun. Poleni wazazi Allah awape subra.
Pole sana mama kwa msiba mkubwa muwenyezi muungu akupeni uvumilivu kazi ya mola haina makosa mola atakupatieni wengine amin
Tutajiuliza sana majibu hakuna Mungu wewe wajua sababu,duh!
Inaweza kuwa wamekula majani ya sumu au ouya wenye sumu.. Kuna mti una majani mapana huu ni sumu sana..
Mungu iguse hii familia 🙏🙏🙏🙏
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki Mungu atutie nguvu.
Pole sana mama wa familia, pole baba wa family
Pole sana Mungu akupe nguvu na uwe na amani watoto wako wapo kwa Mungu,wala usilie Mungu atakupa wengine
Poleni sana jamani kwa kupoteza watoto wote hao Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu kwenu
Pole Sanaa Familia
Mungu awatie Nguvu Sana
mungu awaweke mahali pema peponiii🙏🙏🙏
Sasa wanazikaje bila kufanya posmotam miili hiyo.kikowapi kitengo cha upelezi 😢😢
Bwana yesu Aingie kwemye family hii awaponye
Duuh!😢😢 mtihani wallah
Allah akupe subira ,pole sana
Haiwezekani Mimi Kama Mimi nimewaza hawa watoto😢😢watakua wamekula matunda pori yenyesumu😢😢siojambo lakawaida akika😢😢mungu nisamee😢😢 nimawazo yangu mafupi😭😭😭😭😭😭
Katika hali ya Ubinadamu huwezi acha kuwaza
Kwelii@@Carolina-sm5zt
Polen sana jamn dah inauma sana mungu awatie nguv Wana familia
Poleni sana wazazi wa watoto mungu awatie nguvu maana hili nipingo kubwa sana mungu azilaze roho zao mahari pema bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina🙏🙏
Duuuh pole sana mungu awatie nguvu katika kipndi hiki kigumu
Poleni sana wazazi MUNGU hajawasahau atawasimamia
Mungu azidi kuwatetea familia yahawo wazazi
Poleeeeen, mungu awatie nguvu katika kipind hikii
Duh Mungu awape pumziko la amani watoto wazuri na faraja kwa wazazi
Mh! poleni sana jamani niwazavyo Mimi inaweza kuwa nguvu za Giza sumu wasingeumwa vichwa na huenda wako msukuleni
Nimejifunza kitu hapa ELIMU NI SILAHA YA KWANZA DUNIANI ✍️😢
Poleni sana.Mungu awatie nguvu.
Poleni Sana familia ila ni maumivu makubwa
Inauma sana,tukubarii ni mapenzi yake mungu
Mungu awafariji poleni sana
Poleni sana baba namama kufiwa nawatoto wanne sio kazi mdogo hiyo nikazi yashetani maana mungu hapendi anasema waacheni watoto wadogo wote wake kwangu mungu awatie nguvu sana😂😂
Poleni sana wazazi Mungu awatie nguvu😢😢😢😢
Duniani tunapita mungu atusaidie
Polen sana wafiwa
Ni vigumu kuvaa viatu hivi😢😢
Lazima itakuwa sumu jamani. Miili Yao ingechunguzwa.
Yawezekana wamekula kitu chenye sumu
Waandishi kuweni na huruma huyu mama anamaumivu makali sana😢muwe mnaacha wanapumziha jamani nfo mnawahoji
Daa mshkuru mungu kwa ulicho nacho mala nyingi tunasema watoto ndokila kitu lakini sikuizi imekuwa viseversal yaan nimatatizo tu jamani tuishi nawatu kwa akili kama nimpango wake Allah sawa anakijua anachofanya poleni sana familia
watu wa huku wanaamini zaidi dawa za kienyej kuliko hospital hata wakipewa dawa za hospital lazima atumie na za kienyeji yote kwa yote polen sana
Pole mpenzi mungu akupe nguvu
Inauma sana.ila tukubari mapenzi yake mungu
Poleni sana ndugu zetu mungu azidi kuturehemu
😢😢😢 inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia
Dada OKOKA KRISTO YESU MWOKOZI AKUPIGANIE KILA VITA KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIE HAI
Ko ukiokoka.hufiwi au haufi
Hapo sasa@@khadjamhozya
@@khadjamhozyalabda walookoka hawaf anaacha kumuombea faraja mwenzie anamp mambo magumu Tena jaman waja!!
Pole sana kiatu chako ni kigumu kwakwel
mungu ni kimbilio la wenye shida
Duh mtihani kwa kweli 😢
Muuh!poleni sana jamani ..nipigo kubwa mno.mungu awasimamie katika kipindi hili kigum
Dunia ina mambo mazito hakika bila subira unaweza kukufuru.
Pole. Sana mdogo. Wangu. Mungu akutie nguvu
Dah! inauma sana😢😢😢😭
Daah polen sana🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana 😭😭mungu awape subra kwa msiba huo msiba mzito 😭😭😭
poleni
Jaman Pole sana
Inalilah wa inalilah rajuhun wapumzike kwa Amani 🙏😭😭😭😭😭 Allah awashike mkono wana family wote da inauma san
Kwa huo mkoa 🙌 nahis yawezekan uchawi kwann UGONJWA ufanane
Jamam 😢 polen sana wazazi wenzangu jamna inauma😢
ELIMU NI SILAHA YA KWANZA DUNIANI😢🎉
Mungu awatie nguvu
Mungu awatieni nguvu poleni sana
Inaweza kuwa walikula sumu? Au chakula kama mihogo yenye simu maana kuna aina fulani ina sumu. Au pengine matunda ya msituni yenye sumu.
Oooh yesu wangu
Haya maganga yenu ya kienyeji yatawamaliza msipo badilika ndugu zangu mi msukuma kabisa na nimezaliwa somanda Hospital hawa watu wapewe elimu hawajitambui kabisa wanaona Hao waganga ni miungu yao
Mh kunawatu wanamitihan mizitoMungu akuti nguvu😢
Mungu husika
Poleni sana jamaniii watoto wate kwel Dunia haina huruma
Pole sana wazazi.
Jamani lisikie Kwa mwenziotu linauma sana
Lailaha ila llah duh innalillah wa inna ilaihi rajiuun polen sn
Subhanallah yaarab ipe subra familia hii Inna Lillah wainna ilayhi rajioun
Maskiniii Mbona Inauma Saana Jamanii 😢😢😢 Poleni Sana Wafiwa Watoto 4 Subhannallah Innalillah Wainna ilayhim Rajiuun
Serikali inasema hakuna mchawi waone sasa
Mganga mkuu arikuwa amejitahidi kabisa, japo wote warifariki
dah kweli hii dunia inatupeleka wapi jaman polen san dah kweli inauma
Pole sana
Poleni sana
Mungu waguse hawa watoto
Poleni sana wazazi wenzangu Mungu awatie nguvu ktk hili
Ametaja majina ya watoto wake ad machoz yamenitoka 😢😢😢
Halllooo inaumiza sana
Maskini poleni sana dah😢😢😢
Poleni sana jamani
Da MUNGU WANGU, INAUMIZA KWELI...... BWANA AKUPE FARAJA JAMANI
Hao wasukuma wahimizwe wamwamini na Yesu waachane na waganga muda umekwesha wakuwaamin waganga. Pia huyo mama yao marehemu ahojiwe.
Subhanallah
Innallah wainaylaih rajyn
Mungu awape subra wafiwa
poleni sana inauma kwakweli😢😢😢
Pole sana dada kazi ya mungu haina makosa sote niwake na kwake tutarejea mwenyezi mungu Awarehem kikubwa dua to🤲🤲🤲
acha masihara wewe ,eti kaz ya Mungu
Et kaz ya Mungu haina makosa?? Mbona Mungu anasingiziwa sana
Jamani mngu wangu mpe subra uyo mama anapitia hali ngu pole sana mama wa tatoto
Pole saana
Pole mama 😢😢
Mganga wa kienyej anatakiwa ashikiliww😭😭😭😭😭
Poleni ndugu zang
Aiseeee pole sana
Jaman polen Kwan mtihan huo mliopi
Pole sana mdogo wangu tunaumia sana sote Mungu akukumbuke katika hii😢😢😢😢
Pole sana mama mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu 😭😭
Watoto waxuri sn jamani,Walale mahali pema peponi.
Polen sana wafiwa mungu awatie nguvu 😢