DC Mwihoko (KARURA VOICES - Nitakaa Na Wewe, Mzabibu)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- LYRICS
Nikiwa ndani yako na wewe ndani yangu,
Mzabibu wa kweli Sitanyauka
Umenipa uhai, ukanipa uzima
Nikiwa ndani yako sitanyauka
Wewe zabibu kweli nitakaa nawe
Nawe Nawe nitakaa nawe (echo)
Wewe maji ya uzima nitakaa nawe.
Nawe Nawe nitakaa nawe (echo)
Wewe mkate wa uhai nitakaa nawe
Nawe Nawe nitakaa nawe (echo)
Mimi ni kama mti uliyo kando ya mto,
Kwa nyakati zote sitanyauka.
You guys ateeeee✨💅🏽💋