DIAMOND amkingia kifua ZUCHU baada ya kumkana kwenye YOUNG,FAMOUS & AFRICAN,adai Yale ni maigizo tu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 50

  • @SamuBosco-vm5uc
    @SamuBosco-vm5uc 4 дні тому +16

    Leo niko wakwanza mnipe like zangu🇺🇬🇺🇬👋👋

  • @ChifBurundi-q7o
    @ChifBurundi-q7o 4 дні тому +4

    Napenda kuona habarizako unajuw kutangaza 🙏 nc sn Mim natokea burundi

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 дні тому +2

    Simba🥂❤️

  • @VenancioHoracio-ty3hk
    @VenancioHoracio-ty3hk 4 дні тому +3

    ❤❤❤

  • @neitherherenorthere8367
    @neitherherenorthere8367 3 дні тому +1

    Diamond anampenda sana Zuhura

  • @OliviaOlivia-rh1eb
    @OliviaOlivia-rh1eb 3 дні тому

    Am proud to be a ugandan team zari ❤❤🎉🎉🎉

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 4 дні тому +2

    Ally Rodric south Africa nakukubali Sana nawafata 5/5

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 2 дні тому +1

    He's not acting it's a reality show... Zuchu endelea kutumika

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 4 дні тому +3

    🙌👑🇹🇿 diamond

  • @rashidfatma2137
    @rashidfatma2137 3 дні тому

    Zuhura Baki Na Usanii Wako, Mungu kakupa Kipaji. Usi ayibuke Kwa Kutaka too much Money👍💯🥰

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 3 дні тому +3

    Kuna muda watu wanamponda sana DIAMOND kwa mambo yake,ila kiukweli kuna mengine mnatakiwa muige tu,yaani utake usitake kuna muda utamuelewa tu MOND,na utaiga anachomaanisha🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯anamaanisha muda mwingine,VUA MIWANI UACHE MACHO YAKO YASEMEZANE NA MACHO YA MWENZIO,sio umekomaa na miwani kama unachomelea MAGRIL,viungo vya mwili huwa vnaongea jamanii,ila watu hawavipi nafac yakuongea,🤣🤣🤣DIAMOND umetishaaaa💯🙏🙏🙏🙏

  • @upendokariro4252
    @upendokariro4252 4 дні тому +4

    Amewakata kilomolomo diamond amampenda zuchu ila wivu wa wanazengo ndio unaingilia mahusiano yao.

  • @GuvaMalik
    @GuvaMalik 2 дні тому

    Macho ya Bangi Kweli😂❤

  • @marciabrown1172
    @marciabrown1172 3 дні тому +5

    Jamani nyie watu mfikie mahali mwache kuwa wajinga mbona hiyo nimichezo ya kuigiza tu. Nashangaa kila mtu wanamsakama Zuchu acheni ushamba kaa! Mbona mmeachwa nyuma saana hamjui kutofautisha maigizo.

  • @ChrisMitindo-g3e
    @ChrisMitindo-g3e 4 дні тому +2

    Noma 😂

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 4 дні тому +5

    In YFA, Diamond kissing Fantana is real not fake na msidanganywe kwamba yule amevaa uhusika...total nonsense! This is a reality show...Zari is really married, Quincy is engaged, and those emotions are real. This is total embarrassment to Zuchu and damaging her psychologically...eti ana-act🤦‍♀️ There's no man with an opportunity to put his family together would refuse to do so...it's not true that he can have Zari with a snap of his fingers! Middle Simba you know better😂

    • @husseinpatel2956
      @husseinpatel2956 4 дні тому +3

      Hicho kizuu nikama hakina akili ivi hiyo ni reality show yee anajanzwa ni movie 🎬 anajiona anapendwa...what's the meaning of reality 😂😂😂😂

    • @esthermutabuzi4582
      @esthermutabuzi4582 4 дні тому +1

      @@husseinpatel2956 Thank you...wakati Diamond alikua anafurahia kupata mtoto na Fantana...it's not an act😓

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 дні тому +1

      ​@@esthermutabuzi4582and it's not his first time kumkana Zuchu, even before Zari alimwambia Fantana kama Diamond ana girlfriend Tz, Mondi akakana

  • @Nasi.B-g7u
    @Nasi.B-g7u 4 дні тому +2

    Much love from Kenya guys like back ❤❤

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 4 дні тому +7

    Leave Zuchu name out of this nonsense. ❤❤❤❤❤ Zuchu forever. 🇺🇸

  • @MwambaClever
    @MwambaClever 3 дні тому +3

    Maisha ya Diamond ni burudani Africa na Dunia💯☑️... Harmonize Mzee Popo kazi ya kuroga anayo 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 4 дні тому +2

    Ukipendana namtu unaaribu kazi na Zuchu akalime ama atoke wasafi

  • @IrakozeJuliette-so1iu
    @IrakozeJuliette-so1iu 3 дні тому +1

    Wati wanye roho mbaya wakiongonzwa na juma lokole

  • @nureybeka8195
    @nureybeka8195 3 дні тому +1

    Ku dat na huyu kiumbe inataka moyo wachuma😂weh

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 3 дні тому

    Shooting then aiming later....Poor her😢.

  • @aroundtheglobe8041
    @aroundtheglobe8041 3 дні тому

    Mimi wangu nilimturn on na hii macho yangu ya bangi😂😂

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 4 дні тому +2

    Wew ungeweza do utulie sasa mm wewe naijua iyo

  • @beckiemmbone2775
    @beckiemmbone2775 3 дні тому +1

    So even the kiss is faking eeeeiii men😅😅😅😅

  • @Kylayazzh
    @Kylayazzh 2 дні тому

    Ila middle simba😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JumaNyoni-ob2wz
    @JumaNyoni-ob2wz 2 дні тому

    Mshasema reality show🙄ninaendelea elewa neno reality

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 дні тому +1

    Ndio ni maihizo kwan ni kweli wnacho kifanya pale

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 3 дні тому

    sasa rialtyshow inamaanisha nini? si wanatakiwa waongee maisha halisi ila diamond 😂😂😂😂😂

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 дні тому +1

    Diamond aache kumponda zari mbona yeye mwenyewe alipouluzwa kwa nn ameamua kutoka na huyo mdada alisema kwa sababu zari alionyesha ana interest na huyo dj! Na wakamuuliza so what kwani hawapo pamoja! Kwa hiyo kama zari hangeanza basi wangekuwa wako close.

    • @user-se5lo7cl2f
      @user-se5lo7cl2f 3 дні тому +1

      Ndo nashanga na ni mzazi mwenziye

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 дні тому

      @@user-se5lo7cl2f mshenzi tu na ni muongo hata yeye anampenda Zari ndo maana hadi sasa hana serious relationship!

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 дні тому

    Sisi binadam sasa kila move ingekuwa uhalisiya basi majumba yangekufa

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 4 дні тому +1

    Kamuita zuhura, mmh!!!

  • @aishaz1
    @aishaz1 4 дні тому +1

    Iyo ni shoo wadaku nyie

  • @uwesumuhammadi6292
    @uwesumuhammadi6292 4 дні тому +3

    Nipe hata namba mzee hata dk bado nimewahi

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 4 дні тому +2

    What a joke Tanzania superstar in a reality show 🤣🤣🤣🤣

    • @TheKemi1976
      @TheKemi1976 4 дні тому +1

      And what's wrong with that?

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 4 дні тому +1

      @ Sorry don’t want to compare this at all but I’m sorry reality shows are stepping stones. It’s for people who are beginners . See here in America and again I don’t want to compare but you would never, never see our superstars in a reality show like never. That’s all I’m gonna say

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 дні тому

      ​@@joyhylton7901don't compare America and Africa

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 2 дні тому

      It's a reality show so we're not buying their acting

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 2 дні тому

    Diamond wewe ni fake, na ni player halisi. Just sad