Watching this movie from Qatar.... nimeipenda inaelimisha,na inatowa sumu katika roho za baadhi ya watu ambao wamekosa kuelewa umuhimu wa Maisha ya MTU...na ubaya wa ukabila na mengi....0%kwa uchafu.. 0%kwa maneno machafu.. 100%kwa kuelimisha jamii Pongezi Sana Kwa ma acter wote Kwa kazi nzuri na kufundisha watu na kutowa sumu katika nyoyo za watu.... you people your so talented 👍🏾
Brilliantly made, excellent acting and the themes are still relevant today, even a few years on from that "hot moment". Keep up the great work SAFE Pwani, you have been performing miracles all these years... much love❤
Watching this movie from Qatar.... nimeipenda inaelimisha,na inatowa sumu katika roho za baadhi ya watu ambao wamekosa kuelewa umuhimu wa Maisha ya MTU...na ubaya wa ukabila na mengi....0%kwa uchafu..
0%kwa maneno machafu..
100%kwa kuelimisha jamii
Pongezi Sana Kwa ma acter wote Kwa kazi nzuri na kufundisha watu na kutowa sumu katika nyoyo za watu.... you people your so talented 👍🏾
Kutoka tanzanian 🇹🇿🇹🇿 mmetixha san ila salma nampenda san siwezi ishi bila yeye😂😂 ❤❤❤
Happy to see my city mombasa 😍😍proudly kenyan
Kazi safi sana, Host wetu wa skype ni mrembo ajabu....Ma Shaa Allah
The world should understand that art is everything can change our life
mimi hata niko tuu speechless this movie is very very informative...kazi safi
Ningependa kujiunga nanyi najua kuigiza lakini sijapata support mnaeza nisaidia mi nmkaazi wa kilifi
Very wonderful story thank you brother 🙌 and sister from Australia 2021 respect
This it just like The dream of elibido , the movie how they incorporate the audience in the film. I like it good job.🇯🇲🇸🇳
Great work of Peace Building our community. Indeed, peace is expensive. Excellent piece of work!
Namimi nakupenda sana
Lovely work of art.Educative,tackling social and family issues wonderfully...Kudos to the cast and crew.
Great it's very educative.🇺🇬
😇😇😇such a great movie…please keep doing such movies
Wow!!! how did I miss this?? 🔥
Aaah! Hongereni saana kwa mchezo huu. Nimeipenda sana
Hongera kwa kazi nzuri...
Brilliantly made, excellent acting and the themes are still relevant today, even a few years on from that "hot moment". Keep up the great work SAFE Pwani, you have been performing miracles all these years... much love❤
Napenda sana kazi yake Aisha Mwajumlah, hongera kwa kazi hiyo, Mungu akubariki
Awesomeness right there. Kudos
Elimu Tosha!
Hongera kwa kazi nzuri.
So so awesome. The actors, the story and the initiative is so fantastic. Brilliant work of art
Great work of art
Wow big up fans am watching form saudi Arabia love for my kenyan artists muko hot fire 🔥 😍 👌
Great movie.. thanks🇬🇧
Such lovely work... Pround of you guys.
Educative
Nime penda sana tena sana kwani hii Ni elimu tosha hongereni sana mume fanya kazi Mimi Nina ishi Zanzibar jina langu feisal foum Saleh
Nice one
Kazi Poa sana 100%
Hello guys we are meta Entertainment from Mariakani
Hii movie iko juu 2021
Woow... interesting....😱😱I need a friend
Ama kweli hii sinema ni funzo kuu mno, nawaombeeni nyote mlo sadikisha hii kazi, maulana awajilie furaha na ujasiri ili mzidishe kuelimisha na wengi.
Kazi nzur👏👏
Pure talent!👌👌
I need a Kenyan friend.. who's up? I'm a Ghanaian
Sylvester Anokye hey im Kenyan Hmu on snap @tbubblegumw
Yooooh
Mm kiukweli naridhika ninapo angalia movies alo cheza nimimi
Ila nimetaka kuuliza hiii historia ilipitikana lini Mombasa
big good shit
Nawaona Rama na Modi hapo, jengine na furahia kwa bidiii yenu ya kuleta elimu kwa jamii yetu ya pwani na Kenya. Pogenzi nyoteni.
😂😂😂hapo kwa karate nimekwisha mimi😂😂😂
mumetisha
What’s the name of the first song…I loved it
Is this the full movie
nice film my future wife city
👏👏👏✔✔
Ikopao sn
28:25 hahahaaaaa
Aki imeni sisimua
Some familiar faces ,anyone with Ali phone number .The guy with Chelsea jersey.Would appreciate if I can get his contacts.
Ni Mimi...umkali dada kipenzi.