#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 13

  • @zehrarico1830
    @zehrarico1830 2 роки тому +2

    Wanaume WA bongo ni changamoto Sana kabla ya kuzaa na mtu ni vizuri kuwa na uhakika na kufatilia historia ya familia zao familia nyingine ni za ovyo Sana

  • @violamarcos2780
    @violamarcos2780 2 роки тому

    Nakupenda sana suzy mama cheusi

  • @eduwadylelya
    @eduwadylelya 2 роки тому +1

    Leo umekutana na kiboko kazi unayo😀😀😀

  • @florabetord9010
    @florabetord9010 2 роки тому +2

    Watu wa tanga awajui maana ya kuchezwa

  • @mishishekhe7426
    @mishishekhe7426 Рік тому

    Diva kuchezwa kwa mwanamke ni 2 kufundwa ya kuvunja ungo Yan kubalekhe, na kufundwa kwa kumfanyia mume upo

  • @glorymbata9195
    @glorymbata9195 2 роки тому +3

    Ninavyojua Mimi kuchezwa ni kufundishwa usafi,heshima,lakini siyo mambo ya kumuandaa bwana haya ni wakati wa kuandaa mambo ya ndoa

    • @mwanakheri169
      @mwanakheri169 2 роки тому +1

      Kabisaaaa na hiyo ndo maana hasa ya kuchezwa(kufundwa)

  • @mwajumasaidi3592
    @mwajumasaidi3592 2 роки тому

    Zipo tena uziguani bado zipo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +1

    Suzy wa jakaYa

  • @mwajumasaidi3592
    @mwajumasaidi3592 2 роки тому

    Na ukiolewa unafundishwa jins ya kuweza kuishi na mume

  • @emmanuelmisaac724
    @emmanuelmisaac724 2 роки тому +1

    Iki kipindi kinafundisha watoto tabia mbaya tena kwa uwaz kibasa

  • @mwajumasaidi3592
    @mwajumasaidi3592 2 роки тому

    Wazingua ukichezwa ukivunja ungo ni unajifundisha jins ya kuwa msafi napia unapewa tahadhali ya kupewa mimba uache kuwa na ukalibu na wanaume

    • @zehrarico1830
      @zehrarico1830 2 роки тому

      Nakumbuka Mimi nillipigwa Hadi stop ya kucheza rede lakini sikuchezwa niliambiwa Tu tahadhali 😂😂😂😂 sina hamu wenzangu wanaruka Mimi nimetulia pembeni nikikutwa nacheza fimbo zake sasa sijui walikuwa wananionea au vipi