Ankie Dynamite Ft Bonny Mars-Baba Umenishikilia (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 10 тра 2024
- Welcome to The Vibrations Album 2024
Instagram- official_an...
Facebook- / deebaster
Twitter- Ankie Dee
Tiktok- www.tiktok.com/@ankiedee?_r=1...
#afrobeat #soulfulmusic #vibrations
Audio: Ankie Dynamite
@DjNyazzstudios
VERSE 1
Wacha nikushukuru kwa wema na fadhili (1 chronicles 16:34)
Mimi nitakuabudu katika roho na kweli
Naomba unipe nguvu kama Samsoni
Hekima ka Suleimani
Kama Yakobo Unibariki
kamwe mi sikuachi
Najua maadui wamenizunguka
Kuniangamiza
Lakini umenishika kwa mkono wako
Mi siezi anguka
CHORUS
Baba Umenishikilia Shi Shi Shikilia
Baba Umenishikilia Shi Shi Shikilia
Kweli Umenishikilia Shi Shi Shikilia
Baba Umenishikilia Shi Shi Shikilia
VERSE 2
Alpha na Omega, mwanzo tena mwisho
Nikiwa na wewe sitaogopa vitisho
Ntakupa sifa kila siku everyday
Kama Daudi mimi nitacheza
Not for the money
Not for the cars
Thanks for the Grace
Vile Inafaa X2
Umenijaza na roho na mtakatifu
Niweze kueneza neno lako kote
Nishagundua kwamba wewe mwaminifu
Haufananishwi na binadamu yeyote
Umenishikilia
Kanijaza nguvu
Umenipa uwezo
Jehova El Sai