She is singing what is exactly happening in the church of CHRIST ! Sarakasi tosha kwenye Nyumba ya Mungu 😢😢.Very unbearable. Mungu kwa kweli atusamehe sana .Asante sana Nkone
Mimi nikae miguuni pako, ninaomba Baba unifundishe, Roho wa Mungu mwalimu mema ninaomba baba unifundishe, naogopa kuchwa na wewe Baba................,Amen mama Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu🙏🙏
Amen dada upendo nkone uyu nimwimbaji peke MKONGWE AMBAE HACHEZEI MADHABAHU YANI ALOSIMAMA BILA KUKENGEUKA(NDOA MARA MBILI,KUA ,AU BILA UMALAYA) HANA SKENDO,MUNGU ENDELEA KUMRINDA.
Nabarikiwa sana napata bubujiko na amani tele ndani yangu, nabarikiwa na roho wako ananipatia amani, asante Mungu kwa kumtumia Mama huyu kutuinjilisha❤❤
Ubarikiwe mama hizi ndo nyimbo zinazoitajika hasa kwadunia tulionae kwa sasa... maana mungu isipokuwanasi mwishowetu utakuwa mbaya, mungu akujalie kukupe nguvu na akuwezeshe pia ili uzidi kutulisha kiroho...kama umebarikiwa tujuwane kwa likes 10000...........
She stood to the same tree and the same garden to minister to the world. For the past 10 years her songs have healed millions from depression and saved souls which lost hope . God bless you my sister

Wakenya fikeni hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Mungu mkubwa🙏🏾🙏🏾, finally I’ve been waiting for songs like this for a long time🤩🤩 Mungu akubariki mama😍🥰
Nabarikiwa sana napata bubujiko na amani tele ndani yangu, nabarikiwa na roho wako ananipatia amani, asante Mungu kwa kumtumia Mama huyu kutuinjilisha❤❤
Ooh hallelujah kma tumebarikiwa pamoja like
Nami najiunga nawe dada pendo ktk ombi hili (nikaye munguuni pa Mungu nifundishwe naye..) barikiwe sana.
Wimbo mzri una mafundisho makubwa, barikiwa my dear,Mimi nikae miguuni pako nisiondoke.
Ubarikiwe mama hizi ndo nyimbo zinazoitajika hasa kwadunia tulionae kwa sasa... maana mungu isipokuwanasi mwishowetu utakuwa mbaya, mungu akujalie kukupe nguvu na akuwezeshe pia ili uzidi kutulisha kiroho...kama umebarikiwa tujuwane kwa likes 10000...........
Psalms 91=>kukaa na wewe BWANA ni shauku langu, natamani nipandishwe juu nawe YESU, wimbo mkubwa mama🙏🇰🇪🇰🇪
What an emotional worship song🥺🥺 may anyone who listens to this be blessed ✨🙏
Every time I listen to Upendo songs my soul feels uplifted
She stood to the same tree and the same garden to minister to the world. For the past 10 years her songs have healed millions from depression and saved souls which lost hope . God bless you my sister
Aaaaaaaaah Mimi Nikae Miguuni Pako....Nifundishwe Nawe
Dada MUNGU wa mbinguni akutunze na uendelee kumtumikia yeye katika roho na kweli.
Asante kwa wimbo mzuri sana. Mimi nikae miguuni pako, ninaomba Baba unifundishe. Hallelujah
Naomba roho wa mungu awe mwalimu wangu aniongoze nifuate njia inayompendeza mungu.
Kweli mama iyi wimbo inapenya MUNGU akutiye nguvu kwa kazi unayo ifanya kila leo kweli Mama tunaongezewa imani kupitiya nyimbo zako🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hakika ndani ya wimbo huu namuhisi Mungu aliye hai ,,,