Mwenyezi Mungu awabariki sana na aendelee kuwatumia nimefurahishwa pia kwa ujumbe mzuri wa kuanza na mwaka Tutautafuta kwanza ufalme wa Mungu kwa bidii na Mungu atusaidie sote kutimiza kusudi lake juu yetu
KWA DUNIA YA SAFARI HII KWA KAWAIDA TUNGEANZA NA VITU VYA DUNIA HII KWANZA NAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA AMETUPA WATUMISHI AMBAO WAMEKUWA WAKITUKUMBUSHA JUU YA KUYAPA MAMBO YA MUNGU KWANZA KABLA YA KUSUMBUKIA MAMBO YA DUNIA HII MUNGU AWABARIKI SANA🙏🙏 18:14
Huu ni ukurasa mpya tulio wengi tunajenga nyumba zetu kwanza hata kama unatoa kipaumbele ni nyumba zetu kutaka kujua hili piga hesabu michango tunayotoa Kwa ujenzi wa nyumba ya mungu na zetu Kwa MMOJA Moja tuone mzani unazidi wap mungu atupe tu Neema Kwa kweli mbariki sana Kwa somo tu zuri❤❤❤❤
Amina mubarikiwe sana wachungaji wangu🙏🙏
Hii kubwa Sana🎉
Tunawashukuru sana watumishi wa Mungu kwa kutuanzishia mwaka vizuri.
woow ahsante sana kwa somo zuri
Hili limetufungua Sana nimefurai Sana kumuona Mwalim wangu wa kiyunani japo nilikikimbia.
Amina!
Mwenyezi Mungu awabariki sana na aendelee kuwatumia nimefurahishwa pia kwa ujumbe mzuri wa kuanza na mwaka
Tutautafuta kwanza ufalme wa Mungu kwa bidii na Mungu atusaidie sote kutimiza kusudi lake juu yetu
Mbarikiwe sana Watumish wa Bwana kupitia ENEZA TV
KWA DUNIA YA SAFARI HII
KWA KAWAIDA TUNGEANZA NA VITU VYA DUNIA HII KWANZA
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA AMETUPA WATUMISHI AMBAO WAMEKUWA WAKITUKUMBUSHA JUU YA KUYAPA MAMBO YA MUNGU KWANZA KABLA YA KUSUMBUKIA MAMBO YA DUNIA HII
MUNGU AWABARIKI SANA🙏🙏 18:14
Nimefurah sana kumskia Mwalimu wangu wa Divinity ❤❤
Amen mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Huu ni ukurasa mpya tulio wengi tunajenga nyumba zetu kwanza hata kama unatoa kipaumbele ni nyumba zetu kutaka kujua hili piga hesabu michango tunayotoa Kwa ujenzi wa nyumba ya mungu na zetu Kwa MMOJA Moja tuone mzani unazidi wap mungu atupe tu Neema Kwa kweli mbariki sana Kwa somo tu zuri❤❤❤❤
Wawoooho Ujumbe mzuri Sana lakini pia safari ya eneza Tv ni njema si jambo jepesi kujenga kanisa kwanza kabla ya kujenga nyumba hii inahitaji wito
Tunashukuru kwa huduma hii.
Amina!