Zari awachana wanaosema kajichubua, adai zamani hakukuwa na camera nzuri, ila yuko hivi toka kitambo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 7

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    kwani hawa watu wanaowasema wasanii ni kina nani😊,,vipi kuhusu wao😊...au ndo maisha asiye na kitu kumchukia mwenye nacho😊...afu ata ivo inakuhusu nn ww akiwa mweupe au mweusi😊,,,mitandao imekuja kutuharibia tanzania yetu...majitu yamekuwa mafala kichiz...

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Місяць тому

    Wamekosa byakusema . Njo rangi yake iyo

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j Місяць тому

    Zari iko naw ranging anaonekana tuu

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Місяць тому

    Hivi haters wanaishi wapi wanaendesha magari gani wanamiliki nini

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 Місяць тому +1

    Atuashe mbona iyo ragi kwa Diamond ayikuwa

    • @rajuxcharity
      @rajuxcharity Місяць тому

      Acheni roho mbaya hata baba yake mweupe kabisa

    • @akimanaarlene851
      @akimanaarlene851 Місяць тому

      Ww hujui family yake 😂😂zari toka zamani