Air Tanzania Company Limited (ATCL)
Air Tanzania Company Limited (ATCL)
  • 79
  • 313 139
Air Tanzania Cargo
It's our business to move your business. Please contact us at 0736787721 for more information about our cargo services.
Safirisha mzigo wako nasi kwa haraka na usalama. Wasiliana nasi kwa namba 0736787721 kwa maelezo zaidi.
#FlyAirTanzania
#cargo
#cargoservices
Переглядів: 15 649

Відео

THE NEW BOEING 787-8 WATER SALUTE
Переглядів 2199 годин тому
Boeing 787-8 Dreamliner imepokelewa kwa heshima ya kumwagiwa maji kwenye Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Zanzibar. Boeing 787-8 Dreamliner water salute celebration after a smooth touchdown at Abeid Amani Karume International Airport, Zanzibar. #airtanzania #FlyAirTanzania #mbawazaviwango #airtanzaniapremiumwings #TheWingsofKilimanjaro
Crew briefing before B787-8 Dreamliner departure from Charleston, SC, USA
Переглядів 1569 годин тому
Hivi ndivyo ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ilivyoanza safari kutoka Charleston, Marekani. Crew briefing before B787-8 Dreamliner departure from Charleston, SC, USA #FlyAirTanzania #mbawazaviwango #airtanzaniapremiumwings #TheWingsofKilimanjaro
MAPOKEZI YA NDEGE MPYA BOEING 787-8 DREAMLINER, ZANZIBAR
Переглядів 62019 годин тому
Mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner tarehe 19/08/2024 kwenye uwanja wa kimataifa ya Amani Abeid Ka#rume, Zanzibar. #airtanzania #automobile #aviation @millardayoTZA @globaltv_online @TBC_Online #travel
TWIGA WA KIJANI
Переглядів 5514 днів тому
#airtanzania #environment #automobile #travel
SABASABA 2024
Переглядів 27Місяць тому
SABASABA 2024
KIFURUSHI KIPYA CHA MUMBAI
Переглядів 29Місяць тому
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Hospitali ya Kokilaben iliyopo Mumbai, India inapenda kuwajulisha wateja wao kuwa imezindua kifurushi cha safari na afya kuanzia tarehe 16 Julai hadi 16 Oktoba, 2024. Kifurushi cha safari na afya kitawawezesha wagonjwa kufanyiwa vipimo kwenye mashine zinazotumia teknolojia ya juu kabisa kwa gharama nafuu. Kifurushi hiki kitajumuisha gharama z...
AIR TANZANIA - VIA AVIATION PREMIUM EXPERIENCE LAUNCH
Переглядів 73Місяць тому
Tunapenda kuwajulisha wateja wetu kuwa leo tarehe 03 Julai 2024 jijini Mwanza tumezindua huduma ya chumba cha kupumzikia abiria wetu wa daraja la biashara na wanachama wa Twiga wa daraja la dhahabu (Gold members) kilichopo katika Kiwanja cha Ndege Mwanza ili kuendelea kuwapa uzoefu bora zaidi wa safari yao. Kutokana na idadi kubwa ya abiria wanaosafiri nasi, tuliona ni wakati sahihi wa kuingia ...
Twiga business lounge
Переглядів 40Місяць тому
Make your trip to Dubai unforgettable from the moment you step into Air Tanzania's Twiga Lounge. Enjoy premium services designed for your comfort and pleasure and transform your pre-flight wait into a luxurious experience. Book your direct flight to Dubai today and discover the difference. Visit www.airtanzania.co.tz or download our mobile app for more information. #FlyAirTanzania #twigalounge ...
HABIBI!, LET'S GO TO DUBAI
Переглядів 512 місяці тому
Habibi, twende dubai! Furahia safari za moja kwa moja kwenda Dubai kwa gharama ya $399 tiketi ya kwenda na kurudi. Safari ni kila Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili. Book safari yako kupitia tovuti yetu www.airtanzania.co.tz au pakua app yetu Play Store au App Store. . . Habibi, let's go to Dubai. Enjoy direct flights to Dubai every Monday, Wednesday, Friday, & Sunday, with a return fare of...
AIR TANZANIA STAKEHOLDERS ENGAGEMENT BASH
Переглядів 1092 місяці тому
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetanua mtandao wake wa kimataifa kwa kuanzisha safari za Dubai, Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mpango wake wa Biashara na hivyo kufikia vituo vitatu (3) vya kimataifa ambavyo ni Dubai, Mumbai na Guangzhou. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL Mha. Ladislaus Matindi amesema hayo wakati wa Kongamano la wadau wa ATCL lilofanyika katik...
LIPIA TIKETI YAKO KWA KIBUBU
Переглядів 1013 місяці тому
LIPIA TIKETI YAKO KWA KIBUBU
TWIGA WA KIJANI
Переглядів 203 місяці тому
TWIGA WA KIJANI
TWIGA LOUNGE
Переглядів 1383 місяці тому
TWIGA LOUNGE
AIR TANZANIA NA YANGA S.C WA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA KUNUFAISHA PANDE ZOTE
Переглядів 9094 місяці тому
AIR TANZANIA NA YANGA S.C WA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA KUNUFAISHA PANDE ZOTE
DISCOVER HARARE
Переглядів 544 місяці тому
DISCOVER HARARE
Fly in comfort and style with Air Tanzania
Переглядів 6404 місяці тому
Fly in comfort and style with Air Tanzania
Experience the best when flying with Air Tanzania.
Переглядів 2034 місяці тому
Experience the best when flying with Air Tanzania.
TWIGA LOUNGE
Переглядів 744 місяці тому
TWIGA LOUNGE
DOWNLOAD AIR TANZANIA MOBILE APP FROM THE PLAY STORE OR APP STORE.
Переглядів 414 місяці тому
DOWNLOAD AIR TANZANIA MOBILE APP FROM THE PLAY STORE OR APP STORE.
AIR TANZANIA YAANZA RASMI SAFARI ZA DUBAI
Переглядів 1,2 тис.4 місяці тому
AIR TANZANIA YAANZA RASMI SAFARI ZA DUBAI
Boeing 737-9 MAX Water Salute
Переглядів 1054 місяці тому
Boeing 737-9 MAX Water Salute
AIR TANZANIA CARGO SERVICES
Переглядів 1705 місяців тому
AIR TANZANIA CARGO SERVICES
WE ARE PROUD OF OUR FEMALE PILOTS.
Переглядів 4455 місяців тому
WE ARE PROUD OF OUR FEMALE PILOTS.
MWENYEKITI WA BODI ATCL, PROF. NEEMA MORI
Переглядів 2375 місяців тому
MWENYEKITI WA BODI ATCL, PROF. NEEMA MORI
Air Tanzania Twiga Business Lounge
Переглядів 935 місяців тому
Air Tanzania Twiga Business Lounge
WELCOME TO TWIGA LOUNGE BY ASPIRE AT KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT.
Переглядів 50511 місяців тому
WELCOME TO TWIGA LOUNGE BY ASPIRE AT KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT.
FURAHIA ZAIDI SAFARI ZA INDIA KWA KUSAFIRI NA AIR TANZANIA.
Переглядів 480Рік тому
FURAHIA ZAIDI SAFARI ZA INDIA KWA KUSAFIRI NA AIR TANZANIA.
MAONESHO YA KIMATAIFA YA NANE NANE, MBEYA 2023
Переглядів 322Рік тому
MAONESHO YA KIMATAIFA YA NANE NANE, MBEYA 2023
AIR TANZANIA CARGO SERVICES
Переглядів 1,9 тис.Рік тому
AIR TANZANIA CARGO SERVICES

КОМЕНТАРІ

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 22 години тому

    Gari za wabunge?

  • @maswaladigitalplatform.7613
    @maswaladigitalplatform.7613 День тому

    Hatua kubwa sana hiyo,

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 День тому

    HII NDEGE YA MIZIGO INAUFANISI KULIKO ZA ABIRIA ZIONGEZWE TU

  • @nicksontz17
    @nicksontz17 День тому

    Nafikiri tunahitaji cargo zaidi ya abiria

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 День тому

    Shida ni kwamba hizi gari zitakuwa za serikali kwhy ndege hakuna mapato yoyote itaingiza kwa serikali mwisho wa siku inakuwa inaingiza hasara kwa serikali

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 День тому

    Magari ya mafisadi

  • @isaacmduma5998
    @isaacmduma5998 День тому

    🔥

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 День тому

    NDEGE ZA MIZIGO ZIONGEZWE. MOJA TU SIO SAWA.

    • @evaristangelo8856
      @evaristangelo8856 День тому

      Kweli, zilitakiwa kuwepo angalau kumi ili kupunguza jam bandarini

    • @BLUBEENICE
      @BLUBEENICE 11 годин тому

      Nimesha ongea na mama ataongeza,musiwe na wasi wasi

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 День тому

    Hakika JPM tutakukumbuka kwa kuifufua ATCL

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 День тому

      Haa haaaa haaaaa kunya anye kuku akinya bata anaharisha haaa haaaaaa malizeni maneno yote ila SSH ndio kila kitu ni Mama wa viwango vya juu si muongeaji nakujinadi bali vitendo tu na tunaona

    • @ototek8037
      @ototek8037 16 годин тому

      @@abuumuhammad7133 hivi huyo mamaako anamradi gani wa maana mpya, sgr Leo ilitakiwa imefika mwanza na kufanya kazi, hizi ndege zimenunuliwa 2027 na zimetengenezwa kwa awamu sambamba na uletaji wake. Mama kaachia makinikia na pesa tulizokuwa tunawadai baric wamejilipa wao. Miradi inadorola wakandalasi hawalipwi kwa wakati kwani we upo nchi gani.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 14 годин тому

      @@ototek8037 wapi unapoteseke na Mama Samia Rais na Kiongozo Bora kabisa Barani Africa ila kwa sababu udini unakutesa wewe endelea kuteseka ulipo maana unaongea pumba kabisa kwa.taarifa yako mpk ifike 2030 utakuwa umeshaondoka Dunia kwa maradhi yasieambukizika kwa kuteseka.na udini wako wakumchukia Rais Samia Suluhu Hassan

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 13 годин тому

      @@ototek8037 na huwezi kuona alichokifanya kwa.sababu udini umekukaa moyoni sana pole sana na mpk 2030 Mama Samia atawafanya muuguwe sana maradhi yasie ambukizika kwa chuki zenu

  • @KIBIBIKANYAMA
    @KIBIBIKANYAMA День тому

    Congrats my country we're making a step .🎉

  • @jumashedafa
    @jumashedafa День тому

    Ongezen ndege ingin ya mizigo ata kubwa zaidi ya hii tena ata ktk vita zinatumika kubeba vifaa vya kivita nk yan ata yenye uwez wa kubeba chap za jeshi

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 День тому

      Kwenye vita zitatunguliwa huko huko juu, wala haziwahi kushuka chini.

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 День тому

      Hivi Unavutaga bangi za wapi? Una mpango wa kuanzisha vita nchini?

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 День тому

    Msituambie mmepata hasara

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 дні тому

    Tununue hata ndege 20. Jirani zetu waliokuwa wanatulingia sasa tunaheshimiana.

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 2 дні тому

    Kama air cargo iko busy na ina zalisha faida basi ndio za kuongeza hizo,

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 дні тому

    Mashallah hii ndege tangu imekuja inapiga kazi tu Sasa tunataka atcl itangaze faida sio hasara

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 дні тому

    SAFI SANA AIR TANZANIA

  • @samwelilazaro2835
    @samwelilazaro2835 2 дні тому

    hongereni sana hakika mnaupiga mwingi

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 4 дні тому

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 4 дні тому

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-hn7uv4yg2q
    @user-hn7uv4yg2q 28 днів тому

    very nice story chapa kazi achana naujinsia

  • @vortexmwamba9010
    @vortexmwamba9010 2 місяці тому

    Air tanzania for life❤❤❤❤❤

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 2 місяці тому

    🤲🤲👌👌👌

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 2 місяці тому

    💪🇹🇿🇹🇿❤️❤️👌👌

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 місяці тому

    Mungu ibarik Tanzania, Mungu wabarik Viongozi wetu wote, kwa hakika tunaweza , kidogo kidogo tutafika

  • @mediatz8537
    @mediatz8537 2 місяці тому

    Hongera nchi yangu Tanzania nakupenda Tanzania

  • @bigmtoro
    @bigmtoro 2 місяці тому

    Yaani mpaka watangazaji tanzania wamejichubua it's a national heritage 😂😂

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 місяці тому

    Habibi asante sana Tanzania 🇹🇿 😢 🙏 😞

  • @Naziamk19a
    @Naziamk19a 3 місяці тому

    Awesome.

  • @user-jd1re9xk4u
    @user-jd1re9xk4u 3 місяці тому

    Mashalaah

  • @alexbitakwate
    @alexbitakwate 4 місяці тому

    Safi sana na Mungu awabariki sana .

  • @richie2544
    @richie2544 4 місяці тому

    Hongera Atcl

  • @milicacirin5342
    @milicacirin5342 4 місяці тому

    Avion

  • @milicacirin5342
    @milicacirin5342 4 місяці тому

    Dubai 🎉🎉🎉❤❤

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 місяці тому

    Najitahid kuwakumbusha nauli punguzen kidogo watz wote waenjoy

    • @AirTanzaniaCompanyLimited
      @AirTanzaniaCompanyLimited 4 місяці тому

      Unaweza kulipia tiketi yako kidogo kidogo kwa awamu nne kabla ya tarehe ya safari yako kwa kutumia huduma yetu ya KIBUBU. Kupata huduma hii tafadhali tembelea ofisi yetu uliyo karibu nayo au tupigie 0748 773900.

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 4 місяці тому

    Inapendeza mzazi namwana akifanyakazi pamoja hongera sana inavutia mungu awabariki sana.

  • @goshenieagleWOG
    @goshenieagleWOG 4 місяці тому

    Wow

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 місяців тому

    Punguzen nauli wa pande weng sio matajir tuu

    • @AirTanzaniaCompanyLimited
      @AirTanzaniaCompanyLimited 4 місяці тому

      Unaweza kulipia tiketi yako kidogo kidogo kwa awamu nne kabla ya tarehe ya safari yako kwa kutumia huduma yetu ya KIBUBU. Kupata huduma hii tafadhali tembelea ofisi yetu uliyo karibu nayo au tupigie 0748 773900.

    • @AirTanzaniaCompanyLimited
      @AirTanzaniaCompanyLimited 4 місяці тому

      Unaweza kulipia tiketi yako kidogo kidogo kwa awamu nne kabla ya tarehe ya safari yako kwa kutumia huduma yetu ya KIBUBU. Kupata huduma hii tafadhali tembelea ofisi yetu uliyo karibu nayo au tupigie 0748 773900.

  • @dtejoz
    @dtejoz 11 місяців тому

    Amazing place

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Рік тому

    Tanzania Imara Kazi Uendelee.🇹🇿🇹🇿

  • @taliyagogo1481
    @taliyagogo1481 Рік тому

    Amour am coming soon to Tanzania I wish to see you when I am going to bukuba. 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 Much regards all the way from 🇴🇲

  • @user-ky5wu4gc9g
    @user-ky5wu4gc9g Рік тому

    Hongera sana mtoto wetu ila wangepunguza ada bas hata sisi wa chitoholi tungeuza mashamba ili nasisi tuwe na maruban

  • @kuluthummmetisha4630
    @kuluthummmetisha4630 Рік тому

    ua-cam.com/video/BeL1lU0Qe1c/v-deo.html

  • @abdullahalmahrooqi8306
    @abdullahalmahrooqi8306 Рік тому

    Tunajua wewe ni pilot mpaka lugha umeisahau mpaka mama umesahau unasema my mom nini maana ya mom acheni ujinga wa kizungu

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому

    Mashallah mashallah

  • @xingho3990
    @xingho3990 Рік тому

    Hongereni Sana baba na mtoto wako Allah awaingezee ....lakini dogo kuwa Kama baba ongea kiswahili vizuri Kama babako mbona unajimwambafai?

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 Рік тому

    Yes., Continue 🇹🇿

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 Рік тому

    Yes., continue 🇹🇿🎧✍️🚔

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 Рік тому

    it's nice

  • @fatmaabdalla3854
    @fatmaabdalla3854 Рік тому

    MashaAllah dada Nadhifa mungu atusimamie

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 Рік тому

    Big up