Platform Media
Platform Media
  • 161
  • 80 373
KARATU YAJA NA MPANGO MKAKATI MPYA KUONGEZA MAKUSANYO YA HALMASHAURI.
KARATU YAJA NA MPANGO MKAKATI MPYA KUONGEZA MAKUSANYO YA HALMASHAURI.
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha Jumatano Novemba 20, 2024 imezindua kitabu maalum kilichoandaliwa kwa usaidizi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania kikieleza mpango mkakati wa Halmashauri hiyo katika kuongeza ukusanyaji wa mapato.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg. Juma Hokororo amewaambia wanahabari kuwa kitabu hicho kitatoa mwanga zaidi wa miaka mitano ijayo katika sekta mbalimbali za uzalishaji ikiwemo Kilimo, Utalii, Biashara pamoja na madini katika kuhakikisha kuwa makusanyo yanazidi yale ya Mwaka 2023/2024 ya zaidi ya asilimia 120.
Hokororo amenukuliwa akisema kuwa Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Karatu iliyo lango la Hifadhi kubwa za utalii nchini Tanzania ilikuwa na mpabgo wa kukusanya Bilioni tano nukta tisa katika Bajeti ijayo lakini kupitia mpango huo mpya wanatarajia kukusanya zaidi na kufikia Bilioni zaidi ya saba.
Переглядів: 35

Відео

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI UCHUNGUZI KUPOROMOKA KWA JENGO KARIAKOO
Переглядів 822 години тому
WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI UCHUNGUZI KUPOROMOKA KWA JENGO KARIAKOO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza chanzo cha tukio hilo pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tarehe 16 Novemba, 2024, majira ya saa 3...
ILANI NA DIGITALI
Переглядів 5День тому
ILANI NA DIGITALI Wakati huohuo, Waziri Mkuu amesema kuwa uanzishwaji wa mfumo huo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri ni utekelezaji wa Ibara za 102 na 103 za Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 zinazoelekeza Serikali kuhakikisha kuwa sayansi, teknolojia na ubunifu vinatumika kikamilifu katika kuendesha sekta za kukuza uchumi kwa lengo la kufikia uchumi wa hadhi ya kipato cha kati ambao ...
BARAZA LA MAWAZIRI SASA KIDIJITALI-MAJALIWA
Переглядів 42День тому
BARAZA LA MAWAZIRI SASA KIDIJITALI-MAJALIWA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi. Amesema kuwa maboresho hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki yatasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matumizi ya karatasi katika vikao vya Serikali, hususan Baraza...
UMUHIMU WA UFUGAJI KWENYE KILIMO IKOLOJIA
Переглядів 3114 днів тому
UMUHIMU WA UFUGAJI KWENYE KILIMO IKOLOJIA Karibu Umsikilize Godwin Sebastian kutoka MVIWAARUSHA akielezea kwa kina kuhusu Umuhimu wa Ufugaji kwenye Kilimo Ikolojia.
JE? UNAFAHAMU KUHUSU VUMBI LA NYUKI?
Переглядів 3414 днів тому
JE? UNAFAHAMU KUHUSU VUMBI LA NYUKI? Karibu Umsikilize Bwana Busagi CEO wa Yuaja Beekeeping Services akielezea kwa undani kuhusu Ufugaji wa nyuki na faida zake.
TUTAPATA FURSA YA KUONA BUNIFU MBALIMBALI
Переглядів 1014 днів тому
TUTAPATA FURSA YA KUONA BUNIFU MBALIMBALI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesema kuwa mkutano huo umefanyika katika kipindi ambacho dunia ina changamoto zinazohitaji mijadala, kubadilishana mawazo ili kujibu masuala magumu yanayosababisha watumishi wa umma kutofanya majukumu yao sawasawa.
WAPENI VIONGOZI MAFUNZO YA MARA KWA MARA
Переглядів 5714 днів тому
WAPENI VIOMGOZI MAFUNZO YA MARA KWA MARA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa ili kuimarisha usimamizi wa kimkakati wa rasilimaliwatu na kukabiliana na changamoto zake, viongozi hao wanapaswa kuendelea kutoa mafunzo ya mara kwa mara kwa watumishi wao waendane na mabadiliko ya kidunia na waweze kufanya kazi kwa weledi. Aidha, amewataka Kukuza ujuzi wa watumishi na kuwawezesha kujifunza stadi...
ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA
Переглядів 5214 днів тому
ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wote wa rasilimaliwatu wazingatie misingi ya utawala bora na weledi katika kuisimamia rasilimali hiyo katika Sekta ya Umma Barani Afrika. Amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kutoa huduma bora na kudumisha imani ya wananchi kwa Serik...
TUNASHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VITENDO VYYA UKATILI
Переглядів 3421 день тому
TUNASHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VITENDO VYYA UKATILI Meneja Programu wa Shirika la Blue Cross Gloria Vincent amesema Shirika hilo limeona umuhimu wa kushirikiana na Serikali katika kuifikia jamii kwa kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili kwa kutumia njia mbalimbali hasa kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali wa maeneo husika, Kimiila na Kidini ili kuifikia jamii ili io...
NAIBU WAZIRI MWANAIDI AWATAKA WADAU KUJIKITA VIJIJINI, ELIMU YA KUPINGA UKATILI
Переглядів 121 день тому
NAIBU WAZIRI MWANAIDI AWATAKA WADAU KUJIKITA VIJIJINI, ELIMU YA KUPINGA UKATILI Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amewataka wadau wanaotoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili nchini, kujikita kutoa elimu hiyo katika maeneo ya vijijini ambapo wananchi wengi hawafikiwi na taarifa kwa wakati. Ameyasema hayo Oktoba 31, 2024 jijini ...
BIMA YA AFYA KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU NA KATI
Переглядів 10621 день тому
BIMA YA AFYA KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU NA KATI Msimu wa usajili wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na vya kati tayari upo ukingoni,Swali ni kuwa Je? Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania umejipangaje kuhakikisha unalifikia kundi hili muhimu. Gloria Mziray na Miraji Kisille wanatoa ufafanuzi kwa kina pamoja na Majibu ya Maswali mengi waliyo ulizwa ndani ya Kipindi cha Goodmorning Tanzania cha Radi...
TENGENI FEDHA ZA MIRADI
Переглядів 921 день тому
TENGENI FEDHA ZA MIRADI-MAJALIWA Waziri Mkuu amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa na Mabaraza ya madiwani wazifuatilie Halmashauri ili kuhakikisha zinatenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ilivyoainishwa kwenye mwongozo wa fedha wa sheria ya Serikali za Mitaa inayoelekeza utengwaji wa fedha zinazopatikana kwenye mapato ya ndani ya halmashauri na kuzitumia kw...
TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA
Переглядів 4521 день тому
TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga bajeti ya kuwafidia kabla ya kufanyika kwa zoezi hilo ili kuondoa usumbufu. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 31, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Kilwa Kusini, Ali Kasin...
DIWANI LOBORA WA KATA YA THEMI AFUNGUKA SAKATA LA MITI KUKATWA
Переглядів 11221 день тому
DIWANI LOBORA WA KATA YA THEMI AFUNGUKA SAKATA LA MITI KUKATWA NA KAMPUNI YA STEAM AND POWER TANZANIA LTD Diwani wa Kata ya ya Themi Julius Lenina Lobora amefunguka kupitia kipindi cha Goodmorning Tanzania ya Radio 5 kuhusu sakata la miti kufyekwa na kampuni hiyo kufyeka miti zaidi ya 2000 kinyume cha sheria za uhifadhi mazingira.
SIMON TOKA NGARENARO ARUSHA AELEZA NDOTO YAKE ILIVYO TIMIA
Переглядів 3521 день тому
SIMON TOKA NGARENARO ARUSHA AELEZA NDOTO YAKE ILIVYO TIMIA
TOKA NGARENARO ARUSHA HADI MARAKESH KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI
Переглядів 33121 день тому
TOKA NGARENARO ARUSHA HADI MARAKESH KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MIKOA YOTE KUANDAA MATAMASHA YA UTAMADUNI.
Переглядів 1921 день тому
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MIKOA YOTE KUANDAA MATAMASHA YA UTAMADUNI.
UIMARISHAJI WA MAENDELEO MKOA WA KAGERA
Переглядів 1421 день тому
UIMARISHAJI WA MAENDELEO MKOA WA KAGERA
MAJALIWA: WATANZANIA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO
Переглядів 2621 день тому
MAJALIWA: WATANZANIA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO
RC MAKONDA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KASI YAKE KATIKA KUTEKELEZA ILANI YA CCM MKOANI ARUSHA.
Переглядів 5828 днів тому
RC MAKONDA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KASI YAKE KATIKA KUTEKELEZA ILANI YA CCM MKOANI ARUSHA.
UTOFAUTI WA UMRI KTK MAHUSIANO
Переглядів 2828 днів тому
UTOFAUTI WA UMRI KTK MAHUSIANO
SABABU KUU YA MTU KUINGIA KATIKA NDOA KIDINI NA KIMAZINGIRA
Переглядів 6928 днів тому
SABABU KUU YA MTU KUINGIA KATIKA NDOA KIDINI NA KIMAZINGIRA
RC MAKONDA ASISITIZA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI ARUSHA.
Переглядів 428 днів тому
RC MAKONDA ASISITIZA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI ARUSHA.
RC MAKONDA AAHIDI KUSIMAMIA UPATIKANAJI WA MAJI YA UHAKIKA KWA WANANCHI WA ARUSHA.
Переглядів 3728 днів тому
RC MAKONDA AAHIDI KUSIMAMIA UPATIKANAJI WA MAJI YA UHAKIKA KWA WANANCHI WA ARUSHA.
MIKONONI MWA RC MAKONDA KWA MADAI YA UVUNAJI WA MITI KINYUME CHA SHERIA.
Переглядів 17828 днів тому
MIKONONI MWA RC MAKONDA KWA MADAI YA UVUNAJI WA MITI KINYUME CHA SHERIA.
RC MAKONDA ASISITIZA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI ARUSHA.
Переглядів 5428 днів тому
RC MAKONDA ASISITIZA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI ARUSHA.
WASHIRIKI WA MASHINDANO YA PIKIPIKI KUTOKA ARUSHA WALIPIWA NA RAIS SAMIA
Переглядів 75Місяць тому
WASHIRIKI WA MASHINDANO YA PIKIPIKI KUTOKA ARUSHA WALIPIWA NA RAIS SAMIA
JAMII YA WAHDZABE WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA ORODHA YA WAPIGA KURA 2024.
Переглядів 188Місяць тому
JAMII YA WAHDZABE WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA ORODHA YA WAPIGA KURA 2024.
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI ZA ARUSHA KUKUZA UTALII WA MATIBABU.
Переглядів 132Місяць тому
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI ZA ARUSHA KUKUZA UTALII WA MATIBABU.

КОМЕНТАРІ

  • @godchila8013
    @godchila8013 3 години тому

    Enhe haya tuendeleee😅

  • @Foodarmy2012
    @Foodarmy2012 10 годин тому

    Inamake sense 1Wakoritho 15:52

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 17 годин тому

    Wachokonozi muko sawa

  • @HassanHassansaidkampun
    @HassanHassansaidkampun День тому

    Umuombee kama nani yesu ninani

  • @bonfacenjogu4533
    @bonfacenjogu4533 День тому

    Hivo vifungo saba vya uelewa vilitoka kwa mungu

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 2 дні тому

    Hawatakuwa radhi mayahudi na wanaswara mpaka muwafate wao dini ya kiislam imeshamaliza kila kitu.

  • @AsukuluAugustin
    @AsukuluAugustin 2 дні тому

    Yaani napenda sana maongezi ya uuyu mchokonozi

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 дні тому

    Hawa wapumbavu sana , dini imekuja babu yako anamiaka 8 au amejua ipo akiwa na miaka 8 ? Eboo

  • @edwardnkungu4226
    @edwardnkungu4226 3 дні тому

    Kweli machizi wapo studio . Mtu asiyemtambua Mungu ni chizi pekee

  • @Daifar100
    @Daifar100 4 дні тому

    Wajinga ni wengi, wanasifu vitu ambavyo hawavielewi

  • @Daifar100
    @Daifar100 4 дні тому

    Hao jaamaa ni wapotoshaji na muda utaeleza tu na nyie mnaowasifu mtakuja kuzinduka muda ushaenda

  • @stevenmwamba-tm6ox
    @stevenmwamba-tm6ox 5 днів тому

    Akili,nyingi

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 6 днів тому

    Huyu jamaa anaelimu ya saikolojia na falsafa.kila analolisema lipo katika nadharia na falsafa.

  • @MariamChuma
    @MariamChuma 7 днів тому

    Barikiwa sana

  • @kombeonaumishenaritv642
    @kombeonaumishenaritv642 7 днів тому

    Barikiwe sana Dokta MUNGU akutumie kama apendavyo

  • @ezekiangailo2824
    @ezekiangailo2824 8 днів тому

    @Afyandogo

  • @AbdulatwifAbdallah
    @AbdulatwifAbdallah 9 днів тому

    Machiz hawa

  • @RajanMunisi
    @RajanMunisi 10 днів тому

    Hawa wanaishi maisha ya meditation hivyo ukienda huko utadanganyika sana lakini ukiingia huko kama Huna roho ya mwenye mamalaka nikimaanisha Mwenyezi Mungu niliwahi kuuliza Kama hakuna mwenye kuadhibu kwanini maumivu yaliumbwa na kwanini basi yasingekuwepo hawawezi kujibu hao lakini kwanini meditation ni mbaya kama usipokuwa makini inaweza pelekea kifo na kifo sio maumivu rahisi

  • @salehemkwengwe9834
    @salehemkwengwe9834 10 днів тому

    Watu ni wachache wa Iman zao,, vipo vingi huyu jamaa anavikosea

  • @Mohammedpessa
    @Mohammedpessa 11 днів тому

    16:33

  • @Mohammedpessa
    @Mohammedpessa 11 днів тому

    Laiti kama watu wangekuwa wanaifatilia qur Ani msingemsikiliza huyu bwege

  • @JumaHija-d9g
    @JumaHija-d9g 11 днів тому

    Mungu kweli hana hasira, duuu hatar hii

  • @KelvinTamba-j9z
    @KelvinTamba-j9z 12 днів тому

    Huyo jamaa ni mwehu totally,kitendo cha kusema mungu hayupo ni kiwango cha juu cha upotofu,mungu amsamehe sana hajui alitendalo.

  • @DeusAloyce-y8m
    @DeusAloyce-y8m 14 днів тому

    Mbona kama namuelewa huyu mchokonozi lazima atapata wafuasi.

  • @MeshackZachary
    @MeshackZachary 15 днів тому

    Umeleta Machizi studio jaman angalia hta Ninyi hamuelewi wanachosema

  • @samwelgunda4633
    @samwelgunda4633 15 днів тому

    Aisee

  • @kpsfilms
    @kpsfilms 16 днів тому

    Pita na hapa uburudike na kuelimika ❤❤❤ua-cam.com/video/1D6V1CTu1Fs/v-deo.htmlsi=DqETItDkjjwLLW9b

  • @WATUWAMJUEMUNGU
    @WATUWAMJUEMUNGU 16 днів тому

    Ukisema Mungu hayupo kwa experience niliyonayo na Mungu, nagundua kua ni NEEMA tu na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Wewe umeamua kuchagua upande huo, ila jaribu kutafuta kuhusu Mungu aliye hai Kupitia Yesu Kristo.

  • @fredyrichard6795
    @fredyrichard6795 17 днів тому

    Mtangazaji bado kuna kitu mtu anataka kuongea unampandia na jambo jingine unamtoa kweny reli

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 17 днів тому

    Huyu chizi eti mwanadamu amechanganyika namadini chemical nani kachanganya?

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 17 днів тому

    Eti anauelwea anshindwa kuelewa kuwa Kuna nguvu zaidi ya nguvu inayo sababisha vitu viwepo

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 17 днів тому

    Wachokonozi ni mafala tu!

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 18 днів тому

    Mtangazaji ungebaki hapo kwenye hilling center... mambo ni mengi humo

  • @SaimonIkingu
    @SaimonIkingu 18 днів тому

    Umetisha mkalii

  • @amanijoseph6764
    @amanijoseph6764 18 днів тому

    I like the thanking..philosophy kaiva kijana..ana upeo mwengine..

  • @VIPSwahili
    @VIPSwahili 18 днів тому

    Gabri-el,Rapha-el,Mika-el,Isra-el

  • @JosephKilasa
    @JosephKilasa 18 днів тому

    Nikweli mtu anaweza akatoweka kwenda sehemu yoyote nakurud na mtu mwenye uwezo huo yupo niliwahi kumwona

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 18 днів тому

    Jamaa yukosawa

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 18 днів тому

    Nisawa kabisa

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 18 днів тому

    Tatizo lenu hamjui chochote then mnahoji wapumbavu wenzenu Leteni sheikh au Padri afanye mahojiano nae ndio mtamuona kuwa ni mwehu

  • @AmbeleJames-cb1el
    @AmbeleJames-cb1el 19 днів тому

    Sawa pamoja na hayo ivi siku kawaida inaisha saa ngapi 12 jioni ama saa 6 usiku.

  • @RajabMwamunga
    @RajabMwamunga 19 днів тому

    Bangi inamsumbua huyo kijana. He has no facts. Thats why he cant explain his own concepts clearly.

  • @harunakashushu8498
    @harunakashushu8498 19 днів тому

    Kuskiza watu waliochanganyikiwa kuna burudani yake

  • @rajabukulwa4060
    @rajabukulwa4060 20 днів тому

    Banger hizi

  • @RajabuSwalehe-p8l
    @RajabuSwalehe-p8l 20 днів тому

    Mmmmmmh nyie nihatar Zaidi yabom lanyukilia

  • @MuftyMageni
    @MuftyMageni 20 днів тому

    Uyu ni mjinga hajui kitu kuhusu MUNGU.

  • @RASHADURAMADHAN
    @RASHADURAMADHAN 21 день тому

    Mtangazaji yupo ufunguo wa Juu wa Mwili

  • @DamianLucas-k2d
    @DamianLucas-k2d 21 день тому

    Nguvu ya ushawishi aliyo nayo huyu mwamba nikubwa sana

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u 21 день тому

    huyu mchokonozi kwakweli kanifanya niache kuamini mambo ya dini😂

  • @KyomaKyanyamwanga
    @KyomaKyanyamwanga 22 дні тому

    Yani naomba wajenge kanisani