HALISIA TV
HALISIA TV
  • 34
  • 36 085

Відео

MWANANCHI JIMBO LA CHAANI AMPONGEZA WAZIRI WA AFYA MAZRUI
Переглядів 2252 місяці тому
MWANANCHI JIMBO LA CHAANI AMPONGEZA WAZIRI WA AFYA MAZRUI
MWANANCHI WA CHAANI AMPONGEZA WAZIRI MAZRUI
Переглядів 4,4 тис.2 місяці тому
MWANANCHI WA CHAANI AMPONGEZA WAZIRI MAZRUI
DK TULIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI WA IPU
Переглядів 292 місяці тому
DK TULIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI WA IPU
CCM MTWARA YAVUTIWA NA MAENDELEO YA ZANZIBAR.
Переглядів 9110 місяців тому
CCM MTWARA YAVUTIWA NA MAENDELEO YA ZANZIBAR.
ZANZIBAR YAELEKEA KWENYE UCHUMI WA KIDIGITALI
Переглядів 4610 місяців тому
ZANZIBAR YAELEKEA KWENYE UCHUMI WA KIDIGITALI
WANANCHI KISIWANI PEMBA WASIFIA JITIHADA ZA SERIKALI
Переглядів 114Рік тому
WANANCHI KISIWANI PEMBA WASIFIA JITIHADA ZA SERIKALI
DK. MWINYI ANATEKELEZA KWA KISHINDO
Переглядів 66Рік тому
DK. MWINYI ANATEKELEZA KWA KISHINDO
WAZIRI DK KHALID AWATAKA WANANCHI KUWA WAVUMILIVU WAKATI MIRADI YA UJENZI IKIENDELEA
Переглядів 2 тис.Рік тому
WAZIRI DK KHALID AWATAKA WANANCHI KUWA WAVUMILIVU WAKATI MIRADI YA UJENZI IKIENDELEA
UWASILISHAJI WA BAJETI WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZANZIBAR
Переглядів 2502 роки тому
UWASILISHAJI WA BAJETI WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZANZIBAR
"MIFUMO HII ITASAIDIA KUDHIBITI MAPATO" WAZIRI DK. KHALID
Переглядів 182 роки тому
"MIFUMO HII ITASAIDIA KUDHIBITI MAPATO" WAZIRI DK. KHALID
DK. KHALID: WIZARA NINAYOISIMAMIA ITAHAKIKISHA INATEKELEZA MAAGIZO YA MHE. RAIS
Переглядів 262 роки тому
DK. KHALID: WIZARA NINAYOISIMAMIA ITAHAKIKISHA INATEKELEZA MAAGIZO YA MHE. RAIS
PROGRAME MAALUM TAQWA ORPHANS TRUST TZ
Переглядів 202 роки тому
PROGRAME MAALUM TAQWA ORPHANS TRUST TZ
TAQWA ORPHANS TRUST TANZANIA YAWASHAJIHISHA WAUMINI KUTOA SADAQA ZAO KWA AJILI YA WATOTO YATIMA
Переглядів 112 роки тому
TAQWA ORPHANS TRUST TANZANIA YAWASHAJIHISHA WAUMINI KUTOA SADAQA ZAO KWA AJILI YA WATOTO YATIMA
DK. KHALID AWATAKA SHIRIKA LA POSTA KUZITANGAZA HUDUMA ZAKE
Переглядів 162 роки тому
DK. KHALID AWATAKA SHIRIKA LA POSTA KUZITANGAZA HUDUMA ZAKE
KAMATI YA ARDHI,NISHATI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYA ZIARA KWENY BANDARI YA TANGA
Переглядів 122 роки тому
KAMATI YA ARDHI,NISHATI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYA ZIARA KWENY BANDARI YA TANGA
NEWS POST CODE
Переглядів 502 роки тому
NEWS POST CODE
"MHE. NAPE NA MHE. RAHMA NI KIELELEZO KIZURI CHA MUUNGANO"MAKAMU WA PILI
Переглядів 112 роки тому
"MHE. NAPE NA MHE. RAHMA NI KIELELEZO KIZURI CHA MUUNGANO"MAKAMU WA PILI
KUFANYA KAZI SOLLON SIO UHUNI
Переглядів 182 роки тому
KUFANYA KAZI SOLLON SIO UHUNI
IJUE THAMANI YA HINA
Переглядів 4602 роки тому
IJUE THAMANI YA HINA
MFAHAMU MJASIRIAMALI JASIRI REHEMA SAID AWADHI
Переглядів 2092 роки тому
MFAHAMU MJASIRIAMALI JASIRI REHEMA SAID AWADHI
WAHASIBU WAPIGWA MARUFUKU KUFANYA MALIPO YASIOFUATA TARATIBU
Переглядів 792 роки тому
WAHASIBU WAPIGWA MARUFUKU KUFANYA MALIPO YASIOFUATA TARATIBU
"BIDHAA ZIENDANE NA THAMANI YA FEDHA ZINAZOTUMIKA"MHE HEMED
Переглядів 52 роки тому
"BIDHAA ZIENDANE NA THAMANI YA FEDHA ZINAZOTUMIKA"MHE HEMED
WANAMAZOEZI WAPEWA NENO
Переглядів 322 роки тому
WANAMAZOEZI WAPEWA NENO
MAKAMU WA PILI APOKEA MASHINE ZA MAJI KUTOKA KWA MFANYABIASHARA HASSAN RAZA
Переглядів 92 роки тому
MAKAMU WA PILI APOKEA MASHINE ZA MAJI KUTOKA KWA MFANYABIASHARA HASSAN RAZA
UMUHIMU WA MINAZI
Переглядів 362 роки тому
UMUHIMU WA MINAZI
MAKAMU WA PILI WA RAIS AGANA NA MABALOZI WANAOKWENDA MATAIFA MBALI MBALI KUIWAKILISHA TANZANIA
Переглядів 72 роки тому
MAKAMU WA PILI WA RAIS AGANA NA MABALOZI WANAOKWENDA MATAIFA MBALI MBALI KUIWAKILISHA TANZANIA
MKONGWE KARUDI KATIKA FANI
Переглядів 27 тис.2 роки тому
MKONGWE KARUDI KATIKA FANI
KAMATI YA MAPINDUZI CUP YAPEWA MAELEKEZO
Переглядів 92 роки тому
KAMATI YA MAPINDUZI CUP YAPEWA MAELEKEZO
WAZANZIBAR WAYAFAIDI MATUNDA YA MAPINDUZI
Переглядів 162 роки тому
WAZANZIBAR WAYAFAIDI MATUNDA YA MAPINDUZI

КОМЕНТАРІ

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 днів тому

    Ukiwemo ww huna hata sifa ya uongozi jambazi ww

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 18 днів тому

    Wewe mwrnyezi mungu atakuhukumu hapa hapa duniani watu wote watakuone wewe mnafiki mkubwa zalimu

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n 18 днів тому

    Njaa na tamaa inakufezehesha

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n 18 днів тому

    Wewe Nadiya mwisho wako mbaya tunawalakin kuhusu wewe

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 21 день тому

    Babu wew nadir nenda kwenu India ukaabudie mbuzi

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 21 день тому

    Mungu akubukumu wew nadir nenda kwenu humo India toka Zanzibar yetu

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 27 днів тому

    Wewe ni Mjinga namba moja kazi yako matusi tu jifunze kutoka Kwa wenzio Fisadi wewe ni Muislam mbona unasema uongo fisadi wewe nyamaza

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n Місяць тому

    Wewe nadir mnafiki mwishowako mbaya

  • @DuuSaid
    @DuuSaid Місяць тому

    Hayo mahospitali kuje gwa ni sera ya Act wazalendo na bado katika sera yao haija fikia hata robo ya wanayotaka kuyafanya Act tunaamini elfumbili ishirini na tano baada ya kuchukua madaraka watatekeleza yote yaliyo bakishwa

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Wewe Nadir lazima umsifu Mwinyi kwasababu alipoingia tu Juma wa Juma kapotezwa ukae wewe ... funika kombe shetani apite

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Місяць тому

    Dr. Hussein ungewapata MaWarizi watano tuu tokea hapo mwanzo kutoka ACT Wazalendo basi ungekuwa huna wasiwasi kwenye Serikali. Sifa kubwa kwa Waziri Nassor AlMazroui kutoka ACT Wazalendo kwa uwaminifu kwenye kazi yake.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Місяць тому

    Hayo yote. Kama unataka Wana Wanchi wawe radhi basi uchaguzi uwe wa haki hapo Zanzibar. Kama unavyo sema wewe Muislam. Na unajuwa hapo Zanzibar siku za uchaguzi kunakuwa vita. Watu wanaomba uchaguzi uwe wa haki na salama bila yakuuliwa Wananchi na atakae shinda ndio ashike Nchi.

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 Місяць тому

    Kwahiyo hamna la kusema sasa Kila mmoja mazurui mbona mlipo mpiga hamkumpa pole Wala kwenda kumkagua ninachokiona kwenu CCM ni unafiki TU na ni watu wa sifa yaani msifiwe TU mkikosolewa manongwa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Місяць тому

    Mazrui anajitambua

  • @KHAMISMOHAMMED-fj4bs
    @KHAMISMOHAMMED-fj4bs Місяць тому

    Nimechelewa kuchangia nilimuamini sana huhu ila ndio mnafiki lazima ajitokeze kapigwa sana huyu na mm namuahidi Mazurui nitampinga milele tayari anaonesha ndio walokua wanamzunguka Malimu Seif

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr Місяць тому

    Usipitali zinajengwa kweli lakini huduma hakuna wagonjwa wa Sugar kila siku wana okotwa barabarani kwa sababu hawana uwezo kununua vipima sugar ilitakiwa wa gonjwa wa sugar wapewe bure ili wanapotembea njiani wakijisikia tafurani waweze kujipima sugari

  • @TajoSeif
    @TajoSeif Місяць тому

    Unataka kukodi mabasi wakati jimboni kwako watu hata mlo mmoja hawapati

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Місяць тому

      Jamani ni ushamba mkubwa😂😂😂😂 Aibu khasa kwa hapo Zanzibar mtu kusema hivyo……akodi mabasi kwa ajili ya watu kwenda kutizama 🏥 hospitals imekuwa kama makumbusho… amakweli spitali zimekuwa kitu cha AJABU hapo Unguja na Pemba. 😂😂😂

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr Місяць тому

    Lakini ww unam domo sana ww ukisimama kwenye majikwaa una ubaguzi bakuzi falini hivi jamii ina kupenda lakini anglia mdomo wako

  • @sultanmohammed4157
    @sultanmohammed4157 Місяць тому

    Zuzu huyo ajijenga kwa mwabwana zake.

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr Місяць тому

    Mambo gani kazienu unaguzi tu Pba hamuifanyii haki

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr Місяць тому

    Wewe Kallie ukalale

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i Місяць тому

    WELL DONE. DEPUTY MINISTER, KEEP IT UP

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Wewe hiyo sekta unayo ongoza kipi kipya wizara zenye kufanya vizuri sana zote mbili mawaziri ni ACT wazalendo

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Місяць тому

    Nadir shika adabu yako tafadhali,maana sasa unazidi kutovukwa na adabu,jitathmini

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge Місяць тому

    Hujielewi ww unouza znz Kwa kupewa uwazir haliyakua watu wanateka kwanjaa ww umeshiba unaju tunaishi vipi jilewe ww acha ujinga unashadidia TU tumechoka na ccm kilasiku Barabara kula basi kamazinalika

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Mabasi wakodiye wewe kumbaro mjinga

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Місяць тому

      😂😂😂😂😂 maajabu ya Zanzibar baada ya Beit la Jaibu. Hizo Spitali.

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Muongo kumbaro

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i Місяць тому

      MKWELI NANI. TULIAMBIWA TUTAFURAHI SIKU MBILI TU. MBONA HUKUMWAMBIA NI MUONGO

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Wewe kumbaro ndio mwenye ubaguzi nakila mzanzibar anakujua umepewa unaibu uwaziri umebaki kusifia kila pabovu

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i Місяць тому

      JUSSA NDIE KUMBARO MKUBWA MUUZA VYUNGU ONZA NA YEYE KWANZA

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Kumbaro kumbaro unampongeza mtu kwa maslahi

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому

    Msimchezee mbungooo Jussa hamumuweziii

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i Місяць тому

      WACHA UJINGA JUSSA NANI KWENYE NCHI HII. SI BASI TU

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому

    Hahahaha kumbe dozi kk nadir huwa zinawafikaaa 😂😂😂😂

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому

    Nyinyi kk nadir mnajua dhati kwamba viti mulivyokalia kwamba hamukukaa kwa ridhaa ya wananchi wa Zanzibar

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому

    Hayo hakufanya mwinyi kk aliyefanya ni rais dkt Samia suluhu Hassan na sie mwinyiiii

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Місяць тому

      Asante Rais wa Muungano wa jamhuri ya Tanzania 🇹🇿 Samia Suluhu.

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому

    Wazanzibari kiu ni kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili kk

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np Місяць тому

    kama siw alie kua saa zotee anawachamba ccm leo umepewe cheo yanakutoka tuh

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Місяць тому

    Wewe chawa ,,usiniharibie siku

  • @user-dc8hf8lj8w
    @user-dc8hf8lj8w Місяць тому

    na ww ni miongn mwa wtu wanafiki wanao tia chuku n ubaguzi ktk nchi yetu

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 Місяць тому

    Imekua Ajenda Rasmi sasa

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 Місяць тому

    Huyu jamaa ndume la kuwili saivi anasifia serekali

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 Місяць тому

    Mazrui kama anampigia kampeni mwinyi

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Mazrui kasema yote hayo kwasababu ya kuogopa CCM isije kumpiga na kumpoteza tena ... Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Haya yote wanafanyiwa wazanzibara kwasababu wao ndio wenye nchi sasa .. wazanzibari wote wanahama kwa dhulma ya kusudi ili nchi iwashinde wahame kwao

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Watu wa Chaani tunakuuliza Nadir YUKO WAPI JUMA WA JUMA?

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Nadir yuko wapi Juma wa Juma? Usituletee porojo hapa

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim Місяць тому

    Muuaji ,unakula dhulma tu ,ila itakutokea puani io , na akili zenu za kuku izo

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 Місяць тому

    Usijitie kutaja mungu wajulikanwa

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 Місяць тому

    Nyote wafanya biashara marogi

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 Місяць тому

    Mazurui aogopa kuchapwa

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 Місяць тому

    Kichwa km belungi

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 Місяць тому

    Aah huyu