Yarabi wabari sana ndugu zetu waisilamu mlio jitolea kuwasaidia ndugu zetu na Dada zetu waisilamu mungu awazidishie baraka na neema awazidishie Rizk nyinyi na wazazi wenu awape Janna ya daraja lajuu pia mungu atusaidie nasisi ambao hatukufanikiwa mungu tujaalie sikunyingine nasisi tuweze kusaidia wengine na wengine pia emwezinyezi mungu wabariki masheikh na maustadhi wetu kila lakheri amina Assalamualaikum wabilahi taufiq 🙏😁🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hassan unajisahau sometime mtu akislimu ni lazima awe na jina la kislamu. Akikosa jina la kislamu huwa bado hajasilimu. Yeye kapenda jina la hussein usingemwambia sio lazima jina la kislamu wanaosilimu wanaweza jina kubadilishwa kwenye documents. Mungemuliza Anwar wa isilihi anajua
Pongezi kwa kazi nzuri Allah awape naishi marefu
Sikueza kudonate kwa sababu ya fedha, namuomba Allah aniruzuku uwezo wa kudonate
Alhamdullillah ❤tuna shukuru sana ❤ALLAH ❤
❤MANSHALLAH ❤
If this guy is smart , he definitely got educated today .
Masha Allah tabarakallah aki tunawapenda saaana maustadh wetu ALLAH Atawalipa kila la kheri
Masha Allah Tabaraka Allah MUNGU awalipe mallipo yasiyokua na hesabu
Asalaam alaykum waratulahyh wabarakatuh ustadh
Masha allah, kumbe ustaz kariuki nae ako na madini mzee allah akuzidishie elmu yenye manufaa kwako na kwetu
Yarabi wabari sana ndugu zetu waisilamu mlio jitolea kuwasaidia ndugu zetu na Dada zetu waisilamu mungu awazidishie baraka na neema awazidishie Rizk nyinyi na wazazi wenu awape Janna ya daraja lajuu pia mungu atusaidie nasisi ambao hatukufanikiwa mungu tujaalie sikunyingine nasisi tuweze kusaidia wengine na wengine pia emwezinyezi mungu wabariki masheikh na maustadhi wetu kila lakheri amina Assalamualaikum wabilahi taufiq 🙏😁🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waleikum msalam warahmatullah wabarakatuh mashaAllah Allah awabariki kwa Kari zenu Allah awazidishie palipo pungua
Mashallah sheikh hassan my Allah bless u
MashaAllah Allah awabariki sana na wote walichangia Allah awalipe mema hapa duniani na kesho akhera inshaAllah
Maashaalah . Mungu awazidishie Madada wetu.
Mansha Allah
Allahu Akbar daawa moto moto leo Alhamdulillah Barakallah
Maa Shaa Allah,,, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,, Allah awalipe
Mash ALLAH alhamdulilah Neema za ALLAH ❤️❤️❤️
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
MashaAllah. Allah awabariki na abariki kazi yenu nzuri.
Mashallah Allah awafanyie wepesi
Mungu awafanyie wepesi
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Alhamdulillah
مشا الله تبارك الله
Shukran , ALLAH S.W awabariki
Mashallaha Mashallaha
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Hassan usiwambie wasiokuwa waisilamu wavae kofia ama kanzu juu italeta conflict kwa dini sababu wanaweza fanya kisa chochote wakasingizia ni uislamu
Allahamdhulla
😂😂😂Anasema wazi wazi eti naikataa. Sio makosa yake hakuna mkristo anayakubali maneno ya bibilia isipokua John 3:16 tu.
Asalaam alleikum Sheikh, majinna ana badilisha tu id names then documents anatumia Affidavit in case of any questions
Hassan unajisahau sometime mtu akislimu ni lazima awe na jina la kislamu. Akikosa jina la kislamu huwa bado hajasilimu. Yeye kapenda jina la hussein usingemwambia sio lazima jina la kislamu wanaosilimu wanaweza jina kubadilishwa kwenye documents. Mungemuliza Anwar wa isilihi anajua
Akikosa jina la kiislamu bado haja silimu? Tafadhali nielimishe kwa uhakika. Shukran
@HisMajesty64 itakuwa vigumu kumtambua kisha wakati pengine pakitolewa zaka na yeye ni muisilamu kisha itakuwa vigumu kupewa
@nayef3903 Shukran kwa jawabu yako bro. Allahumma Barik.
Sio lazima kama jina haina maana mbaya