SEMA G ONLINE TV
SEMA G ONLINE TV
  • 227
  • 278 041

Відео

RAIS SAMIA AKERWA"UKIMYA WANGU SIYO UJINGA"
Переглядів 10День тому
RAIS SAMIA AKERWA"UKIMYA WANGU SIYO UJINGA"
JUBILEI YA MIAKA 25 NA UZINDUZI WA ALBAM YA 3 KWAYA YA MT.PETRO MTUME MURUBONA/ USIPANGE KUKOSA
Переглядів 135День тому
Kwaya ya Mtakatifu Petro Mtume Parokia ya Murubona Kasulu jimbo katoliki la Kigoma Wanayofuraha kukualika wewe Mkristo Mkatoliki katika Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya kwaya hiyo itakayofanyika siku ya Jumapili tarehe 22.09.2024 katika Viwanja vya Kanisa Katoliki Murubona saa sita Mchana mara baada ya Misa ya PILI. Sambamba na Sherehe ya Jubilei kutakuwa pia na Uzinduzi wa Albam ya tatu ya kw...
KONGAMANO LA VIJANA KASULU DC/KATIBU TAWALA WILAYA AZUNGUMZA
Переглядів 28День тому
Vijana wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa wazalendo kwa taifa lao kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria za nchi zilitowekwa ili kuwa na maendeleo endelevu katika jamii. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala Wilaya ya Kasulu Bi,Theresia Mtewele wakati akizungumza katika Kongamano la vijana halmashauri ya wilaya ya Kasulu lenye lengo la kuwajengea uwezo vijana na kuwapa elimu juu ya uta...
CCM KASULU YAPATA MAJIBU UTATA WA UJENZI ZAHANATI YA CHEKENYA/WASEMA HAWAJALIDHISHWA NAYO
Переглядів 16421 день тому
Halmashauri ya wilaya ya Kasulu kupitia ofisi ya Mganga Mkuu wametolea ufafanuzi usajili na ujenzi wa Zahanati ya Chekenya kwa kamati ya siasa CCM Wilaya ya kasulu ambapo Mwenyekiti wa chama hicho na wajumbe wake wameonyesha kutolidhishwa na majibu hayo hivyo kuwataka kutoa kauli ya lini ujenzi wa zahanati hiyo utakamilika ili kuruhusu wananchi kuanza kupata huduma ya matibabu
CCM KASULU YAGOMEA UJENZI WA ZAHANATI ILIYOSAJILIWA KINYEMELA KIJIJI CHA CHEKENYA /KASULU DC
Переглядів 38721 день тому
Tazama Kamati ya CCM Kasulu ilivyo ibua madudu katika Zahanati ya kijiji cha chekenya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu iliyosajiliwa kinyemela na kuanza kupokea vifaa tiba na watumishi kulipwa mishahara ili hali haijakamilika ujenzi wake Swali la kujiuliza vifaa tiba hivi hinavyopokelewa vinapelekwa wapi? Na wananchi wa eneo hili wanapata wapi huduma za Afya? TAZAMA MPAKA MWISHO
WAMILIKI WA DAY CARE CENTER ZINGATIENI HAKI ZA WATOTO.
Переглядів 4Місяць тому
WAMILIKI WA DAY CARE CENTER ZINGATIENI HAKI ZA WATOTO.
KANISA NI ALAMA YA UPATANISHO KATI YA MUNGU NA WANADAMU🙏
Переглядів 20Місяць тому
KANISA NI ALAMA YA UPATANISHO KATI YA MUNGU NA WANADAMU🙏
UZINDUZI WA KWAYA YA MT.GABRIEL MUHANGE,USIPANGE KUKOSA
Переглядів 113Місяць тому
UZINDUZI WA KWAYA YA MT.GABRIEL MUHANGE,USIPANGE KUKOSA
CCM KASULU YAINGILIA KATI MGOGORO WA MIPAKA BAINA YA WANANCHI NA MWEKEZAJI KIJIJI CHA CHEKENYA
Переглядів 158Місяць тому
CCM KASULU YAINGILIA KATI MGOGORO WA MIPAKA BAINA YA WANANCHI NA MWEKEZAJI KIJIJI CHA CHEKENYA
WAMASAI NGORONGORO WACHACHAMAA WATAKA HAKI ITENDEKE
Переглядів 30Місяць тому
WAMASAI NGORONGORO WACHACHAMAA WATAKA HAKI ITENDEKE
NGORONGORO WAMGOMEA KATIBU TAWALA ARUSHA/ TUNAMTAKA RAIS AFIKE HAPA KUTUSIKILIZA
Переглядів 7Місяць тому
NGORONGORO WAMGOMEA KATIBU TAWALA ARUSHA/ TUNAMTAKA RAIS AFIKE HAPA KUTUSIKILIZA
WAJASIRIAMALI KASULU DC WAPEWA KONGOLE KUTOKANA NA UBUNIFU MBALIMBALI WANAOUFANYA MAONYESO NANENANE
Переглядів 25Місяць тому
Wajasiriamali katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wamepongezwa kutokana ubunifu mbalimbali walioufanya katika sekta ya kilimo ulioenda kubadilisha maisha ya watu. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Mhe. Dkt. Khamis Mkanachi alipotembelea banda la halmashauri hiyo ambaye leo alikuwa mgeni rasmi katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Magharibi ambapo aliwawakilish...
KASULU DC YAPONGEZWA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA MAGHARIBI .
Переглядів 31Місяць тому
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa leo Jumanne Agosti 5,2024 ametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu katika maonesho ya Nane Nane Kanda ya Magharibi yanayofanyika katika Viwanja vya Nane Nane Ipuli mkoani Tabora. - Akizungumza katika tukio hilo Rugwa amesema kuwa amefurahishwa na namna maonesho hayo yanavyoendelea hasa kwa washiriki kutoka Mkoa wa Kigoma kwa maandalizi m...
WAZIRI NAPE. TUMIENI MITANDAO YA SIMU KUWA SEHEMU YA FURSA BADALA YA MIGOGORO
Переглядів 422 місяці тому
WAZIRI NAPE. TUMIENI MITANDAO YA SIMU KUWA SEHEMU YA FURSA BADALA YA MIGOGORO
DC. MULEBA: WANANCHI LINDENI MIUNDOMBINU YA SERIKALI
Переглядів 782 місяці тому
DC. MULEBA: WANANCHI LINDENI MIUNDOMBINU YA SERIKALI
SIKILIZA KWA MAKINI UJUMBE MZITO KUTOKA KWA WATOTO HAWA
Переглядів 152 місяці тому
SIKILIZA KWA MAKINI UJUMBE MZITO KUTOKA KWA WATOTO HAWA
UNDENI CLUB ZA LISHE MASHULENI ILI KUDHIBITI UDUMAVU KWA WATOTO
Переглядів 352 місяці тому
UNDENI CLUB ZA LISHE MASHULENI ILI KUDHIBITI UDUMAVU KWA WATOTO
CHANGAMOTO YA WIZI MULEBA YAPATIWA UFUMBUZI/MKUU WA WILAYA AFUNGUKA/ULINZI SHIRIKISHIRIKISHI WATAJWA
Переглядів 1152 місяці тому
CHANGAMOTO YA WIZI MULEBA YAPATIWA UFUMBUZI/MKUU WA WILAYA AFUNGUKA/ULINZI SHIRIKISHIRIKISHI WATAJWA
WANANCHI MULEBA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII
Переглядів 552 місяці тому
WANANCHI MULEBA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII
TAZAMA MSIGWA ALIVYOPOKELEWA CCM KWA SHANGWE /APOKELEWA NA HALMASHAURI KUU CCM
Переглядів 7073 місяці тому
TAZAMA MSIGWA ALIVYOPOKELEWA CCM KWA SHANGWE /APOKELEWA NA HALMASHAURI KUU CCM
MPINA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI SPIKA NA BASHE/SIKUTENDEWA HAKI HII NDIO KAULI YAKE YA KWANZA
Переглядів 1883 місяці тому
MPINA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI SPIKA NA BASHE/SIKUTENDEWA HAKI HII NDIO KAULI YAKE YA KWANZA
RAIA WAKENYA WACHARUKA WATAKA RAIS RUTO KUJIUZULU/ WAMECHOSHWA NA VIFO VINAVYOENDELEA
Переглядів 6673 місяці тому
RAIA WAKENYA WACHARUKA WATAKA RAIS RUTO KUJIUZULU/ WAMECHOSHWA NA VIFO VINAVYOENDELEA
Prof.JANABI AZUA MAPYA, ASEMA HAWAJAWAHI KUMZUWIA MTU KULA CHAKULA, KUNYWA POMBE WALA JUICE
Переглядів 993 місяці тому
Prof.JANABI AZUA MAPYA, ASEMA HAWAJAWAHI KUMZUWIA MTU KULA CHAKULA, KUNYWA POMBE WALA JUICE
MGOMO KARIAKOO UMEKWISHA,TRA WAPIGWA STOP KUWASUMBUA WAFANYABIASHARA TENA
Переглядів 9793 місяці тому
MGOMO KARIAKOO UMEKWISHA,TRA WAPIGWA STOP KUWASUMBUA WAFANYABIASHARA TENA
SAKATA LA MIKOPO MITANDAONI NA UDHALILISHAJI LATUA BUNGENI
Переглядів 793 місяці тому
SAKATA LA MIKOPO MITANDAONI NA UDHALILISHAJI LATUA BUNGENI
MWIGULU ATOA TAMKO MGOMO WA WAFANYABIASHARA/ ASEMA MIGOMO INARUDISHA MAENDELEO YA NCHI NYUMA
Переглядів 4083 місяці тому
MWIGULU ATOA TAMKO MGOMO WA WAFANYABIASHARA/ ASEMA MIGOMO INARUDISHA MAENDELEO YA NCHI NYUMA
MADUKA HATUFUNGUI MSITULETEE SIASA/WAFANYABIASHARA KARIAKOO
Переглядів 1,1 тис.3 місяці тому
MADUKA HATUFUNGUI MSITULETEE SIASA/WAFANYABIASHARA KARIAKOO
MPINA AFUNGIWA VIKAO 15 VYA BUNGE, AFUNGIWA VILAGO NA KUTOLEWA NJE
Переглядів 6303 місяці тому
MPINA AFUNGIWA VIKAO 15 VYA BUNGE, AFUNGIWA VILAGO NA KUTOLEWA NJE
MSUKUMA: MPINA ACHUNGUZWE AFYA YA AKILI
Переглядів 3153 місяці тому
MSUKUMA: MPINA ACHUNGUZWE AFYA YA AKILI

КОМЕНТАРІ

  • @PantaleoEzrom
    @PantaleoEzrom 7 днів тому

    😂

  • @PantaleoEzrom
    @PantaleoEzrom 8 днів тому

    Apooo kwenye kutokaa nyumbanii😃😃😃

  • @GOZBERTMbogo
    @GOZBERTMbogo 12 днів тому

    Tuwekeeni nyimbo za kwaya ya Mt Gabriel Muhange

  • @germanahaule276
    @germanahaule276 12 днів тому

    Mk Hongereni nyimbo nzuriii

  • @MWALUONLINETV
    @MWALUONLINETV 13 днів тому

    Semag online on 🔥🔥🔥🔥

  • @GeorgeDayworker-gb2iy
    @GeorgeDayworker-gb2iy 23 дні тому

    Hizo mali zilizo chomwa watalipwa?

  • @AdrianNtarambe
    @AdrianNtarambe 25 днів тому

    Jaman nawatakia uzinduz mwemaa by Adrian ntarambee

  • @mshumbusideogratias9567
    @mshumbusideogratias9567 26 днів тому

    Dmo kasulu anasemaje

  • @MuhangeTv
    @MuhangeTv 27 днів тому

    Safi

  • @KwayaYaFamiliaTakatifuIpul-f1c
    @KwayaYaFamiliaTakatifuIpul-f1c 29 днів тому

    Ulakoze

  • @empafricatv
    @empafricatv Місяць тому

    Hahahaha😂 hawa Jamaa

  • @empafricatv
    @empafricatv Місяць тому

    Wanamapanga hao😂

  • @empafricatv
    @empafricatv Місяць тому

    Habari za uhakika🎉🎉

  • @MuhangeTv
    @MuhangeTv 2 місяці тому

    Tayari hatupo nae tena😂

  • @omarimnyeshani1810
    @omarimnyeshani1810 2 місяці тому

    hatari kubwa hii. Hii ndio inaitwa lugha gongana.

  • @denismilton5200
    @denismilton5200 3 місяці тому

    Nice

  • @RAJABUSAIDI-n3s
    @RAJABUSAIDI-n3s 3 місяці тому

    Yani siku zote ukisema ukweli hutakiwi mpina mungu atakuongoza utaendelea kutusemea

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 місяці тому

    sisiem ni wezi sana hawana huruma

  • @nathanpangjanda2734
    @nathanpangjanda2734 3 місяці тому

    Njooni brazil mjifunze jinsi kukusanya kodi hapa kila kitu ni mtadaoni (online) na kila mtu hanalipa kodi

  • @CotaManywele-vg9ti
    @CotaManywele-vg9ti 3 місяці тому

    Yote kwa yote mama wananchi hawataki swala LA kikokotoo kwani si haki jambo hili kulilazimisha kimabavu huku raia wastafu wikteseka kupitia kikokotoo, na why mnalazimisha hili jambo?

  • @EouniqueNdayizamba-gq2ej
    @EouniqueNdayizamba-gq2ej 3 місяці тому

    Asante sana

    • @nsiamasawe4578
      @nsiamasawe4578 3 місяці тому

      Ninyi wenye mitaji midogo nendeni mkafungue biashara. Msikae hapo kusindikiza wenye mitaji mikubwa wanawatumia tu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому

    Mpina amekuwa anatututetea wanainchi kwa muda mrefu tunawafahamu hao wabunge usijali sana. Tunakupa hongera sana inapokuwa kutetea wanainchi huwa hawachangii ila kwa ushabiki leo kila mtu amechangia

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому

    Mpina tuko nyuma yako na tunakuombea sana sana hao wabunge ni wachawa tu hamna lo lote nasi wanainchi tuko pamoja ba wewe Mpina. Acha wabunge walio kwa ajili ya matumbo yao tu

  • @EnosKasigala
    @EnosKasigala 3 місяці тому

    Hiyooo ndiyo hekima

  • @ALICEMilton-dc1bc
    @ALICEMilton-dc1bc 4 місяці тому

    ❤❤❤🙏

  • @ALICEMilton-dc1bc
    @ALICEMilton-dc1bc 4 місяці тому

    ❤️❤️❤️🙏

  • @ElenestiMpendwa
    @ElenestiMpendwa 4 місяці тому

    Nice song ❤kutoka kasenyi nawapenda sana ❤❤❤

  • @remijimuna3357
    @remijimuna3357 4 місяці тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jeftakatunzi5019
    @jeftakatunzi5019 4 місяці тому

    aho nyene

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 4 місяці тому

    Aiseeee duu🎉 TAMAA MBELE MAUTI NYUMA😊

  • @RobinsonNewtonDunia
    @RobinsonNewtonDunia 4 місяці тому

    Dada video haina sauti

    • @SEMAGTV
      @SEMAGTV 4 місяці тому

      Sauti ipo boss jaribu ku ungeza sauti kwenye kifaa unachotumia kusikiliza

  • @AlphoncinaFocus
    @AlphoncinaFocus 4 місяці тому

    Hapo Mungu asimame tu!

  • @ElenestiMpendwa
    @ElenestiMpendwa 4 місяці тому

    Aba kristu bacu ❤❤from Burundi 🇧🇮kasenyi

  • @mtonosheby2070
    @mtonosheby2070 4 місяці тому

    Good job

  • @denismilton5200
    @denismilton5200 4 місяці тому

    Pamoja sana

  • @didassadik8075
    @didassadik8075 4 місяці тому

    Kiongozi

  • @GeorgeDayworker-gb2iy
    @GeorgeDayworker-gb2iy 5 місяців тому

    Hongeren sana

  • @OswinLaurent
    @OswinLaurent 5 місяців тому

    Tuko pamojaaa

  • @OswinLaurent
    @OswinLaurent 5 місяців тому

    Tuko pamojaa

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 5 місяців тому

    😂😢🎉

  • @aidanfrancis7209
    @aidanfrancis7209 5 місяців тому

    Hongereni sana, natamani turudi kongamano la kijimbo kama lile la 2018.

  • @eliezelrambo2560
    @eliezelrambo2560 5 місяців тому

    Nice love frim burundi❤

    • @SEMAGTV
      @SEMAGTV 5 місяців тому

      Thank you for your support 🙏

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 місяців тому

    Mzee Sumay haya bana. Tumekuelewa.

  • @rehemamkude6766
    @rehemamkude6766 5 місяців тому

    Yes Mungu akulinde mama na uzao wako

  • @LeticiaBenjamini
    @LeticiaBenjamini 5 місяців тому

    Waoooo thanks Amina semagogwa❤❤❤

  • @StephanoMabula
    @StephanoMabula 5 місяців тому

    Hakika nimebarikiwa sana na Hawa watoto wa shirika la utoto mtakatifu. Ruzoka 2018 alipohamia tabora mm nilikuwa Itaga Seminary na nimelelewa katika mikono yake . Mungu Amtunze askofu Ruzoka pamoja na Rugambwa

  • @denismilton5200
    @denismilton5200 5 місяців тому

    Kazi mzuri ,naipenda sana hii kwaya

  • @MuhangeTv
    @MuhangeTv 5 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 5 місяців тому

    Sio bongo micharuko ndio mingi hakuna kabisa wakija kanisani au misikitini niwatu ila wakirudi manyumbani mwao sio hao lazima kama baba una akili nguvu ni muhimu vinginevyo kubali mama atakua anapaka kucha rangi wee unafua au kupika mzee kama ulibahatika kizazi chema sema asante mungu huku kwenye kulikobaki tulia ikiwa uliwafungia ndoa watakuja na utajua mtaani kuna mavietcong sio wanawake ndio maana hata walio kwenye ndoa wamerudi kuwa kwenye vikosi maalum vya uokoaji japo wapo kwenye ndoa huwezi amini mnawaapisha uaminifu misikitini na makanisani ila wakitoka hapo kiapo inamezewa na bia ili mambo yawe bam bam sawa sawa sasa subiri wiki au mwezi mnyama wa msituni anarudi chaka rasmi utapona kichaa tukio zinazopigwa hapo ni kikoba na misa za usiku wakati hakuna mkesha wacha kabisa unaweza tamani kua na familia ya wapagani kama kanisa ndio chanzo ila ukija kwenye ukweli huwa tabia haina dawa sasa chaguo nilako utaendelea au utaamua kushuka kituo kijacho

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 5 місяців тому

    What do you mean mzee