Tutauza Miraa door to door, Raila Diehards Makarina, Okanga, Omosh & Lawi defend Miraa!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 159

  • @thewizard4436
    @thewizard4436 4 місяці тому +5

    Miraa is a good plant 😂 , jaribuni kureta shida mombana mtapata shida kuliko iliyotokea riftvalley 😂😂

    • @aminamarie2387
      @aminamarie2387 4 місяці тому

      Daaaa yaani nyingi jamaa amala muko na LAZIMA mbaya Sana,si mupeleke Tanzania kwani NI coast pekee NDIYO target

  • @JohnyMacodez
    @JohnyMacodez 4 місяці тому +3

    Omosh amepewa na mbna hakuli😂😂😂

  • @proflihgton8202
    @proflihgton8202 4 місяці тому +7

    small brains are costing us. we can not compromise health issues over money.

    • @RobleyOmwenga
      @RobleyOmwenga 4 місяці тому

      Umelazimishwa kukula😅😅😅

    • @hamisibanzi5049
      @hamisibanzi5049 3 місяці тому

      Kutuletea mgokaa mombasa ni kutulazimisha tukule

  • @pacificabaursch4430
    @pacificabaursch4430 4 місяці тому +2

    Hatuongoji kifo ndio tuseme kama vile kwenu mwapenda pesa tuu.

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 4 місяці тому +2

    This jaluo and luhya have they become bodyguard of macarena😂😂😂

  • @Justuskengere98
    @Justuskengere98 3 місяці тому

    Lipa nuru na omoshi

  • @BENARDARAMISIKEYA
    @BENARDARAMISIKEYA 4 місяці тому +1

    hiyo mgoga ni mbaya sana. ni kenya tu tunakaa kama mbuzi

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 4 місяці тому

    Zamzam ni mama na amekufanya umefukungua mdomo... Jiangalie

  • @nyakwarchuma2475
    @nyakwarchuma2475 4 місяці тому +3

    Miraa should be banned all over Kenya...

  • @juliuskimathikimathi4053
    @juliuskimathikimathi4053 4 місяці тому +1

    Ata manyumba yao ile tunaishi uku mombasa wanapoke pesa kila mwenzi awajui pesa inatoka kwa miraa na mugoka.

  • @chummachamtaani7395
    @chummachamtaani7395 4 місяці тому

    Wewe hata ni mpuzi brother sisi vijana ndio hatutaki mungkaa

  • @mwambaowapwanichannel8572
    @mwambaowapwanichannel8572 4 місяці тому

    wasanii hakuna vile munaongea

  • @Kamanda.45
    @Kamanda.45 4 місяці тому +2

    Mombasa kazi hakuna ndio maana vijana wako idle wanakula jaba kila wakati

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 4 місяці тому

      Bado huja sema hawana kazi lakini pesa za jaba ziko kweli akili zenu ziko matakoni

  • @BMboss108
    @BMboss108 4 місяці тому

    Hawa watu wazima hawana nidhamu kabisa..maongezi yao hayana nidhamu kabisa

  • @samuelomariba1385
    @samuelomariba1385 4 місяці тому

    Nuru na omosh plz ambia makarina to give u something small ..wacha kujalibu kutumia miraa ..wacha kutmiwa like a used condom plz

  • @sulehmanariek2865
    @sulehmanariek2865 4 місяці тому

    Sisi hatusemi miraa twasema MUGUKAA ... Hatutaki MUGUKAA msa waende wauze Huko western na nyanza kama wanataka sisi tuleteeni vyakula...tutanunua

  • @tatujuma8781
    @tatujuma8781 4 місяці тому

    Jaribuni mulete..

    • @Eiarlk
      @Eiarlk 4 місяці тому

      Imeletwa mingi haukuona kanji akioigwa ikiingia

  • @jacksonmutua1013
    @jacksonmutua1013 4 місяці тому +13

    Nuru na omosh ni njaa inawasumbua😂😂 hapa ni kitu kindogo walikuwa wanataka 🤣🤣☺️

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 4 місяці тому +1

    Gavana wa mombasani tafadhali usikubali kuhongwa..miraa mugukaa n mbaya sana kwa afya..wenye wanaitetea ni wauzaji c wakulaji..

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku9714 4 місяці тому +4

    Hii madharahu mnaonyesha wapwani Mtajuta.

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 4 місяці тому +1

    Mahali mnaongelea kwanza mmejificha..muache io upuzi yenu..miraa n drugs..makarina anaitetea kwasababu inampea pesa..izo shamba umelima miraa ingolewe yote upande maindi..

  • @zingaparadisesafaris7366
    @zingaparadisesafaris7366 4 місяці тому +2

    Kumbe MUNGU alijua kwanini akufanye vyenye uko.

    • @aminasaid9382
      @aminasaid9382 4 місяці тому

      😅😅😅uchokozi Astaghfirullah Jee km alijiachilia Mwili nao ukajiachia looh kazi ipo ila hatutaki si mngokaa wala Miraa haina Nutrients yoyote Bali maradhi na kuwaist time na pesa badala kufanya ya maana cbsi tena haitakikaniwi coast ni haramu,ina madhara inaharibu mazingira,vijana na pesa hatutakiii Km noma iwe noma mwaka wari nimwange mboga anaongea upuuzi mtupu huyu kiboko 😂

  • @jumangalaa179
    @jumangalaa179 4 місяці тому +1

    Kwani kuna biashara ya lazima? Mombasa walisema hawataki mugukaa muache ujinga na ww kilema makarina jiheshimu.

  • @aminasaid9382
    @aminasaid9382 4 місяці тому

    Hakuna Miraa wala mngokaa Msa-klf Nooop bc hatutaki biashara fanyeni huko kwenu Meru hatutakiiii Banned and banned forever and ever kisha Coast yote nt only Msa and Klf munalia sana wajinga ni nyinyi 😅😅😅nonsense

  • @pacificabaursch4430
    @pacificabaursch4430 4 місяці тому

    Nuru and Omoshi are now goats chewing like goats. Mtapata mwausia mapaka kama binadamu. Sell in your acounties but No No miraa and moguka in Mombasa

  • @jumajames1767
    @jumajames1767 4 місяці тому +2

    So kunatafauti ya miraa na muguka chenye kilikuwa banned Mombasa ni muguka na sio miraa so hapo chenye omosh na Nuru wanaongelea kuhusu miraa na sio muguka

  • @mwambaowapwanichannel8572
    @mwambaowapwanichannel8572 4 місяці тому

    Body language yenu munajilazimisha kuongea hiyo ina maanisha mume leweshwa na pesa

  • @HassanHassan-pk8or
    @HassanHassan-pk8or 4 місяці тому

    Plz plz plz stop your stupidity Mombasa au coast hawajapinga miraa Bali wanapinga mogokaa mogokaa mogokaa ndio ndio watu hawataki

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 місяці тому

    Jaribu kuuza door tu dooruone kitakachokupata huna akili wewe wala ufahamu. Kwani nilazima muuze coast hatutaki

  • @AlphonceOmari
    @AlphonceOmari 4 місяці тому

    Watu wa Meru hawajazaliwa mombsa bro na hatutishwi na mido mo yenu .Hatutaki mugukaa

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 4 місяці тому

    Kwa nini tunakataa muguka msa....ni kwa sababu hata kiwete kama makarena akishikisha ataasahau kama hana mguu atembee kwa akipiga nduru.....hakii aki ngai miguu imerudi.....muguks ni mbaya

  • @juliuskimathikimathi4053
    @juliuskimathikimathi4053 4 місяці тому +3

    Kampuni ya gomba na P.K ikilipa ushuru ni pesa ya miraa na mugoka.

  • @HamidaMohamed-be5kg
    @HamidaMohamed-be5kg 4 місяці тому

    We nimsenge wwe mgukaa
    na miraa wapi na wapi acha ushoga babu hilo tumbo limejaa hiyo mugokaa

  • @TeresiaNambui
    @TeresiaNambui 4 місяці тому

    Usisahau pia wameru tunanazaa watoto wengi na wanakula sisi hatujai ona madhara vijana wao waschane na cocain na bhang

  • @HamidaMohamed-be5kg
    @HamidaMohamed-be5kg 4 місяці тому

    Kwani ni lazima mutuuzia sisi wapwani si muwauzie watu wakisumu noor okanga nilizania
    una akili bt akili yako yako ni mikojo ya nyoka ndo maana unaropokwa

  • @MohammedshaabanMwazembe
    @MohammedshaabanMwazembe 4 місяці тому

    Nenda ukasome wewe kichwangumu atakiswahili ujui simuuzie ukokwenu

  • @fablovesaadi9879
    @fablovesaadi9879 3 місяці тому

    Hio muguka ni sumu muende mkauziye kwa watu wenu kule meru na embu. Shenzi types

  • @MulhanMohamed
    @MulhanMohamed 4 місяці тому

    Huyo jamaa liko kama jimama mjinga ww kula na familia yako mshenzi ww kwavile serikali niyenu

  • @Apostledan.
    @Apostledan. 4 місяці тому

    People think by opposing everything, they will become relevant. Okanga and the rest are just looking for fame.

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 місяці тому

    Kuna kitu tutafanya ili mjue pwani si ardhi ya kuchezewa
    Kuna viongozi walijaribu kuchezesha wanawske ngoma ndani ya mwezi mtukufu matokeo waliyaona sasa nyinyi jifanyeni mnakiburi tutawanyoosha mapema

    • @Eiarlk
      @Eiarlk 4 місяці тому

      Pwani pekee ndio huwa na mwezi mtukufu Nairobi Hainanga mwezi mtukufu, vitisho vitisho na hakuna kitu miraa inauzwa ata saa hii tunaongea

  • @bakaribwata4748
    @bakaribwata4748 4 місяці тому

    Muelewe hiyo kauli ya marufuku ya mugoka si ya gavana ni ya wananchi

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 4 місяці тому +1

    LAZIMA NI mbaya,kwani kwelini nyingi NI mbari za nguvu weeee muko na LAZIMA mbaya

  • @michealchangawa
    @michealchangawa 4 місяці тому +1

    Hamujielewi ni mungukaa ndio hauletwe hapa nyinyi ndio akili zimejaa mavi

  • @idalahow
    @idalahow 4 місяці тому +2

    Hawa hawajui Watu wa Coast......wamewasikia....Wasomali pia wata burn....

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi9533 4 місяці тому

    Wacha hivio wajrbu kuchoma ata moja awawzi pita nairbi watafte barabra yao

  • @JudithNgula
    @JudithNgula 4 місяці тому

    Atutaki Mbuzi watu Mombasa uzeni kweni sio lazima Mombasa 😈

  • @sebastiancharo4247
    @sebastiancharo4247 4 місяці тому +1

    Hamna akili nyote

  • @Millerremmy
    @Millerremmy 4 місяці тому +4

    Nyinyi ni njaa inawasumbua pumbavu kabsa

  • @Wfh-z3h
    @Wfh-z3h 4 місяці тому +4

    Miraa ni mbaya. Nothing you say will change that

  • @FeisalFaraj-n9i
    @FeisalFaraj-n9i 4 місяці тому +1

    Mashoga watupu hao

  • @MulhanMohamed
    @MulhanMohamed 4 місяці тому

    Mwatumia ubavu kwakuwa serikali niyenu wapumbavu nyinyi

  • @MohamedButhul
    @MohamedButhul 3 місяці тому

    Wasomali ya garissa pia hatutaki mira mkule wenyewe

  • @hometownke.9658
    @hometownke.9658 4 місяці тому +1

    Hakuna hatutaki hata mbuzi hakuli uzia huko kwenu

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 місяці тому

    Miraa na mungoka ikishikwa i nyunyiziwe sumu yote

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 4 місяці тому +3

    Uza kwenu huko meru c mombasa

  • @khalidmainala2570
    @khalidmainala2570 4 місяці тому

    Kumbe hata akili hamna ng'ombe nyinyi

  • @FuadMohamed-k7o
    @FuadMohamed-k7o 4 місяці тому +2

    Miraa ni Drugs.miraa sio samaki na sio maziwa.

  • @idalahow
    @idalahow 4 місяці тому

    Where are North Eastern Governors....let them stop Miraa and Mugukaa...Acheni Miraa pandeni mahindi...matunda na vitu zingine....Miraa na Mugukaa ni drugs hata hazikubaliwi UK, EUROPE, UARABUNI....Except labda tu Yemen na Somalia...na hizo pia zita haramishwa karibuni

  • @froma3732
    @froma3732 4 місяці тому +1

    Hebu tuelewane ni Mingoka ndio tumekataa na ndio imetoka

  • @ramseyclassic6601
    @ramseyclassic6601 3 місяці тому

    Sasa kama sisi hatutaki mbona uko na lazima ya kuletwa uku

  • @willyonline2295
    @willyonline2295 4 місяці тому

    Hawa woote ni watafunaji lazima wajitetee😂😂😂

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 4 місяці тому

    Yani makarina unatumia nguvu mingi sana watoto wetu waaribike na io miraa..? makarina nauliza ukweli wewe watoto wako wanatumia migukaa kweli..? Io n drugs... enyewe wenye pesa 😢😢

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 4 місяці тому

    Miraa is not cocaine or heroin..tell wakosto😂drug Barron's..we know wanajaribu kufanya Ile kitu

  • @salomewambui7417
    @salomewambui7417 4 місяці тому

    Madawa haitebei siku hizi ati wanajifanya

  • @MuhammadJaffary-uu6zl
    @MuhammadJaffary-uu6zl 4 місяці тому

    okanga leo ndiyo nime fahamu huna akili pili muguka iliyo pigwa marufuku na siyo mira tatu ripoti kutoka kwa madaktari walo toa madhare yake muisho wacheni kujitoa akili

  • @MulhanMohamed
    @MulhanMohamed 4 місяці тому

    Wajinga ni nyinyi washenzi serikali niyenu

  • @richbird.123
    @richbird.123 4 місяці тому +1

    Kuleni wenyewe jamani anae taka kuwa mbuzi kama nyinyi awafate mombasa hatuwatakiiiii

  • @idalahow
    @idalahow 4 місяці тому

    Acheni Miraa pandeni mahindi...matunda na vitu zingine....Miraa na Mugukaa ni drugs hata hazikubaliwi UK, EUROPE, UARABUNI....Except labda tu Yemen na Somalia...na hizo pia zita haramishwa karibuni

    • @DeejayRaskim
      @DeejayRaskim 4 місяці тому

      Uko na shinda sana,,, fighting plants 😂😂mtakufa mziache,no one is forced to it.... People you like live by school books alone???

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 4 місяці тому

    Wacha porojo wewe bichwa kubwa

  • @Climate4
    @Climate4 3 місяці тому

    Hakuna mogokaa pwani liwe liwalo

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 місяці тому

    Mgokaa hatutaki utanaki huko kwenu

  • @ThilkadriJuma
    @ThilkadriJuma 4 місяці тому

    Wewe tokea tutafukuza wameru huku

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 4 місяці тому

    Kiwete punda, na ngombe iliyofeli jss wale wanafanyiwa kampeni na punda hizi nne hawataona uongozi wa inchi hii

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 4 місяці тому

    Iliyo wapeleka hapo ni njaa

  • @densymsanga9850
    @densymsanga9850 4 місяці тому

    Lawi wewe sasa umekua mjinga sana

  • @nahidabooko1446
    @nahidabooko1446 4 місяці тому

    Mbona Mombasa mbona msikule Miraa ndio Muendelee kuzungumza upizi kama huo

  • @JohnOrutwa-ks1vv
    @JohnOrutwa-ks1vv 4 місяці тому

    Miraa na muguka ichomue

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 4 місяці тому

    Alafu mukuje kuuza kwetu hizo uchafu tutawaua!!! Pia

  • @michaelkarisa5270
    @michaelkarisa5270 4 місяці тому

    Pumbavu zenu nyinyi watu wanaongea kuhusu mogokaa, si muende uko samalia basi.

  • @PaulKisui
    @PaulKisui 4 місяці тому

    unakula chenye unatska

  • @bakaribwata4748
    @bakaribwata4748 4 місяці тому

    Tena unaita watu wajinga

  • @richbird.123
    @richbird.123 4 місяці тому

    Wewe kiwete umetafuta kondoo wenzako munabwabwatuuu wewe leteni muone

  • @barakakisioki
    @barakakisioki 3 місяці тому

    mluhya&mmeru&mkale&mjaljo😂😂😂😂😂😂

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 4 місяці тому

    Nuru okanga, been following you for long now but have loosen my subscription

  • @Issah-kh2dn
    @Issah-kh2dn 4 місяці тому

    Yani sai ndio mnaproof kua miraa na mgukaa inafaa kua banned juu munekaa wendazimu nyote.

  • @franciskinyua-fd1th
    @franciskinyua-fd1th 3 місяці тому

    Dadi barikiwa sana

  • @AlphonceOmari
    @AlphonceOmari 4 місяці тому

    Nenda uuze kwenu

  • @idalahow
    @idalahow 4 місяці тому

    Wale wasomali wanakula miraa hawazai.....na only 5% ya wasomali ndio wanakula

  • @salimhamisi29
    @salimhamisi29 4 місяці тому

    Washenzi nyingi, mazee mazima kuanika matako yenu kw screen Tu.....acheni siasa tunaongea afya hapa wanoko sana. Akili zenu kuma ya maji maji

    • @DeejayRaskim
      @DeejayRaskim 4 місяці тому

      Mwalimu wa matusi... shameless plug 😅

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 4 місяці тому

    Shenzi zenu

  • @zedyabach8453
    @zedyabach8453 4 місяці тому

    See the lifestyle of the man talking then compare it with the ones standing behind him taking miraa. .. that’s the effect of miraa

  • @kazungukatozi6475
    @kazungukatozi6475 4 місяці тому

    Kwani nilazima kuuzia wapwani mugoka nyinyi bure kumbe

  • @jacobisrael8236
    @jacobisrael8236 4 місяці тому

    Kwani nuru ni mafi gani unasema wewe ujinga ndio uko nayo

  • @oscarnyaanga6366
    @oscarnyaanga6366 4 місяці тому

    Mukundu

  • @Kamanda.45
    @Kamanda.45 4 місяці тому +5

    For the first time nmesupport hawa jamaa

  • @jacobisrael8236
    @jacobisrael8236 4 місяці тому

    Unakulanga polepole na haujui bei ju unapewa ya bure

  • @trizahmacharia2939
    @trizahmacharia2939 4 місяці тому

    Makarina sema ume finywa makangari😂😂😂😂

  • @MrTechnology975
    @MrTechnology975 4 місяці тому +3

    Hatutaki miraa mombasa.🙌🏽

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 4 місяці тому

    👹👹👹👹👹👹👹

  • @stephenmutinda9656
    @stephenmutinda9656 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂