Vijana Nairobi waandaa maandamano ya amani, polisi wakiweka kizingiti

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 13

  • @nyakeshrrjb77
    @nyakeshrrjb77 3 дні тому +7

    ruto the butcher of Kenyan citizens, must put to a stop and resign like yesterday!!!!

  • @howto3013
    @howto3013 3 дні тому +5

    Remove the butcher of sugoi from the goverment,.........The only butcher who never runs out of stock

    • @jav856
      @jav856 3 дні тому +1

      Teach your children to respect leaders

  • @AnnaAponga
    @AnnaAponga 2 дні тому

    Fujo haitaleta solution,kaeni chini mjue vile mtatatua problems

  • @MaryMuthoka-x9t
    @MaryMuthoka-x9t 2 дні тому

    Kibok gani ww unaongea aje uko na watoto kweli, ? Na ww ni nani?

  • @AhmedAli-u1v9r
    @AhmedAli-u1v9r 3 дні тому

    Nyinyi mnataka fujo wacheni ujinga ya kuharibu nchi

    • @PraxidesWere
      @PraxidesWere 3 дні тому +2

      Leo Itumbi amewalipa fity sindio😂😂

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 3 дні тому +3

      Yaani Kuna watu wako na akili finyu sana..ila mwalimu siku Moja alituambia..mlio WA ambulance Iko na kelele ikiwa mgonjwa sio familia yako .hebu chukulia kama mwenye ametekwa na amepotezwa ni ndugu yako,aliyepotezwa ni mtoto wako,aliyepotezwa ni mtoto WA mjomba yako .hivi ungeongeza huo upuzi!!?

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 3 дні тому +1

      Bt sikulaumu...jina lako linatosha kabisa kunithibitishia kuwa ww sio mkenya. N WA kuja..so huoni uchungu wowote .kwanza waarabu..wale watu n umbwa sana . although walituletea dini

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli 3 дні тому +2

    Maandamano gani😅😅😅kiboko lazima ifundishe vijana heshma na nidhamu

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 3 дні тому

      Wana kelele sana and they are being sponsored to behave like hooligans

    • @Msemaukwelikweli
      @Msemaukwelikweli 3 дні тому

      @erickjuma7643 exactly nidhamu lazima wafunzwe