Mungu awe pamoja nawewe.Mungu akuinue,awainue,atuinue tuungane na Aida mbunge wa Nkasi,katika hoja yake ya marekebisho ya Katiba.Hoja nzuri saaaaana.Taifa letu pamoja.
Mwanangu Aida namkubali. Na hakika yupo katika ile orodha yangu ya wanapinduzi watetezi wa umma wananchi wanyonge. Ni dhidi ya orodha ya wapinga mapinduzi ambapo si muda nitakuja nayo ikiongozwa na baba Steave Wasira!
Eti mafisiemu yanasema mwandamizi huyo jaji anateuliwa na rais wakati naye ni mgombea danganyeni hiyo misukule ya fisiemu watanganyika hatutakubali huo ujinga wenu never eva
Inavyooneka mwaka huu na mwaka kesho wizi wa kura utakuwa ni mkubwa kuliko miaka iliyopita kwasababu CCM itataka kujidhihirisha kuwa Bado inapendwa na wananchi
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Siku zote Aida upo vizuri, hongera sana Aida Kenani.
Asante Aida kwa nia yako na kusudio jema, mungu akalisimamie litimie.
Ubarikiwe sana dada yangu mungu akusaidie
Asante sana Mbunge, wewe ni mwakilishi kweli wa wananchi,
Hongera sana Dada Mungu akutangulie barikiwa sana
Mungu awe pamoja nawewe.Mungu akuinue,awainue,atuinue tuungane na Aida mbunge wa Nkasi,katika hoja yake ya marekebisho ya Katiba.Hoja nzuri saaaaana.Taifa letu pamoja.
Uko vizuri sana.
Hongera Aida...🎉🌷
AIDA KENANI CHUKUA MAUA YAKO,MUNGU AKUTIE NGUVU,AKUBARIKI SANA Kwa kusimamia haki ya kikatiba kwa wananchi
AIDA KENANI ❣❣❣❣👏👏👏
Kweli wewe ni mpiganaji; upon vizuri; hongera.
Barikiwa sana mpendwa,kwa kazi nzuri.
MUNGU WA MBINGUNI AKUTANGULIE SANA UMEBEBA MAONO MENGI YA WATANZANIA TULIO WENGI
Hongera dada
Uzuri Tanzania sio nchi ya kifalme. Hongera Mh Aida
Sura.nzuri.akili.nyingi.unawazidi.wapiga.makofi..na.waluka.sarakasi.wa.ccm.big.up
Hongera Mheshimiwa kwa kusimama na katiba wewe ni kama David unayepambana na Goliath usiogope kwani nyuma yako kuna jeshi kubwa
Dada yetu chaps kazi uko vzr
Mwanangu Aida namkubali.
Na hakika yupo katika ile orodha yangu ya wanapinduzi watetezi wa umma wananchi wanyonge. Ni dhidi ya orodha ya wapinga mapinduzi ambapo si muda nitakuja nayo ikiongozwa na baba Steave Wasira!
Great politician...kupigania haki, na uzalendo ww ni mfano ...ninaikubali kazi yako mama...
Mhs aids kenani hongera sana mdogo wangu kwakuujua wajibu wako nchii hii niyetu wote
Mungu awepamoja na wewe tupo nyumayako,wewe nijeshi.
Good
Du ongera dada unajitambua sana kwa hoja kujieleza nk
Wanavyogonga meza jamani meza zile sijui ni mtigani mgumu balaa
Umwana wa mfipa hiyo msimamo ndo jadi yetu hatumbiswi
Siyo wamama wengine wanahamia kwa vyama vinavyotukandamiza badala ya kupambana
Sema aina mzuli jamani
Mfipa huyu Leza akupepelele uzidi kushika vyeo tz
Eti mafisiemu yanasema mwandamizi huyo jaji anateuliwa na rais wakati naye ni mgombea danganyeni hiyo misukule ya fisiemu watanganyika hatutakubali huo ujinga wenu never eva
Fisiemu msiogope uchaguzi uwe huru na haki huku yakijinasibu kwamba yanakubalika ni aibu kubwa
Sasa kama umepitisha miswada unaongea Nini?
Kidole kimoja haiuwi chawa nadhani nimekujibu asante
Kwani? Kuna Mfalme gani? Anaye Weza kutengeneza Njia ya kuondoa ufalme wake?
Ukosawa dada lkn hao ccm watakubali? Maana wakowengi kazi Yao ndiyooooo hawajui chochote
kuna faida kubwa ktk kujaribu kwani inakwenda kwy rekodi kuwa hukukaa kimya kama wengine bali ulisimama kupigania katiba historia itakukumbuka
@@musa-v3f nikweli asee
Inavyooneka mwaka huu na mwaka kesho wizi wa kura utakuwa ni mkubwa kuliko miaka iliyopita kwasababu CCM itataka kujidhihirisha kuwa Bado inapendwa na wananchi
@@salummohamed2689 ccm wanaogopa katiba mpya Kwasababu tukishakua na katiba mpya ccm bay bay Tena itakufa kifo chamende