kizibo abaki shule peke yake likizo ya pasaka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 93

  • @laliakiza371
    @laliakiza371 3 роки тому +2

    Eti wa kwanza ni king kiba😁😁

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      Hahahaha King kiba ni kingdom jaman wanafunzi wa kizazi cha smartphone

    • @laliakiza371
      @laliakiza371 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation nimatatizo matupu😁😁

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@laliakiza371 🤣🤣🤣 ni hatari sana 🔥🔥

  • @ansillakimaro6193
    @ansillakimaro6193 3 роки тому +1

    Nzur sana

  • @shredor9986
    @shredor9986 3 роки тому +2

    Nzuri sana kbs

  • @calvinonlinetv5845
    @calvinonlinetv5845 3 роки тому +3

    Leo sauti mbaya

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Leo ni sikukuu hivyo watu wanaoingiza sauti wako na familia zao wanasherehekea pasaka. Naomba mnivumilie kwa leo 🙏🙏

  • @sesiliaselevano5845
    @sesiliaselevano5845 3 роки тому +2

    Nawapenda xana jaman❤❤❤ kuhusu saut cwez laumu kwa sababu najua ni leo 2 ila cku zote zinakuaga vzr

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Asante Sana sesilia kwa kuwa muelewa maana leo nilikuwa peke angu wenzangu leo wanasherehekea sikukuu na kwenye ratiba ilikuwa ni lazima niwape kazi mpya

    • @sesiliaselevano5845
      @sesiliaselevano5845 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation ucjal love me nmekuelewA ndo mana Cjathubutu hata cjalaum❤

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      @@sesiliaselevano5845 Asante Sana sesilia kwa upendo 🙏🙏❤️❤️

    • @sesiliaselevano5845
      @sesiliaselevano5845 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation ok dear❤❤❤

  • @rahemaheri1615
    @rahemaheri1615 3 роки тому +3

    Saut leo mbaya

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      Pole Rehema naahidi kuifanyia kazi changamoto iliyotokea leo

  • @barakakiula8909
    @barakakiula8909 3 роки тому +1

    Nawakubali sna

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Asante sana Baraka 🙏🙏 japo leo nimewaangusha kwenye sauti

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 3 роки тому +1

    Kingkiba 👑

  • @ashuramustafa7459
    @ashuramustafa7459 3 роки тому +1

    😂😂😂king kiba

  • @leilasadick5477
    @leilasadick5477 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Kuziboooi🤣🤣🤣🤣

  • @markbosire6356
    @markbosire6356 3 роки тому +3

    Sauti ya kizibo ni nzuri ila ya baba kizibo hapo ndipo mlipo paharibu

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Poleni kwa changamoto ya sauti naahidi haitojirudia tena 🙏🙏

  • @emmyjessuorene6565
    @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

    Eeeeh baba kizibo nae noma ety abaki shule nawakati wapo likizo

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      Baba anataka mtoto wake awe raisi ndio maana anataka abaki shule asome kwa bidii hahahaha

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation 😂😂😂😂😂😂😂😂😂we mwanaume umenichekesha ety yataka awe rais sasa akibaki shule ndo atakua rais? Amuache2 aende rikizo

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@emmyjessuorene6565 mzazi anaamini mtoto akibaki shule ndio anasoma 🤣🤣🤣

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation 🤣🤣🤣🤣haya aendelee sasa kumbakisha shuleni yeye pekee yake nawakti wengine wapo likizo unafikili atasoma kweri?

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@emmyjessuorene6565 🤣🤣🤣 hakuna kusoma hapo ni kulia tu usiku na mchana

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 роки тому +3

    Amemrudisha kweli 🤨

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      🤣🤣 ndio amemrudisha. Pole zuheor kwa changamoto ya sauti iliyotokea leo 🙏

  • @yahyasalum5634
    @yahyasalum5634 3 роки тому +3

    😊😊😊😊 smoking

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      🤣🤣 smoking 🙌. Pole salum kwa changamoto ya sauti iliyotokea leo 🙏🙏

    • @yahyasalum5634
      @yahyasalum5634 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation msijal but it is so great

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Thank you so much much salum

  • @williamrichard248
    @williamrichard248 3 роки тому +3

    Sautii jamaniii

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Pole William naahidi kurekebisha changamoto ya sauti haitojirudia tena 🙏

  • @ziporasimion9759
    @ziporasimion9759 3 роки тому +1

    Nzuri💖💖💖

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 роки тому +1

    💖💖💖Nzur💋

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 3 роки тому +1

    Eti king bika🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zenaabdhallah5331
    @zenaabdhallah5331 3 роки тому +1

    Jam an🤣🤣🤣🤣😃uu Kwel n ukwel Mtupu ju watoto wamerudi nyuma ju y likizo cmekua nyingi unaxoma 3months Una bak om 1yr c mtoto akakua kasahau kila k2 ila was aniii kwa akili🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      🤣🤣🤣 ni hatari Sana zena. Asante kwa upendo kutoka kenya ❤️❤️🙏🙏

  • @emmyjessuorene6565
    @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kizibo kapatia majibu ya baba duuh

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      Hahahaha kizibo kazingua anachezea tu ada ya baba ake

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation uelewa wake kizibo ni mdogo sana hata sijui shule anaandika nini🤣🤣

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@emmyjessuorene6565 unajua comment zako Emmy zinanivunja mbavu 🤣🤣🤣 eti hujui huko shule anaandika nini 🙌🙌

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation 😂😂😂😂 furaha kwako baba so nisemeje kwa mfano wew mwenyewe umesikia majibu aliojibu baba yke ukimsikiliza kweli vzur huyo kizibo unafikili shule kunakitu kweri? Kuhusu kuchek jichekee tuu uongeze siku za kuishi

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@emmyjessuorene6565 sawa Emmy nakubaliana na wewe 🤣🤣

  • @glorykamenya2543
    @glorykamenya2543 3 роки тому

    Kilaza hahaha

  • @damakachererwa8382
    @damakachererwa8382 3 роки тому +2

    😘😘😘😘😘❤️

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Asante Dama 🙏 ila pole kwa changamoto ya sauti iliyotokea leo

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 роки тому +1

    😂😂😂

  • @neemaibrahim679
    @neemaibrahim679 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 3 роки тому +2

    😍😍😍😍🙏

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому

      Poleni lakini leo nimetuma sauti za computer 😔😔

    • @maryamanalisi197
      @maryamanalisi197 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation 𝑢𝑠𝑖𝑗𝑎𝑙𝑖 𝑚𝑦 𝑠𝑖𝑘𝑢 ℎ𝑎𝑧𝑖 𝑓𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 роки тому +1

      @@maryamanalisi197 Asante Sana Maryam you're a true definition of a fan. Asante kwa kunielewa 🙏🙏😍

    • @maryamanalisi197
      @maryamanalisi197 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation never mind My dear Bcoz ukijua kitu kimja tu hapa dunian basi utakuwa ni mwepesi wa.. Kuelewa chochoe kile

    • @maryamanalisi197
      @maryamanalisi197 3 роки тому +1

      @@SwahiliAnimation why not my if u want I wl. Send for you

  • @sherin3171
    @sherin3171 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣