Kampuni za Said Salim Bakhresa kuendelea kusaidia elimu nchini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mwakilishi wa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni za Azam Food Products ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni za SSB amesema kampuni hiyo iko tayari kuendelea kutoa msaada wake katika nyanja ya elimu ili kusaidia wanafunzi wengi zaidi kupata ujuzi unaofaa katika kupata maendeleo.

КОМЕНТАРІ •