MAPYA YAIBUKA PICHA ZA CCTV CAMERA TUKIO LA ALIEKUA AKITEKWA NA KULIA NAENDA KUUWAWA NISAIDIENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 901

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 16 днів тому +117

    Ahsante Mungu kwa kumuokoa mtoto wa mwanamke mwenzetu. Watekaji Mungu anawaona! Watanzania tulindane jamani.

    • @juliusakilimali9424
      @juliusakilimali9424 16 днів тому +8

      Nani alimuokoa ni mungu tuu ndo alimuokoa na yeye kuwa na nguvu ya kujikwamua

    • @andrecarlos1024
      @andrecarlos1024 16 днів тому +1

      🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏🏼🙏

    • @officialdinnah_457
      @officialdinnah_457 16 днів тому +3

      Yani mm hadi sielewi wallah tz sijui kwann mambo yanakuwa hivi jaman daaah 😢😢😢😢

    • @ZahratAhmad-o1v
      @ZahratAhmad-o1v 16 днів тому +3

      Tanzania sio salama tena tunaotafuta nje tunawaogopa watanzania wezetu.kutekwa ushoga usagaji yani hata hapaeleweki

    • @officialdinnah_457
      @officialdinnah_457 16 днів тому +1

      @ZahratAhmad-o1v yani mm nataman hata na uwezo niishi huku huku Oman Tanzania mtihan sanaa wallah 😄

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 16 днів тому +47

    Mungu bado anamuitaji sana watu watatu lakn kawashinda Nguvu

    • @maryamrashid8499
      @maryamrashid8499 16 днів тому +3

      Watanzania hatuna umoja kwa nn msirembee mawe kumuokoa mwenzetu

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 15 днів тому

      Yeye mwenyewe ni mkubwa kuliko hao watekaji 😂, ndiyo maana wame mshindwa 🤣!
      Mungu ana waumbua “wasio julikana kabla ya ku rudi kwa “YESU KRISTO” 👏🏽🙏🏾

    • @majumaatieno5640
      @majumaatieno5640 14 днів тому

      Imagine ingekuwa Kenya ....

  • @MichaelLaizer-fb5kt
    @MichaelLaizer-fb5kt 16 днів тому +53

    Walinzi wa hoteli hii wanapaswa kuhojiwa, mtu anatekwa hotelini na wanaangalia TU! Kuna kitu wanakijua!!

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 15 днів тому

      Kwani Hotel haina walinzi?

    • @KcMgaya
      @KcMgaya 15 днів тому

      Hakika

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 15 днів тому

      Ni kweli hao walinzi wa hapo hotelini wahojiwe,haiwezekani mtu aburuzwe mchana kweupe kama vile,sijui ni nani aliyexhukua video bila hata kujali kuomba msaada kwa majirani inashangaza,ni kama kuna kitu walinzi walipanga na watekaji

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 14 днів тому

      Mwenye hoteli Alihojiwa akasema mchana hakuna walinzi

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 13 днів тому

      Kama mtu alitekwa kwenye bus na kwenda kuuwawa sembuse hotelini, Watanzania ni waoga sana tena zaidi ya sana yaani mazuzu kbs unafiki ndo kitu wanajua

  • @MargarethKisse
    @MargarethKisse 14 днів тому +1

    Asante Mungu wetu kunwepushia kifo ndugu yetu pole sana kaka

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому +22

    Mungu ahsante kwa kuokoa mwanao

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 16 днів тому +4

      Sio mwanawe. Mungu hana mtt. Hakuzaa.. wala hakuzaliwa. Huyo ni kiumbe wake. Sory km nimekukwaza.

  • @victoriamlay6271
    @victoriamlay6271 16 днів тому +30

    Huyu ndie mwanaume...Mungu amemwokoa jina la bwana lihimidiwe...Nchi yangu ya Amani Tanzania 🇹🇿

    • @limbomambo9728
      @limbomambo9728 15 днів тому +1

      Tanzania bure mbuzi kabisa afadhali mbuzi nyie maumbwa

    • @wilfredywilhelm1426
      @wilfredywilhelm1426 15 днів тому +2

      Nchi ya amani au nchi ya nidham ya uoga

    • @zuhuraakida3041
      @zuhuraakida3041 15 днів тому

      jamani sisi wa tz tumezidi uonga yani hivyo gari iitakiwa iondoke hata bila kioo kwakwel tumekuwa tu waongeaji na kukuza mbambo hata yasio kuwepo hapo ndio yatatokea ila kwakweli sisi ni waonga sana hata hatujui sheria unaona hata kwenye mwendo kasi tunanyanyasika ila hata pakusema hatu😅😂😂😂ila namini ipo ck haya yatakwisha watanzania hatutakuwa nyumbu tena

  • @DamianiMollel
    @DamianiMollel 16 днів тому +70

    Kenyata hakukosea,, aliposema,,,,wa Tz ni sawa na maiti tu. ! Manyumbu sana!

    • @jabiraxmed7898
      @jabiraxmed7898 16 днів тому +1

      Ni sawa kabisa

    • @SilasShopinvestment
      @SilasShopinvestment 16 днів тому +4

      Wakweli tanzania manyumbu tu wajaribu mwanza geita shinyaga waone hao wasenge

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr 16 днів тому +1

      Hakika

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 16 днів тому +2

      Kudai KATIBA mpya tu imeshindikana seuze ugomvi usiokuhusu !! Camera kwa Lissu hazikufanya kazi...
      Uzandiki mtupu.

    • @danielshimora5315
      @danielshimora5315 16 днів тому +1

      Ukweri kaka watanzania wanafiki Sana, na wana Roho mbaya, kenyata hakukosea.

  • @Ambwene
    @Ambwene 16 днів тому +40

    Hatuna Jeshi la Polisi tanzania 🇹🇿 Polisi wengi wahuni tuu

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 16 днів тому +1

      Police wa Tanzania wapeleke kwa wapinzani wanazunguka na magari ya kivita

    • @RichardTito-q8q
      @RichardTito-q8q 16 днів тому +2

      Police wanalinda ccm

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 15 днів тому

      Polic nikweli.wezi wahuni Sana

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 16 днів тому +36

    Watanzania ni wa hovyoo sana sijui nini kimetupambaza

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 16 днів тому +5

    Ni MUNGU 🙏 tu na sio mwingine 👏 Tunamshukuru MUNGU

  • @HusnaMohammedramadhan
    @HusnaMohammedramadhan 16 днів тому +31

    Inahitajikaa Rais mwanaumee Tena mwenye uchungu nanchi na wenye nchi naawe mkali namaamuzi magumu km magu 😢😢

    • @SultanMohamed-q9z
      @SultanMohamed-q9z 15 днів тому +4

      Na hata akiwepo Rais kama huyo pia tutamkejeli na kumtukana bora tuu turuhusiwe kubeba kila siraha unayoweza kubeba.

    • @HusnaMohammedramadhan
      @HusnaMohammedramadhan 15 днів тому +2

      @SultanMohamed-q9z nahap wanasem nimfanya biashar mwenzake ndio alituma Hao watu wamteke sjui ndio wampeleke wapi dah

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 15 днів тому +3

      Maguguli uko wapi baba , tunakukumbuka .Dah ulisema tutakukumbuka ,hakika imekuwa

    • @KasmiriPaskali
      @KasmiriPaskali 15 днів тому

      Magufuli co maguguli​@@neemamasimba2981

    • @nassormohammed9742
      @nassormohammed9742 15 днів тому

      Wakati wake matukio yalikua mengi kuliko sasa​@@neemamasimba2981

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 16 днів тому +35

    HAKUNA ALIYE SALAMA. TUWAOMBE RADHI CHADEMA KWA KUTOUNGA MKONO MAANDAMANO YAO.

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 16 днів тому

      Nduguyangu iwe ni chadema iwe CCM africa ni moja tu ikijuwa

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 16 днів тому

      Mutaisoma namba

    • @SamuelLainzar
      @SamuelLainzar 15 днів тому

      Kweli tupase saut

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 15 днів тому +2

      Kuna kipindi nilisema , Kuna siku tutaelewa thamani YA upinzani . Na nini tulitakiwa kufanya walipoonyesha Nia njema YA kulipogania taifa letu,

  • @NyangeManenoNyamax
    @NyangeManenoNyamax 16 днів тому +12

    😢😢😢pole sana wa tanzania 😮😮😮 agekuwa Congo Tayari wangetafuta gari walipo ihacha kisha waliwe Nyama😢😢 wa tzn mulitoka wp nyie mukajikut Afrika?.

  • @BerthaDavid-n6i
    @BerthaDavid-n6i 13 днів тому

    Pole sana Ndugu yetu, hakika nguvu ulizopewa na Mungu ndizo zilizokuokoa,jamani tujitahidi kupiga mayowe mara tunapo tukio kama hilo

  • @Salama123-iw7hj
    @Salama123-iw7hj 16 днів тому +9

    Pole sana kaka binadami sio watetezi kabsa lakin nguvu zako na zamungu zimekusaidia

  • @Lutandulapatrick
    @Lutandulapatrick 14 днів тому

    Pole sana kaka Mugu mkubwa watu tupo wengine ila wenye utu ni mmoja2 watu wana tekwa jeshi la polisi lipo kimya angeonekana mtu anavuta bangi hapo angejuta

  • @Ambwene
    @Ambwene 16 днів тому +16

    Hatuna serikali kwasasa tanzania 🇹🇿

  • @fredrickgodwin7668
    @fredrickgodwin7668 16 днів тому +6

    kaka,pole sana nakuombea kwa Mungu

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 16 днів тому +13

    Taifa la hovyo.Mungu kweli nimejua hujaribiwi.Tumekujaribu kwa

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 15 днів тому

      Serikali ipunguze matumizi,makubwa ya,,mabango ya kuwasifia viongozi wa, serikali na kisiasa,itumie pesa hizo za Nchi kuimarisha ulinzi, wa umma,na mali zao

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 16 днів тому +7

    Watanzania, watanzania wenzangu mbona tunaonekana wa hovyo kiasi hichi ???, kweli???, inauma sana.

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 16 днів тому +8

    Shukran ndugu yangu kwa taarifa.Ila tushikana jamani, tusaidiane panapowezekana.Tukiona mwenzetu anatekwa tumtetee angalau kwa kupiga kelele kwa karene hii watu wanatekwa na kuuawa ovyo ovyo.na mtu akitekwa ima auawe au aachwe na majereha makubwa.

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 15 днів тому +11

    Hongera aliye piga picha.

    • @SilviaQuentin
      @SilviaQuentin 15 днів тому

      Kiukweli aliyepiga picha na kuchukua video una moyo wa pekee hii imeonyesha uhalisia wa jeshi la polisi linavyouwa watu na kuwapoteza hata wale vijana watano walichukuliwa ivyoivyo na Alitalia askari anaitwa Rama tarimo Ila jeshi la polisi lilisema sio askari Ila baada ya muda alikamatwa na kupelekwa mahakamani kwa kumnyanganya mama wa watu pesa na kumtaja mpk no yake yake

    • @MumtazKhan-tu4hz
      @MumtazKhan-tu4hz 13 днів тому

      Walipoona wanapigwa picha ndio walikimbia

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 16 днів тому +12

    Mapolisi wanahusika 100%

  • @JosephThobiass
    @JosephThobiass 12 днів тому

    Hao walio simama kuangalia mwenzao anatekwa ps nakutoa msaada wanaubinadam kweli mungu amsaidie alie jiokoa mwenyewe ampe ulinzi

  • @JoyseMatembo
    @JoyseMatembo 16 днів тому +11

    Selikali inasema watu wanajiteka eeeeh! nauyo kajiteka Tanzania

    • @limbomambo9728
      @limbomambo9728 15 днів тому +1

      Bure kabisa Tanzania hapo hamna nnchi bure kabisa ungekua Kenya watu tungekua tume mazika wazima wao watekaji tunge wazima wazima Tanzania mume achiwa midomo mirefu yakuongea umbea bure kabisa

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 16 днів тому +1

    Hii hali ilianzishwa na Polisi,sasa wahalifu wameiga wanatumia njia hizohizo,kwa sababu polisi wanapomkamata mtu ni lazima waoneshe vitambulisha kwa amani na kisha viongozi wa maeneo hayo kama mwenyekiti au balozi ni lazima wasaini halafu wanaeleza wanampeleka kituo gani ili familia yake ijue,sasa polisi wameacha hizi kanuni na wanawachukua raia kwa ukatili mkubwa sasa,sasahivi wahalifu wameiga vile polisi wanavyofanya na wanaendeleza,asante Yesu amemlinda huyu kaka na mauti hali inatisha sana sana,sio muda mrefu nchi yetu itakuwa kama nchi ya Haiti 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @bignewscity4927
    @bignewscity4927 16 днів тому +8

    Kweli Hotel hakuna walinzi mtuanataka kutekwa watu wanapita tu na kurekodi tu duhhh hihatari sana saivi watu hawana umoja

  • @G.S985
    @G.S985 12 днів тому

    Mungu ana mipango na yeye kuwazidi watu 3 nguvu ni Mungu tu.

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja 16 днів тому +54

    Ukweli usemwe serikali hatuna

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 16 днів тому +2

      Hatuna

    • @EzekielKandonga
      @EzekielKandonga 16 днів тому +2

      Serikali hii ni Takataka😮

    • @JafetyMsimbe
      @JafetyMsimbe 16 днів тому +1

      Nikweli

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 16 днів тому +2

      Serekali hii ni takataka kabisa,huyo mama aondoke hawezan kuiendesha hiyo nchi aachie wanaume waendeshe,

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 16 днів тому +8

      Wapumbavu watakwambia mama mitano tena.shenzi sana

  • @FadhilaOmary-t8j
    @FadhilaOmary-t8j 16 днів тому +5

    Watu wanalaum serikali sisi wananchi hatusaidiani mtu anamwangalia mwenzake anatekwa hatoi msaada

  • @momylaviel
    @momylaviel 16 днів тому +4

    Hapa Tanzania unakufa watu wanakuona Mungu tu ndo anatutetea

  • @ShekhaAlwi
    @ShekhaAlwi 16 днів тому +1

    Pole bro wakipigwa na raia hao na na kupelekwa police watakoma kuchezea wanyonge

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 16 днів тому +19

    Yaani watanzania kweli ni kama manyumbu..hajaokolewa na mwili wake kaokolewa na Mungu.

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 16 днів тому +2

      Ameni

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 16 днів тому

      Nyumbu mwenyewe! Takataka kabisa! Kenge kama wewe ndo wakutukana wa TZ wote? 😮👺👹

    • @Rakim-y2z
      @Rakim-y2z 16 днів тому +2

      @@emmanuelthomas1078 unakataa nn sisi ni kama manyumbu analiwa mmoja hapo na simba wengine wanaangalia sasa nn ambacho haujaelewa kama na we ni nyumbu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 16 днів тому

      🤣🤣🤣🤣🤣Astghafirullah jamani majibu kuntu Nimezaliwa kiluvya nimesoma Shulen Yamsingi Kiluvyaa Sasa nipo Oman MwakaWa kumihuu kujitafutia Riziki​@@emmanuelthomas1078

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 16 днів тому

      Huyo Mungu bila huo Mwili aliyepewa na Mungu angeweza kujiokoa?

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 15 днів тому +1

    Duu! Hii ni mbaya sana kweli nchi yetu Tz iliokua inasifika kwa amani na utulivu ndoo tumefikia hivi Eee mwenyezi Mungu shuka kutoka mbinguni nautuokoe wa Tz na watu wabaya na wauwaji ktk jina la Yesu Amin

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 16 днів тому +3

    Jamani mbona mauwaji ni mengi hivi

  • @godisgood-iq8mt
    @godisgood-iq8mt 13 днів тому +1

    watekaji hawa wakamatwe kwanzia babu bibi mama baba dada kaka mdogo mtu mjomba shangazi na wengineo wa ukoo, maana haiwezekani sura zinaonekana lakini hakuna ndugu yeyote anaye jitolea kusema nawafahamu

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 16 днів тому +7

    Daaaaah ....aisee

  • @SilviaQuentin
    @SilviaQuentin 15 днів тому +2

    Pole sana muhusika.... Ila hii kitu serikali ya tz inajua kila kila na hao watekaji wanawajua. Na hawawezi kusema kitu.....haya sasa mkatae hao hawahusiki ktk jeshi la polisi?

  • @salehmbarouk5867
    @salehmbarouk5867 16 днів тому +13

    Suluhisho la watekaji ni serekali kutoa tamko kwa Raiya wakikutana na changa moto kama hizo wakabilane nao wanavyo weza

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 13 днів тому

      Wewe endelea kusubiri tamko la serikali utalisikia ukiwa kaburuni au Ununio

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 10 днів тому

    Pole mwanangu uliteseka sana baba

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 16 днів тому +7

    Mungu ni mwema tumeshawajua wanaoteka watu na kuuwa

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 16 днів тому +1

    Mungu atawaumbua polisi watekaji hata kama polisi mnalindana kwenye matukio yote

  • @ommyjuniorjumbe3328
    @ommyjuniorjumbe3328 16 днів тому +4

    Viongozi katika ngazi za juu za uchunguzi watakaa kimya na kutakuwa hakuna wa kuwawajibisha....note my word 😢😢..wakati umepita hakuna wa kuwauliza na kuwawajibisha....RIP Mwenda zake

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 15 днів тому +1

    Aibu sana.Mungu atuhurumie.Busy kuchukua video kuokoa ahaa.Hakuna polisi hapa majambazi kama wengine

  • @BabaAyman-c8r
    @BabaAyman-c8r 16 днів тому +3

    Mungu atusaidie jmn

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 15 днів тому +1

    Pia tumshukulu mungu kwasababu watu watatu janani mungu amemsadia wanadamu wenzake wanatama video.wajabu Sana maskali fanyeni kazi yenu imeonekana sasa laivu washugulikiwe samia ukikaa kimya tutajua shida yakuongozwa namwanamke

  • @maxminemazulaemmanuel916
    @maxminemazulaemmanuel916 16 днів тому +5

    Watanzania akili zao ni sawa na nyumbu hatuna tofauti mtu anatekwa mchana watu wanaangalia tu mungu atusaidie

    • @AzizSalumu
      @AzizSalumu 16 днів тому

      Na tukumbuke mungu asaidii wajinga

    • @AzizSalumu
      @AzizSalumu 16 днів тому

      Watanzania sawa na wagalatia mpaka Sasa ajajulikana Nani alituroga

  • @PaulAntony-i4c
    @PaulAntony-i4c 14 днів тому

    Hai watekaji wamatwe Mara moja nawachukuliwe hatua mungu ibarki tnzania

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 16 днів тому +13

    Hivi Watanzania tumekumbwa na nini? Mtu anaomba msaada kwamba anaenda kuuawa na badala ya kutoa msaada wanashangaa tu bsmadala ya kuwazingira na kuzuwia gari isiondoke wao wana shangaa tu! Wananchi amkeni na mkiona mtu anaomba msaada msaidieni

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 15 днів тому +1

    Ma.jiirani wameshindwa kumsaidia hats kupiga kelele tu jamani vibaya sio utu huo

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 16 днів тому +3

    🇹🇿 tanzania imekwisha kabisa, imekuwa nchi chafu siku hadi kufa😭

  • @veronicajohn-ju1bd
    @veronicajohn-ju1bd 13 днів тому

    Pole Sana jamani Tanzania yetu ndo imekuwa seemu ya utekaji na uonevu atuwezi kujitetea atuna sauti ila yupo msimamizi ajalala anawaona wote mnao Fanya maovu aya atawaadhibu

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 16 днів тому +6

    Ilitakiwa Wauliwe Apo Apo Wananchi Tunafeli Wapi

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 15 днів тому

    Duh kama ni kweli basi ni kithiri ya UJANGIRI, KOMANDOUWA NDIO DAWA PEKEE ILIYOWAHI KULETA SULUHU KUTOKOMEZA UJANGIRI BAINAYETU.

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 16 днів тому +4

    Serikal ya intelejensia,

  • @JuliusNdodsa
    @JuliusNdodsa 13 днів тому

    Kama kuteka ni rahisi hivi basi yeyote bila kujali ni nani anaweza kutekwa. Viongozi kuweni macho nchi iko hatarini kutekwa.

  • @muhamedali3902
    @muhamedali3902 16 днів тому +12

    Haya matokeo yame anzishwa na serkali kwa kuwatumia mapolice na vikosi vingne
    Lkn sasa hata raiya wahalifu nawao watatumia mbinuhii

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 14 днів тому

    Jamani acheni Mungu hapendi msishindane na Mungu Muogopeni MUNGU

  • @FabianDasson-q3c
    @FabianDasson-q3c 16 днів тому +2

    Hali hiii inatishia usalana wa laia kwa kweli selikali iangalie vizur mambo haya kwa ibadani

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 16 днів тому

    Kwel brother umesema ni wanafiki kwel😢😢😢😢,sema nampongeza sana ana nguvu Wallah mungu ni mkubwa

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 16 днів тому +12

    Watanzania wengi makondooo majinga sana hayajielew

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 15 днів тому

    Huyo baba bado ana maisha yake , Mungu ame mpa ujasiri waku jiokowa mwenyewe, kweli watanzania ni mna roho ngumu, mtu ana lia aki lalamika nisaidieni naenda kuuwawa mna kaa mna angalia tu , kweli ina tia huruma kabisa, Tanzania mnakosa vita tu , ila mauwaji ya kimyakimya yako mengi sana kila siku watu wana uwawa sana tena sana.

  • @BashirIsmail-i9c
    @BashirIsmail-i9c 16 днів тому +5

    Wa tz tuwe makini sana

  • @AnnaUrio-x1b
    @AnnaUrio-x1b 15 днів тому +1

    Mungu mkubwa sana halaf mengine yanasimama kuangalia badala wapige kelle na kuichoma gari 😳

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 16 днів тому +5

    Mungu usiache kumuomba kaka

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 15 днів тому

    Asante ulierecod maana tusingejua ila watanzania naomba tuwe na umoja lkn naamin hawa watu watakua na bastola ndio maana wamama hawa waliogopa ila inatisha sana

  • @LoyceLoyceMwainyekule
    @LoyceLoyceMwainyekule 16 днів тому +4

    Huyu mwenye t shirt nyeusi atawataja tu maama Sura yake ndio imeonekana mara nyingi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 16 днів тому

      Wengine wamejitahidi wasionekane sura

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 16 днів тому +2

      Kitenge aliwambiaga wale washikaji; "Acha bhana utaharibu!"😇🏃🏃🏃

    • @elmiaxmed6870
      @elmiaxmed6870 15 днів тому

      Watashikwa 2 picha zao sisambazwe nchi nzima hadi ndugu zao wajue

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 15 днів тому

      @@elmiaxmed6870 Unajuaje kama mtendaji anamtafuta aliyetenda ,waliomuua Kibao ,Lisu risasi, Sativa, Azory ,Bensaanane ,Soka wapo wapi,aliyechoma picha ya Raisi umeshasikia kuna watuhumiwa walokamatwa ?

  • @ElisanteKimath
    @ElisanteKimath 12 днів тому

    Hiii ni aibu kwa Nchi yetu dhamani ya utu imeshushwa kuliko ya mnyama "Eee Mungu tusaidie

  • @PapaaKibaki
    @PapaaKibaki 16 днів тому +3

    Daah hii nchi yajabu sana.

  • @FathaNasoro
    @FathaNasoro 14 днів тому

    Eeeh asante mungu kumponya Jilan yangu

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 16 днів тому +4

    Sirikali hiyo ni mbovu mno haifai kuiamini zaidi

  • @davidmtoi4704
    @davidmtoi4704 15 днів тому +1

    Watanzania tupelekwe jeshini wote tukafundishwe ujasili wa maisha

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 16 днів тому +4

    Leo ndo nimeamini unene unafaida yake jamani acheni ninenepe miye 😂😂😂

    • @Sharefa-v6n
      @Sharefa-v6n 16 днів тому +2

      Hamna ndug ni miujiza ya Mungu tu ila wapo wengne ni wa nene na pia hawana nguvu ila huyo kajaaliwa unene na pia nguvu anazo na MUNGU akamzdishia nguvu zaid wamshindwe

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 16 днів тому

      @ Ni kweli ndugu munga ndo kamlinda na hao wabaya

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 16 днів тому

      😂😂😂😂😂😂 nakweli asee tuanze kunyanyua vyuma

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 16 днів тому

      @ 🤣🤣🤣💪💪💪💪

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 16 днів тому +2

    Naishiwa hata cha kuandika aisee ila tz hatuna polis tunawauaji tu Mungu ilinde Tanzania na watu wake🤲🤲

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 16 днів тому

      Hao waliokuwa wamesimama mwemzao akiwa hatarini walikuwa polis?

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 16 днів тому +3

    Police mtatumalizaa

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 4 дні тому

    Mama Sama hebu tusaidiye haya mambo mpaka nili jamani

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 16 днів тому +6

    Matanzania mengi mazuzu ningekuwepo hapo pangenoga

  • @MkasiwaNzowa
    @MkasiwaNzowa 16 днів тому +2

    Haya hayataisha bila wananchi wenyewe kubadilika watu hawapendani. Hivi tukio lipo kiluvya na wananchi wanashuhudia na wapo kimya tu halafu huyo mtu angebebwa lawama ingepewa serikali. Wakati walio jirani na tukio wameganda tuu hawatoi ushirikiano wowote. Aisee kazi ipo tutafika tumechoka sana hao polisi ni binadamu kama wengine sasa bila ushirikiano watawezaje?

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 16 днів тому +4

    Fedhea 🇹🇿😭😭😭

  • @erodiasmallya2869
    @erodiasmallya2869 15 днів тому

    Ila alyerekod Mungu ambariki maana amesaidia. Angalau serekali imeshudia yanayoendelea hapa nchini.

  • @nbwchannel4997
    @nbwchannel4997 16 днів тому +3

    Kumbe nimeamini watekaji sio Polisi

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 14 днів тому

    Ewe mungu tulinde wanyonge na watu wasiojuilikana

  • @estaminja
    @estaminja 13 днів тому

    Duuh kama siku yako ya kufa aijafika uwez kufa tuuh 😭😭 sasa wanamteka wanampeleka wap

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 14 днів тому

    Jamani nikumbusheni Kenyata alimuambia Nyerere wewe unaongoza Nini??

  • @YahayaChima-ji7dk
    @YahayaChima-ji7dk 13 днів тому

    Nawasifu sana wakenya wanaumoja lakini ss watz bado sana na hapa patakuwa kubaya sana huko tuendako ee mola tuhurumie sana waja wako utafikiri siko tz ninayoijua

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 14 днів тому

    Hii Hotel haina walinzi ,mteja wao anapiga kelele wanakaa kimya! Angali sehemu ya kulala Dar na basi la kusafiri nalo has Dar!!

  • @evarengidion4336
    @evarengidion4336 13 днів тому

    Daaaa.ila bigi kapambana jaman ila mungu alimsai dia

  • @jumamrisho8840
    @jumamrisho8840 14 днів тому

    Ni hatari kubwa nchi ni,na jamaa zao wa karibu wafuatilie ni.Wananchi nasi tuwe na umoja mtu akipiga kelele tusaidiane wenyewe tutakwisha Watanzania tumezidi sana kuwa waoga.

  • @Rashidomary-o6e
    @Rashidomary-o6e 12 днів тому

    Haya mambo niyahajabu watanzania tushindwa kusaidiana huu ni udhaifu mkubuwa

  • @stellahmosha9517
    @stellahmosha9517 15 днів тому

    Hata hiyo hoteli nayo ifatiliwe tuu kweli mteja anatekwa mbele yao hakuna walinzi??? Sina imani na usalama wa raia Tz Mungu wewe ndio utulindae daima Asantee Mungu nakutumainia wewe daimaa

  • @mutangwajustinian1546
    @mutangwajustinian1546 12 днів тому

    Mungu hamtupi mja wake

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 16 днів тому

    Mungu n mwema siku zote huwa halali anatetea watu wake 😢

  • @AgustinoMwaluko
    @AgustinoMwaluko 10 днів тому

    Jamni jeshi la polece hebu ajibikeni ipasavyo wanachi hilo gali mgepiga mawe

  • @HassanMarejeta-zi3ju
    @HassanMarejeta-zi3ju 15 днів тому

    Miningependa sheria ya kumfuata mhalifu ifutwe na badala yake, afuatwe na apewe taarifa kuwa anahitajika kituo cha police, aende mwenyewe, pindi akikaidi ndio nguvu ya hivyo itumike

  • @LoshilaaMollel-qh5pb
    @LoshilaaMollel-qh5pb 15 днів тому +1

    Ivi jamani Tanzania tunaelekea wapi. E MUNGU TUSAIDIE

  • @FrancisMbuyah
    @FrancisMbuyah 15 днів тому

    Wote walio kuwa wanashudia hili tukio ni wapuzi kabisa mtu anasema wanaenda kumuuwa wametoa TU mimacho pumbavu hi mchi sasa ni sudani tusaidiane sisi wenyewe WATANZANIA wezangu selikali mm😢😢😢

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele 15 днів тому

    Aliponeshwa bastola nape waliomtisha walionekana lakini hakuna kilichoendelea mkakaa kimya , leo kijana kataka kutekwa watu watakaa kimya , bora kuishi kama nyani na hata nyani Wana viongozi , very shame

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 15 днів тому +2

    R.I.P Uncle Wangu Magu
    Ulisema tutakukumbuka 😢😢

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona 14 днів тому

    MURILO UTAMSIKIA AKISEMA NI WASHIKAJI TU,,WATU WAMEONEKANA SURA ILA POLICE HAWATAWASHIKA,,GARI LIMEONEKANA ILA HAWATASHIKWA😢😢😢

  • @germanajeremia8744
    @germanajeremia8744 15 днів тому +2

    Hatuna imani na Polisi tena sasa😢😢😢Uzalendo uko wapi sasa...Tz my country unanitisha sasa😢😢😢