Wanga Rafiki na Wanga adui kwa wengi kisukari,Uzito mkubwa na Kitambi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 3 місяці тому

    Uparikiwe sana hakusoma ili upate maisha ,upo kwa ajili ya kusaidia maisha ya watu Mungu akupe umri mrefu uendelee kusaidia watu❤

  • @megoj5179
    @megoj5179 4 роки тому +2

    Kweli ulisoma ili uje usaidie jamii.. wengine husoma ili kufaulu mitihani. I salute you Dr!

  • @bzttvrwanda6241
    @bzttvrwanda6241 8 місяців тому

    Nakupenda saana Mr Dr kwa
    Mafundisho mazuli saana❤

  • @megoj5179
    @megoj5179 4 роки тому +1

    Greetings from Scotland 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿

  • @besilisaulaya9261
    @besilisaulaya9261 5 років тому +3

    Asante kwa ufafanuzi Ila naomba uongeze ufanisi Wa matumiz ya lugha maneno yasiwe ya kibaiologia /kitabibu zaidi unapotumia macdemia ili kila mtanzania anufaike

  • @michalpeter5980
    @michalpeter5980 Рік тому

    Ninawashukuru Sana kwa elimu yenu sukali ilipanda Sana adi kufiki 34 lakini namshukulu Mungu Sana mala ya Kwanza nilibabaika lakini nilipojenga utulivu sukali ilishuka adi leo nakubakia 5 tu kwa mda mlefu ss kazi zenu sibule Mungu atawalipa

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 5 років тому +3

    Asante Sana Dr. Maelekezo yameeleweka. Thanks for sharing. Big up from Denmark

    • @DrboazMkumboMD
      @DrboazMkumboMD  5 років тому +1

      Mungu akubariki sana Jamani. Lucy Kutoka Denmark nimefurahi kuona komenti yako

  • @AshaTwaha-gy9st
    @AshaTwaha-gy9st Рік тому

    Asante dactari kama upo ktk hatuwa ya mwanzo ya sukari je unaweza badae kuwa normal au ndo umeshakuwa mgonjwa wa kisukari

  • @abdulally5339
    @abdulally5339 4 роки тому +3

    It’s like dr Eric berg in Tz...thank you sooo much

  • @kudratabuu1103
    @kudratabuu1103 3 місяці тому

    Mtu mwenye sukari umetaja aina za mboga je maharage,chorizo, dengu mbaazi je unaruhusiwa kula

  • @jamesjosephm6358
    @jamesjosephm6358 4 роки тому

    Hi dr thank you lord bless you so much 😘👍👏🏾👏🏾

  • @japhetlungu8636
    @japhetlungu8636 4 роки тому

    Viazi vipi Dr mkumbo

  • @kudratabuu1103
    @kudratabuu1103 4 місяці тому

    Sasa tule nn jmn Mbna Nipo njia panda je kuku na nyama na samak vp nayo

  • @saraomariyesunifungee6081
    @saraomariyesunifungee6081 Рік тому

    Nahitaji kitabu dct

  • @johnsondiscoequipments992
    @johnsondiscoequipments992 9 місяців тому

    Dr vipi ulaji wa miogo yakuchemsha?

  • @rashidashafii3148
    @rashidashafii3148 5 років тому +2

    Asante kwa kutuelezea mm sukari yngu nikipima huwa iko 8 mpk 10 tena nikiwa nishakula jee nitumie vp chakula?

  • @janemuthoni2494
    @janemuthoni2494 9 місяців тому

    Wanga n nn

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 2 роки тому

    Napenda kura supu ya karanga ya almond nisawa doctor

  • @dianarosemalusa893
    @dianarosemalusa893 5 років тому +1

    Mm nahitaji hiyo bidhaa ya kupunguza mwili na kujimaitain ,,he hiyo bidhaa nbei gan

  • @japhetlungu8636
    @japhetlungu8636 4 роки тому

    Mimi nasumbuliwa na got Dr nifanyeje

  • @huruma4758
    @huruma4758 5 років тому

    ❤️👏👏👏 napenda izi vedeo fupi sanaaaaaaaaaaaaaa

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 2 роки тому

    Jamaa anajua sana huyu

  • @fatumadireyhussein6006
    @fatumadireyhussein6006 4 роки тому

    Very good

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 4 роки тому

    Jamani mambo ayo ya wazungu sisi wabongo atuwezi.bila dona na sembe bajeti ya meza aikai sawa weeeeeeeeeee

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 2 роки тому

    Kaka. Nakukubal sana.. mim nina kula sanaa.. yana portion yangu ni kubwa mno.. na napenda sana wali na ugali.. je.. ni mbadala gani wa ugali au wali kwenye chakula changu.. hiv kuna unga ambao naweza tumia kupikia ugali ambao uta meet mahitaj yangu ya kupungua uzito na sukari

  • @fjnnyagawa7994
    @fjnnyagawa7994 4 роки тому

    Dr hongera kwa Elimu unayoitoa kwa usalama wa watu walo na wasio na tatizo la sukari, je ugari wa unga uliokobolewa na kulowekwa wa mahindi?

  • @anithaamos4668
    @anithaamos4668 3 роки тому

    Vyakula vya kupunguza mwili

  • @stephenndeda8840
    @stephenndeda8840 2 роки тому

    Ukiwa unasinzia ovyoovyo nini tiba?

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 Рік тому

    Napataje hicho kitabu chako?

  • @janetisamson3735
    @janetisamson3735 4 роки тому

    Mtu mwenye kisukar anatakiwa kunywa maji kias gan kwa siku

  • @rehemagunda1033
    @rehemagunda1033 Рік тому

    Naitaji kunenepa nitumie mm

  • @teddymahawe670
    @teddymahawe670 4 роки тому

    Mtu mwenye sukari inayofika 25mmoll anatakiwa kula vyakula vya aina gani?

  • @elimekamathayo1914
    @elimekamathayo1914 4 роки тому

    Sasa mm nina vidonda vya tumbo Tena vikali sasa Nina fanyaje ili nipungue mwili siwezi kufanya diet

  • @skyesplore8953
    @skyesplore8953 4 роки тому +1

    Fala wa kuoteambali

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 5 років тому +1

    Nimepata kitabu nashkuru nataka kuanza utaratibu sijui nifanye nini hatua ya mwanzo maana nimekisoma kidogo nimegindua kua wanazungumzwa sana wenye kutaka kupunguza uzito au wenye uzito mkubwa. Sasa he kama Mimi nimwembamba uzito wangu Mdogo sana na afya yangu mgogoro homon inbalace pia sasa je si nitazidi kupungua huo uzito? Nani staki kupungua nataka kuongezeka uzito ili niwe standard maana Niko chini sana naomba ushauri

  • @fatumangalanga9213
    @fatumangalanga9213 Рік тому

    P

  • @libandaoradi3419
    @libandaoradi3419 4 роки тому

    Marioo
    ...