@SHEIKH OTHMAN MAALIM TV : HUU NDIO MWANZO WA MWANADAMU WA ULIMWENGUNI ULIVOTOKANA / SHEIKH OTHMAN
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- #sheikh #othman #maalim #tv #Darsa #Visa #Tareikh
USIACHE KUTEMBELEA UA-cam CHANNEL HII KWA KUPATA DARSA MBALI MBALI TUNAZOWALETEA LAKINI PIA JISKIE HURU KUULIZA AU KUTOA MAONI YAKO ILI UPATE MAJIBU SAHIHI JUU YA MADA TUNAZOKUFIKISHIA HAPA HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO SUBSCRIBE CHINI YA VIDEO HII ILI UWE UNAPATA TAARIFA PALE TUNAPOTOA VIDEO MPYA KARIBUNI SANA. E-MAIL: SHEIKHOTHMANMAALIMTV@GMAIL.COM
Twakupend sana Sheikh wetu kwa Ajili ya Allah
Sasa hivi hatuna wasi mana kweli upo mwenyewe Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh Othuman Shukran kwa darasa zako zuri mashaallah
Allahumma Amiin
Amiin yaa Rabb
Amiin yah Rabbal A'alamiin 🤲
Amiin thummah Amiin habibty #zayyatiyusuf
Allahumma Amiin
Allah akulipe ujira mwema Sheikh wetu kipenzi..Love from OMAN🇲🇬
Mashaallah sheikh wetu shukuran kwa maneno matamu mungu akulinde na husda za watu na shari mbalimbali za usk na mchan mungu akujaalie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili yalillah uko na mawaidha Mazur sana
Mashaallah , barakallahu shekh Othman keep going
SHUKRAAN NA SIFA ZOTE ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI NA VOTE VILIVOMO NDANI YAKE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
MashaAllah Allah akulipe kheri
Akuzidishie umri na Afya
Shukraan jazzakahllah fiik sheikh Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa ilmu...
Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin habibty second born #zeitunkassim
@@زينببنتسعيد-د9ح thuma Amiin 🤲 habibty first born mith you
@@zeitunkassim9352 amiin ya Rabbil Allamin habibty second born mithi you more😘😘😘
Shekhe mungu akupe umri mrefu tupate burudani za peponi
Shuqran ss nime jiunga kwako sh.othman maalim . ALLAH akuzidishiye furaha apa duniyani na kesho kiyama amin amin YARABI amin.
Mashallah Allah akupe umri mrefu wenye kher na ww na akulinde na kila Shar za binaadam na majini shekh wetu
Maa shaa Allah tabarak Allah
Maasha ALLAH TABARAKA ALLAH habibty last born #sakinasakinat
Shekh kheri nnaomba darsa la qadar,na kisa cha qarnan na yajuj wa majuj we ni fasaha naamin ntatosheka inshaallah
A.a kweli wanawake kweli mtihani . walkin Allah hajatuacha hivyo katupa ufunuo ili tuwe wema mbele yake Alhamdullh na mwenye kufuata ameongoka na mwenye kukaidi nimwenye hasara mbele ya Allah .mungu atujalie tuwe miongoni mwa wanawake wa peponi insha'Allah biithnillah .
Nipo uae🇦🇪Nataman siku Nikija. Home Tz nikutane na Sheikh Othman Maalim awape barka watt wangu Jazakallah kher
Mungu awalinde na maadui akuzidishiye mbaraka sheikh wetu mzuri
We love you shekh
MashaAllah Allah Akubariki Akuzidishie afya na umri ili tuzidi kunufaika
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh MWENYEZI MUNGU akuzidishie upambanaji wa ilmu ya Dini yetu ili nasi tupate ilmu
Amiin Amiin Amiin 🤲
Mashaallah jaza za Allah zikufikie
REHMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZI MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
Tumuombe Allah atuepushe na maradhi ya moyo biithnillah
Masha Allah jazak Allah kheri Allah akujaze kheri na Barak zake insha Allah kwa kutuelimisha na kutufuza mengi tunakupenda shekhe kwa ajilii ya Allah hupenda sana kusikiza khutba zako na mawaidha masha Allah
Waaleikum Salam, jazzakallah kheir kwa ukumbusho. Bega kwa bega mpaka Firdaus
shukran kwaukumbusho sheikh,
Allah atuongoze!
Subhanallah hekma yke Allah
Allah akubalik sheikh
Shukran sheikh
Masha Allah Allah akujalie
Allah akuhifadh Ya RABBII
Amiin
Shukraan
Muuaji alihukumiwa vip
Mashaalh jazzakah Allah kheir
Maashaallah ❤🙏
Shukran jazzaqallahu kheri sheih
Allah Akuhifadhii
Amiin Amiin yaa Rabb
Allahuma Amiin 🤲
Mashaallah
Masha Allah
Asalam alykum warahmatuLLahi wabarakaatuh shekh mimi na kukubali kwa hili kwani sasa badala ya kukutembelea sasa napata faita hapa hapa mola akulipe kheri kwa dhati yake.....
Na kwa fb tutampata kwa account gani au jina gani twaeza mpata
I'm sorry waislam wenzangu,hii masjid yapatikana wapi juu nataka nijiunge na nyinyi
Maa shaa Allah
MashaAllah 🥰
Mash'Allah ❤️🙏