Hakika Mungu Ndiye Anayejua Kesho Yetu! 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Nani angeamini kama Diamond huyu ndiyo wa leo hii 🙌🙌🙌 Hii Comment kama utbahatika ukasoma 2050 basi huyu ndiye alikuwa msanii bora kwa kizazi chetu ✌️
Nilianza kumpenda diamond nikiwa na miaka 7 mpaka Sasa Nina miaka 23 Bado mim shabiki yake naamin ipo siku nitaonana nae nimwamby yaliyo kwenye moyo wangu 😢
Diamond,Diamond,Diamond, the world will be so happy especially sisi yo fans from Tz and KE East Africa tuseme kama utapiga collabo moja na Bob jnr ya kumheshimisha Bob Junior,plzzzzz
Juzi nilikuwa kwenye klabu nanywa Moja mbili.... Nikasikia huu muziki na tangu ile siku siwezi kumaliza siku kama sijasikiza mbagala... Kuna dhana ya inspiration hapa😊😊❤❤
Wamuangalie kwanza alikotokea na uwezo wake lkn alipambana mpk alipo sasa nawao wapambanee ilii wafike msikalie maneno machafu mauchawi kibao tumia ujuzi wako na nyota nayooo iwakeeeeeeeee
Wale walidownload hii ngoma kupitia mtandao wa Waptrik wako wapii😂😂 hizo enzi hatukua tunajua hata kuna kitu inaitwa UA-cam,8 years ago,,gonga like kama unaona!!✊
Watu utoka mbali,msani akishatia bidii kafanikiwa watu wengine na ujinga wao wanaanza Kusema hati hooo iluminati Mara hooo!!mkunduo nyinyi.Diamond ametoka mbali keep the flame burning chibu.Following from Kenya.
If anyone says diamond is in a cult, it is just jealousy. This video proves that hardwork plus the God of Israel can change your life. May God continue blessing Diamond
Revisited this song after Lang'ata MP Jalang'o remembered how they met with Diamond in Malindi and boarded a matatu to Mombasa forming their friendship at the time to date this was one of the three main songs that diamond had,,, it's really been a journey
2023 , I still search for this song, it’s a manifestation of good music and to see where DP is now , you see consistency and hard work, he deserves the best
no matter what we associate this man with even spirituality without hardworking can not get this far..hats off this dude for redefining African music..much respect to platnumz!!
natural talent ako Juu ,na hawa vijana wake,esp mbosso huyo kijana na lavalava,,,those two untouchable mbosso kwanza Ni Messi hakuna kama mwingine diamond Ni Simba's
Hi Muriithi, you commented here seven years ago. If you are still alive, please come back and rewatch the song once again since I've replied to your comment.😊
This is my greatest Diamond song ever.. Intelligence and humility and the wisdom I inherited from my mother; you did not care about all these and you saw that I wasn't fit at all to be with you.... Like a dry leaf and the branch of a palm tree, you cut well through the stem of my love just because I was not wealthy, you saw it better to leave me and get married to another man........ The day I saw the sheikh burning the incense and you wore the ring and you became somebody's person..I was hurt so much..so much The problem is that our home is in Mbagala and there's a dumping site in front of the house and you saw that I am unable to love If you knew how much tears I cried for the pain of my love My friend much the way my heart aches I dont even desire to be loved The pleasure of love, your friend, has been consumed , I dont desire it I cant even find happiness anymore I hear these days you have a child called mamu The way she frowns until the way she smiles, you two look so much alike! So much alike! I no longer have the desire of love and I have plans to move out from Daresalaam I want to go far to escape conflicts with people...I just cant... The problem is that our home is in Mbagala and there's a dumping site in front of the house and you saw that I am unable to love
I first saw this guy in a concert when I came to a vacation in Tanzania.. ..I've loved him since then....love u diamond.....that's the only African singer I love
Sikilizeni nyie watu huyu diamond anajua sana kiukweli hii ngoma ukiisikiliza kwa makini mashairi yote yameelezea maisha yetu ya uswahilini na vijana wengi wanavyoumizwa na mapenzi kisa umaskini na changamoto za maisha
2024 my eyes see so many things sikunotice back then. Good job to our public health officials because eh, Africa has improved wah! And we thought kawaida tu
This guy have a reason to celebrate his wealth
Yes he does
Wangapi wanaangalia hii nyimbo 2024, gonga like apa😢😢😢😢
26th Jan 2024
Niko hapa after kupigwa character development 😭😭😭 mapenzi shikamoo 🤝
Niko hapa nimeachwa wooi 😂😢😢😢😢😢
Mimi
❤
Tbt❤❤I really still love this song❤❤who is still listening to this song n 2024
2025 still around.. alhamdhulilah...may we live long Nairobi Kenya ❤❤
Tunaomkubali diamond msanii wetyu wa africa from zero mbka hero 2025 gonga like apa
Hakika Mungu Ndiye Anayejua Kesho Yetu! 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Nani angeamini kama Diamond huyu ndiyo wa leo hii 🙌🙌🙌 Hii Comment kama utbahatika ukasoma 2050 basi huyu ndiye alikuwa msanii bora kwa kizazi chetu ✌️
Kwaajili yako nitarudi tena 2050 nitakuwa na miaka 47 na nitacomment upya comment yako...
@@NyunduMtewele-ez7ei Na mimi nitarejea 2050 inshallah kuhakikisha kama ulikumbuka kufanya hivyo. So inspired with the song .
Lil nas
Lil nas
Nilianza kumpenda diamond nikiwa na miaka 7 mpaka Sasa Nina miaka 23 Bado mim shabiki yake naamin ipo siku nitaonana nae nimwamby yaliyo kwenye moyo wangu 😢
Wangapi tunasikiliza hili goma 2025
The 2010s nostalgia was best time to be alive. ❤
Leo ni mwezi WA 8 2024 ,nani tunasikiliza nyimbo hii alike
😂tupo
Mimi hapa
🤣🤣🤣 Noma
Nipo liveee mda huu
J'aime bien cette chanson ❤
It's 2024 and I can't get enough of this song
Niko ndani
Me too
Wanaotazama ngoma hii mwaka 2024 naomba like 👇👇
Diamond,Diamond,Diamond, the world will be so happy especially sisi yo fans from Tz and KE East Africa tuseme kama utapiga collabo moja na Bob jnr ya kumheshimisha Bob Junior,plzzzzz
Juzi nilikuwa kwenye klabu nanywa Moja mbili.... Nikasikia huu muziki na tangu ile siku siwezi kumaliza siku kama sijasikiza mbagala... Kuna dhana ya inspiration hapa😊😊❤❤
NANI AKO HAPA 2025 TUPATE KUJUANA
Kkkk😂😂😂 tupo bro
😥😥 *Diamond those days, Wah enyewe God hutoa watu mbali kama unaamini piga like*
Sai n kipenzi cha wengi
Ndio kabisa
Wamuangalie kwanza alikotokea na uwezo wake lkn alipambana mpk alipo sasa nawao wapambanee ilii wafike msikalie maneno machafu mauchawi kibao tumia ujuzi wako na nyota nayooo iwakeeeeeeeee
Alikuwa amefunikwa na vumbi 😂😂😂
Amen 🙏
Kiukweli diamond ni zaidi ya diamond UYUMWAMBA MUNGU AMLINDE KILAATUA AMUONGOZE
Na hii ndio nyimbo yangu bora ya muda wote kutoka kwa Nassib Abdul/Diamond platnumz..Great of all time
Hmm I came across ntaanzaje then I had to come back and check MBagala out am encouraged it's never too late. Happy 2021 Mashujaa day fellow Kenyans.
Always trust the process, nothing but respect to this guy
Added his great guy and given other people that's why Lord still blues him always
Dhahabu nzuri,lazima ipitie kwenye moto mkali. No short cuts to success.A lesson learnt from this great talent.
Live
Vp
Gdjlbo
Nyimbo kama hisi ndio silimfanya diomondi kusikika kote African king of bongo flever🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu mda ndio ulikua unaimbaa haki💯🔥🔥🔥ma feelings Back 2009-2010
Baada ya kumuona dada wa kiarabu na kurud kucheck tena gonna like
😅😅😅😅
😂😂😂😂pamoj
Ndio niko hapa nmkuja kuhakikisha kwamba jeeeee dada wa kiburushi ni yy😂😂
We are here 😂
Wale walidownload hii ngoma kupitia mtandao wa Waptrik wako wapii😂😂 hizo enzi hatukua tunajua hata kuna kitu inaitwa UA-cam,8 years ago,,gonga like kama unaona!!✊
Noma enzi za wapdam dah!
Mpka unaipata ngoma kijasho kinakutoka
Legendary
Ukweli kabisa😂
Na Tubidy Mobi😂😂
Nyimbo kama imetoka jana vinanda vya Bob Junior vinaipa sana hisia hii nyimbo. Imekumbusha sana nilipotoka ❤
Watu utoka mbali,msani akishatia bidii kafanikiwa watu wengine na ujinga wao wanaanza Kusema hati hooo iluminati Mara hooo!!mkunduo nyinyi.Diamond ametoka mbali keep the flame burning chibu.Following from Kenya.
With is song, a legend was born....10 years ago he becomes the greatest tanzanian singer.......sacred dimond
If anyone says diamond is in a cult, it is just jealousy. This video proves that hardwork plus the God of Israel can change your life. May God continue blessing Diamond
True
Sane mind you have. Say it loudly...
Savage Mode just shut up!!!
Did you say "God of Israel?"
God of Israel part wasn't necessary though
Enyewe Ni ukweli diamond hatawai Pona 💯maumivu anayo juu YA mapenzi !!! Kwa sababu hajui mapenzi ya kweli 🍺🪦
If you thought God has forgotten you, imagine this is Diamond 10 years ago. Your God is not late. He will come when the time is right 🙏🏽🙏🏽
19th Oct,2020
U must drink something, nipee number.
Ha haaaaa
That's true
Naah it's hard 3work
Keep grinding
Revisited this song after Lang'ata MP Jalang'o remembered how they met with Diamond in Malindi and boarded a matatu to Mombasa forming their friendship at the time to date this was one of the three main songs that diamond had,,, it's really been a journey
This dude surely deserves to be where he is right now...one of the best musicians Africa has ever had
💯🔥
Kaycercomedian still here listening to this vibe 💯💯
My exact thoughts 🙌
Kiffeeee 😅😅@@Andrew_Kibe991
Nimerudi kumtazama Huyu Dada Vixen..Mdaa Huo alikuwa Bado Kichuna hatari❤
Alomuona rommy Jon's, gonga like hapa 2019 bado inafanya vizur hii nyimbo congratulated diamond platinumz
The girl who made diamond decide to break other women's hearts. The Mbagala girl anafaa awe arudi
If you're watching this song in 2024, hit Like button 🎉🎉❤
Never lose hope...❤ Diamonds ni ushahidi ..ukijituma.. basi utafanikiwa na utafika mbali...❤🎉🎉
Hii song ya diamond nilipenda sana na roho yangu yote hizo enzi🔥🔥🔥🇰🇪🐲🎧
Diamond is the cristiano ronaldo of our music in East Africa.
Always works hard to stay on top for such a long time
Not est sy in afrca kiujumla
Am here in 2021
Umeleta ujinga mpaka happy😂😂😂
Unasurura kutafuta nn huku, ni Nyaboke amekupotelea😃😃😃😃
ua-cam.com/video/si-DBf0dDrU/v-deo.html
2021
😍😍😍😍
Ipo siku yako tu,jitahidi kwa kile ambacho unafanya Mungu kamwe hatokuacha
Diamond at his best yet very young and early in his career . He was great and destined for fame from his first song.
That moment diamond anajitafuta afike namba moja kisanii dah!! Haya maisha haya, 2021 bado tuna bang na hii ngoma
Nomaaa
Now kuna watu wanajivuta kupitia yeye wawe no one
we don't search for old songs,we search for old memories😍
Yeah that's true
Hapo sasa
I saw this comment somewhere 😂😂😂
When diamond was a true diamond love the song ❤️❤️
@@Javy-t9v who???where???how???😀
2024 August this was music diamond has become Simba kabisa❤❤..umetoka mbali na unaenda mbali.. ❤❤
Diamond toka kitambo kipaji toka moyoni I love this song 💙💙Team #WCB FOREVER &EVER 💪💪💪Marufuku kukata tamaaa #WCB daima Mbeleee
Kama umewatch wakati wa corona fikisha like hapa😋
Kwa kwell
Together here
Hakika mond anajuwa
Linanikumbusha mbali Sana yaan
Kapisa joh pamoja 🙏🙏
Diamond is a proof that hardwork and consistency is definitely going to get you to the highest of thrones,,
For sure🚁🚁
True that
2022
Despite what he does nowadays I am a die hard of this diamond some of his songs makes me cry silly
Yes 2022 we here flying
Nani ako karibu athibitishe kuwa bwana harusi kwa hii ngoma sahi ni Dj wake.alafu ni bro wake.
Sijawahi kupata like humu, naomba ambao bado tunatazama huu wimbo 2024 nipeni like za kutoshaaaaa
imenibidi tu nisikilizee ii ngoma tena leo 2/9/2024😢😢 Dar Anaolewa 😢😢
Kuanzia mwezi wa tano na kuendelea 2020 gonga like..🦁🦁🦁🦁
Jajr
Yes I'm her🧡
2021
Simba unafaa urudie hii song sasa..Nyimbo nzuri mpaka sasa bado nzuri
2023 , I still search for this song, it’s a manifestation of good music and to see where DP is now , you see consistency and hard work, he deserves the best
after he sang yatapita I was back to the old school... just love the best of the best..bongo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Consistency and hard work can take you far
2024🎉❤
no matter what we associate this man with even spirituality without hardworking can not get this far..hats off this dude for redefining African music..much respect to platnumz!!
This is diamond 10years ago..Those who speak bad don't believe in growth..Hardwork and consistence.Love from Kenya.
Diamond has really gone through thick and thin. He deserves all the success.
The guy has a right to brag.....he has come a long way
TULIOKUJA kuanzia September 2024 baada ya interview ya yule dada like hàpa ❤❤❤😂😂😂
Haha 😂 Niko hapa
Na mimi niko hapa
😂😂
Tupov❤❤
😂😂😂Mimi pia
Jamani huyu jamaa kwa hapa bongo akuna wakumfikia na anakipaji cha ukweli tusikubali wakamshusha hawa clouds wasenge
natural talent ako Juu ,na hawa vijana wake,esp mbosso huyo kijana na lavalava,,,those two untouchable
mbosso kwanza Ni Messi hakuna kama mwingine
diamond Ni Simba's
@@yusufajab2961 j'ai 0
nikweli bro
Broo ww unaakili sana clouds wanapambana kumshusha na wakati anatuwakilisha wa Tanzania wote
2025 anyone ?
Am here
Hard work the way, team kujituma siku zote, 2023 bado twaiskiza 🇰🇪
This video always gives me hope and makes me believe there is a beautiful tomorrow
Qweli bro there is abeatiful tomorrow so never give up?
Kwa kutia bidii wala so kwa kuota tu
Swafi
This boy has worked so hard to be where he is.
True
He deserves for real
The boy is good
He has. Found my self here
my favorite song that guy
Nahisi na hii Ngoma ulisababisha wewe sara, haiwezekani diamond akiumia na sisi tunaumia 2024
Nenda kamwambie song
Hata hii ni moja wapo
Kweli kwasababu Sara alisema aliolewa akaachika na anamtoto mmoja
Ahahaha
Kuna wimbo wa Diamond unaitwa Nalia na Mengi, Saraha amesema leo anaupenda sana, Ukiusikia Saraha kajutia.
wangapi wanacheki hii ngoma sai sai sai yani gonga like aki waaah this song is sweeeeeeett
This song makes me cry I love my favorite song of this guy 😭😭😭I love it
Its my favourite too
Cry baby
Its all about life
Me too
@@makulimakuli7866 absolutely
MBAGALA TEACH US DIAMONDPLATNUMZ HUSTLED 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amen
Diamond is simply a genius, a visionary, a dreamer and the hardest worker in the room!😊😊🙏🙏
Kasongo Yeye kanigeuza Mbagala 🇰🇪
Thank you people of Tanzania for preserving the beauty of Swahili language.
Hi Muriithi, you commented here seven years ago. If you are still alive, please come back and rewatch the song once again since I've replied to your comment.😊
@@ruiru_kariuki Hahaha Asante sana Kariuki mimi niko bado and I listen and watch this song regularly!
@@benmzuri barikiwa sana kaka!🤝🏿
😍
This song still makes me emotional several years later. Diamond has such unparalleled talent. Absolutely amazing.
still one of my fav diamond song
I'm here again in 2025❤😂
Same result same taste I love it
Mbali tumetoka ña simba sis penda we sana♥️♥️♥️💖💙💙💙💖😍😍😚
Ju
This guy is a living testimony of success 💪
yeah sure
I am humble finding this clip. Sometimes people see you on top and fail to see the hard work you did to get there.
Ana Vishwa Pete anakuwa Mtu Wa Mtu Fulani.
Mashalaaaa this is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
When I see Diamond's music journey I believe God is great.
Diamond has produced hit after hit after hit and is still hitting, without doubt this remains my best song from our Father Abraham
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
😂😂😂😂😂
Was father Abraham necessary 😅?
This is my greatest Diamond song ever..
Intelligence and humility and the wisdom I inherited from my mother;
you did not care about all these and you saw that I wasn't fit at all to be with you....
Like a dry leaf and the branch of a palm tree, you cut well through the stem of my love
just because I was not wealthy, you saw it better to leave me and get married to another man........
The day I saw the sheikh burning the incense and you wore the ring and you became somebody's person..I was hurt so much..so much
The problem is that our home is in Mbagala and there's a dumping site in front of the house and you saw that I am unable to love
If you knew how much
tears I cried for the pain of my love
My friend much the way my heart aches
I dont even desire to be loved
The pleasure of love, your friend, has been consumed , I dont desire it
I cant even find happiness anymore
I hear these days you have a child called mamu
The way she frowns until the way she smiles,
you two look so much alike! So much alike!
I no longer have the desire of love and I have plans to move out from Daresalaam
I want to go far to escape conflicts with people...I just cant...
The problem is that our home is in Mbagala and there's a dumping site in front of the house and you saw that I am unable to love
Bonface Mwangi
thank u Bonface Mwangi
Keisha-Gay Shaw
zainab suleiman
Asante sana bonnie kwa utafsiri👏
# dah axe hii ngoma ni kaleeeee sana, Kuna vinanda umo ndani ni unyama xana, tuloitazama January hii like apooooo
SIMBA LA MASIMBA
🙏🙏🙏ata siwezi kujizuililia..kwa kweli huu wimbo hunikumbusha ex wangu mwenye alinitoka💔💔💔
6 years ago diamond was looking like this ooh noo...I will not give up if God had uplifted him to where he is now
This song came in 09 😂😂😂
Nope, this was around 2009 -2010 Actually.
I first saw this guy in a concert when I came to a vacation in Tanzania.. ..I've loved him since then....love u diamond.....that's the only African singer I love
Sikilizeni nyie watu huyu diamond anajua sana kiukweli hii ngoma ukiisikiliza kwa makini mashairi yote yameelezea maisha yetu ya uswahilini na vijana wengi wanavyoumizwa na mapenzi kisa umaskini na changamoto za maisha
This is the song dat will always make us the upcoming artist strong if all dis is where diamond came from nothing is impossible as long as ur live
Are you an artist.
From where?
@@amadut.jagitay2373 am yet to be one 😅😅
Who would have thought that Diamond would be a music maestro. Never give up, no situation is permanent, keep pushing on.
His best song ever, he sang his heart out
Sawa kaka mapenzi mabaya san
Safi
Proud that this guy made it all the way. ...waptrik gang#
Wale tuliokuja kuicheck hii ngoma baada ya kusikiliza interview ya huyo dada mweupe aliyemshika mkono dmond...Gonga like hapa 😂
🤣🤣
Tupoo
Tupo😅😅😅😅😅
Tuko😂❤
Apa alikua mwembamba
Bado tupo nayo hii 2021 G.O.A.T OF AFRICA MUSIC NI CHIBU NYANGE😂 kama hupingi like button again
East Africa🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇷🇼lets celebrate diamond folks. He's the ultimate definition of grass to grace❤
🇧🇮
East Africa or Swahili citizens? You forgot the entire horn of Africa who also speak Swahili even though it's not their main language. Shame on you.
@@TheGerrrardinho right as somali we support him
@@TheGerrrardinho Don't be harsh please. The person had no bad intentions. We all love Diamond Platnumz.
@@TheGerrrardinhohorners dont like associating with us
2024 my eyes see so many things sikunotice back then. Good job to our public health officials because eh, Africa has improved wah! And we thought kawaida tu
Who else still enjoy this song? My favorite 😁
This song never grow old
😠😠😠😠😠
Be honest guys, this was not in recommendations we searched for it.
I did in September 2020. My favorite Diamond song! :)
True
Willy M Tuva promote this song soo much on mambo mseto citizen Radio
Huyu ni diamond wa sai ama? Sina haraka na life.
I remember seeing this song on my first time!
My tears flooding like water😭😭😭😭
i saw this n i knew i was goung to be something big... I told my friend Ericko those days that this guy was going to be something else....
My first song to hear from Diamond and Mashallah. Wangapi we loved this song . Its 2024.. He is an example to follow our dreams you never know..