Vitu vya kufanya ukikataliwa MONETIZATION ndani ya YouTube

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @Richstartz
    @Richstartz  3 роки тому +3

    FOLLOW ME:
    Instagram: instagram.com/richstartz​
    Twitter:twitter.com/richstartz​
    Facebook:facebook.com/richstatz​
    Email: rmaguluko@gmail.com

    • @luotv581
      @luotv581 3 роки тому

      Naomba email yako tuwasiliane make nimejaribu Mara 3 kwaiyo nataka unikamilishie nitakulipa

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 роки тому

      Rmaguluko@gmail.com

    • @idrisatv5540
      @idrisatv5540 3 роки тому

      Kaka uwa napenda sana kufatilia kazi zako naomba nifahamishe mfano mimi UA-cam yangu nataka kuweka movie zangu2 lazima niisajili tcra?

    • @akalamatv
      @akalamatv Рік тому

      Nimejaribu kwa uwezo wa akili zangu nimeshindwa bro je nawezaje kupata msaada zaidi kwako na je? ina gharama kiasi gani kunitolea RE USED CONTENT?

  • @beehivemedia8150
    @beehivemedia8150 3 роки тому +1

    Funzo LA maana sana thanks bro

  • @johnmifupa
    @johnmifupa 2 роки тому

    Sawa kaka

  • @SkillsLearningNetworkTZ
    @SkillsLearningNetworkTZ 2 роки тому

    Shukran

  • @eliasaston
    @eliasaston 3 роки тому +2

    Asante sana bro, ubarikiwe
    Naomba siku nyingine utujuze tofauti ya copyright claims na copyright strike

  • @MAGICSTONESTZ
    @MAGICSTONESTZ 3 роки тому +1

    GOLDEN YERIKO TV nalia na reused content je video zenye reused content nazionaje? Ili nizifute

  • @HadzabeBushmen
    @HadzabeBushmen 2 роки тому

    Yangu nime apply siku 6 zimepita sasa lakini bado hawajanikubalia. Nifanyaje?

  • @PeterSikalumbi
    @PeterSikalumbi Рік тому

    Nisaidie mimi

  • @iddymoh8761
    @iddymoh8761 3 роки тому

    Dah!! Kaka shukrani sana

  • @demandonlinetv5516
    @demandonlinetv5516 3 роки тому

    Gud

  • @BaikokoTz
    @BaikokoTz 2 роки тому

    Naitaji kupata whatch hours nafanyeje msaada pleas

  • @Djalinhotz
    @Djalinhotz 3 роки тому

    Ahsante sana kka Ila naomba nisaidie kitu naona subscribers Wang wanapungua kwa kas kweli

  • @HadzabeBushmen
    @HadzabeBushmen 2 роки тому

    Na hawaja nijibu chochote

  • @mwanga1tv698
    @mwanga1tv698 2 місяці тому

    Naweza pata namba yako

  • @pamtvburudika2077
    @pamtvburudika2077 3 роки тому

    nimekuelewa sana kaka

  • @Elimishatv
    @Elimishatv 2 місяці тому

    Naomba no yako ya whasspp

  • @niceone9392
    @niceone9392 3 роки тому

    Vp kuhusu kuremove copyright claim?

  • @Kingshine
    @Kingshine 3 роки тому +1

    Kama kawaida napenda xana hizi content ya UA-cam

  • @ALL_SHOTS-STODIOS
    @ALL_SHOTS-STODIOS 3 роки тому +2

    Kwangu kunatatizo broh Rich meapload video afu viewers kadiri walivyoongezeka ikawa inapotea pote, sasa imepotea kabisa

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 роки тому +1

      Sijaelewa channel inapotea ama video

    • @ALL_SHOTS-STODIOS
      @ALL_SHOTS-STODIOS 3 роки тому

      @@Richstartz ni video kaka, hata now haipo

  • @luotv581
    @luotv581 3 роки тому

    Naomba email yako ili nikupe Chanel yangu unikamilishie kaka

  • @musicog7534
    @musicog7534 2 роки тому

    Cannel yangu imekataliwa nasijajuwa sababu

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 роки тому

      Email hawajakutumia ?

    • @musicog7534
      @musicog7534 2 роки тому

      Wametuma tu meseji ya kukataliwa ila awajasema sababu na sina copi yoyote ile kwenye channel yangu ila uwaga napost video zamasherehe na kuna kuwa mchanganyiko ya nyimbo mbali mbali iyo inaweza kuwa sababu?

  • @Mvamba
    @Mvamba 3 роки тому

    NA VIPI KUHUSU CREATOR AMBAO WANATUMIA LIVE VIDEO

  • @MOTecnology
    @MOTecnology 3 роки тому

    Bro Je? Kwa mfano mimi monetization haina Neno FIX na Nimefikisha Subcribe 2K ila Monetization hawajanikubalia Je? Nifanyaje

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 роки тому +1

      Subiri baada ya siku 30

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 3 роки тому

      @@Richstartz thanks ila mpaka sasa ni zaidi ya siku 30 ila bado

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 3 роки тому

      au ni vitu gani baadhi sijakamilisha

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 роки тому +1

      @@MOTecnology Ukiomba ukakataliwa ?

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 3 роки тому

      Ndio Nakataliwa Bro. Ila Now Nimefuata Zile Video zako Zenye Maudhui Ya kama Ukikaliwa ya Watu wwngine Kama nyimbo Hivi,Now Wakaniletea Tena Kwamba nisibitishe so now Ndo nasubiri Baada ya Siku 30 Nione Itakuaje

  • @dungatvcomedy8505
    @dungatvcomedy8505 3 роки тому

    Mi nimenunua Chanel kwa mtu lakn Nimeambiw nifute content ambazo zilikuwemo maana Ziliku a re used je nikifuta nikaomba matangazo nitakubaliw Kw harka ili nianze kuingiza video zangu ili nilipwe maana tayar ina subscrb 2700 na watching time masaa 7000 hebu nisaidie bro ushaur

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 роки тому

      Lazima uanze Upya ku upload video na uombe