⚒️RADDI (3) YA KIELIMU KWA URASSA, USTADHI ABUU NUA'YM AKRAM حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

    Dah genge La qassimu mafuta wamemdhulumu shekh abuu muawiya rahimahullah

  • @SimbaRamadhan-i6x
    @SimbaRamadhan-i6x Місяць тому

    Haki lazima ibainishwe hata Kama shekh lazima aekwe cw

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 Місяць тому

    Baraka llah fikum

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому

    Naona amekufa sasa ndo vinywa vyazidi kufunguka MBNA ktk uhai wke ao akina urasa walifunga vinywa vyao.

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

      Walikuwa wakimuogopa Maana Hawana hoja kwake mpaka kiongoz wao wa kihadadiya wa pongwe alikuwa kimyaa

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih Місяць тому

    Alafu hawa mahadadiyah kama wanaakili kweli bsi na sheikh fauzan pia ni hizbi. abdul muhsin al abad pia nihizbi kwa kumteteea sheikh Muhammad al imam

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 Місяць тому

      Lete dalili wapi fawzaan amemtetea Lete audio yake au maandiko yake wapi amemtetea pia Lete audio au maandiko ya abdulmuhsin Al abaad wapi amemtetea

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Angalia video iliyoandikwa "HAWA HAPA WANAWACHUONI WALIOMPA udhuru sheikh Muhammad Al imamu" utapa MANENO ya sheikh FAWZAN, au andika UA-cam kwa lugha ya kiarabu "wanawachuoni WALIOMPA udhuru sheikh Al imamu" utazipata uhakika wa hili jambo na ukweli wake wote

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 Місяць тому

      Hakuna hizo zote nshaziona hakuna maneno ya fawzaan kokote alipongea Wala kuandika hayo ni maneno ya wale masheikh zenu WA Yemen waliosema wamekutana nae akampa udhru na ni maneno ambayo hayana mashiko na hii ni challenge nawapa nyote wafuasi WA Mohd Al imamu nileteeni maandiko au audio ya fawzaan na abdulmuhsin wakimpa udhru Mohd Al imaam

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 Місяць тому

      Kisha muniambie Kwa nini fawzaan amor udhru Kisha fawzaan huyo huyo aandike taqdiim kwenye raddi ilioandikwa na mmoja ya wale mnaowahutumu kua ni swaafiqa abdulsalfiq dhidi ya Muhammad Ali imamu Kisha yy aeke taqdiim yake na huyo huyo awe amempa udhru emu tuambieni inakuaje hapo

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    Kazi upumbavu tu Qassim Mafuta ee genge la Qassim Mafuta ee . Nyie mahanisi nini nyinyi ? Yani mtu hana hata habari na nyie lkn nyie usingizi hampati kwa kumjadili hem zaeni mawe kama kweli mme nuna .

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Akhuy fii llah punguza ukali wa maneno na ubaya kauli "Mtume hakuwa mbaya wa maneno na vitendo"

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому

    Nyie mahajawira mnakaz kweli kila mtu anaongea mumepata pakusemea

    • @mohamedkamota1903
      @mohamedkamota1903 Місяць тому

      Nyamaza sio lazima kuongea kama hujui sikiliza tu, kama haujaelewa rudia tena hukuelewa nyamaza

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 Місяць тому +1

      @@mohamedkamota1903 hamna hoja

    • @mohamedkamota1903
      @mohamedkamota1903 Місяць тому

      @@mussamsuya8595 baarakAllah fika, tuombee Dua tuwe wenye hoja ndugu yangu mussa

    • @ABUU_SAAD-ut4fd
      @ABUU_SAAD-ut4fd Місяць тому

      Hata mimi Urasa namuona ni hizb.

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa Місяць тому

      acheni ujinga ALLAH anasema msijitakase nafsi zenu yy ALLAH ndiye anayemjua aliyeongoka na aliyepotea eti salafy wakati.mnahukumiwa na sharia za kikafiri nyiye ni salafy feki mmeshidwa kusimamisha dola salafy