Zama zake Nuhu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @paulomigwanga8556
    @paulomigwanga8556 3 роки тому +1

    Safi sana kwaya yetu pendwa, wimbo umeimbwa kitaalamu sana, waalimu na watunzi wa aina hii tuwatumie vizuri

  • @neemahpeter3734
    @neemahpeter3734 3 роки тому +1

    Aminaa 🙏

  • @joshuamarwa7723
    @joshuamarwa7723 Рік тому

    Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana tena muende mbali katika uimbaji

  • @Goldenlay-ec5ki
    @Goldenlay-ec5ki 10 місяців тому

    mbarikiwe sana mzidi kuitangaza kweli ya mungu nawapenda sana

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 3 роки тому +1

    Aise, nmefurahi kuwaona.... Jodalawa. NASHAURI MHUSIKA ARUSHE NYINMBO NYINGI SANA

  • @paulomigwanga8556
    @paulomigwanga8556 3 роки тому

    Namwona paulo Aungo hapo, na wuod odeny naye namwona hapo akiongoza timu ya besi hapo vizuri, Mungu awabariki sana mnavomtumikia kweli kweli kwenye tasnia ya Muziki nakumbuka tulivokuwa tukikutana kwenye makambi mtaa wa siko hadi raha

  • @dunkanngaka716
    @dunkanngaka716 2 роки тому

    Hongereni sana Rwang'enyi SDA church

  • @Clif-Ford40
    @Clif-Ford40 Рік тому

    Ameen ndugu zangu wa Damu