Mwakinyo amjibu Twaha Kiduku "nitakupiga na ndio itakua mara yako ya mwisho kupanda ulingoni"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 80

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 11 місяців тому

    @Mwakinyo ashaambiwa, aache maneno amwage wino💪💪💪💪

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s Рік тому +9

    Kwa bahati nzuri mwakinyo ni kwamba ana maneno mengi lakini hayamponzi maana ngumi pia anazijua sasa kiduku sijui hasipo maliziwa hayo meno huko mdomoni bahat yake nampenda sana kiduku ila mwakinyo anatisha jamani

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi Рік тому +11

    Kam ni mfatiliaji mzuri wa ngumi bas utagundua tu kuwa kiduku hamuwez Mwakinyo

  • @alfredsemwali6945
    @alfredsemwali6945 Рік тому

    Mi ni team twaha kindakindaki, ila limwakinyo kwa sasa linabonda saaanaaaa, linajua zaidi ngumi kuliko kiduku

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Рік тому +22

    Kiduku kutaka pambano lifanyike Tanga sio kumpa favour Mwakinyo bali Ni mkakati wa kuhujma kwavile anajua Tanga Kuna kikundi Cha KIMAFIA ambacho kila kumicha kinapanga hujma dhidi ya Mwakinyo to hivyo unataka msaada wa hujma dhidi ya Champion Mwakinyo kutoka ktk kikundi hiko. Pambano likiwepo lisiwe Tanga Wala Morogoro liwe Dar au Znz na utachapika vizuri tu bro.

  • @Taveen66
    @Taveen66 Рік тому +6

    Kumbe adi huku Kuna taarabu Mimi nilijua kweny bongo flava tu😂😂😂

  • @jumannetax3632
    @jumannetax3632 Рік тому +1

    Moro litakufa kitu 😂😂😂 champezi💯💪💪

  • @Hanel_csn
    @Hanel_csn Рік тому +3

    Mwakinyo nakushauri,kataa kupigana na twaa,mwenzio mapambano yake yamwisho alicheza chini yakiwango nimbinu yakukushawishi ukubal pigananae akuue,🙏please uckubl atakuua

  • @Bahati47
    @Bahati47 Рік тому +7

    Mtanga mwenzangu ana mdomo huyu loh!

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому

      Atakandwa huyo mwakinyoo mpaka anyeeee

    • @adambakari9276
      @adambakari9276 Рік тому

      ​@@awadhally1052kabda hujasema angalia mapambano yote ya mwakinyo kisha angalia ya kiduku alf utapata jibu...jamaa kapita kwa walimu had wa duniani huko

  • @RichWise671
    @RichWise671 Рік тому +8

    Champez forever 🔥🔥🔥💉💉💉🇹🇿

  • @linusfrancis9293
    @linusfrancis9293 Рік тому +5

    huyu kiduku anachokitaka atakipata ...mwana kuligoogle mwana kulipata ucje2 kutia haibu kaka😂

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 Рік тому +4

    Mwakinyo ngumi ya taifa🔥🔥

    • @SaimonYuda-ln6dt
      @SaimonYuda-ln6dt Рік тому

      Mshamba tu uyo muimba taalabu

    • @RamadhaniMzashi
      @RamadhaniMzashi Рік тому

      Muimba taarabu kwel ety Pam no ndan ya wiki mbili mpira huo umekuwa

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 11 місяців тому

    hapa kiduku anajua kabisaa atapigwa ila hiyo kwake sio hasara maana mtoto kupigwa na baba ni kawaida ila anachokiwaza ni kuwa anaweza akamuotea mwakinyo akampiga na kuharibu cv yake moja kwa moja

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp Рік тому +2

    Mdomo sana mwakinyo

  • @a2comedy36
    @a2comedy36 Рік тому +4

    Watu wa morogolo hususa ni waruguru wanapenda sifa lakin mwakinyo ni boxe wa taifa ametetea mikanda mingi pia amepambana mapambano 24 kapoteza mapambano 2 tuu huyo mtoto wa morogolo analeta ushikaji wa kisinichi kawaida mtuu masikin akijieleza unaweza juwa kaongea ukweli kwa sababu ya huruma zake mpen maua yake mwakinyo

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Рік тому +2

    Kama vp zichapwe tu

  • @atanaskiswanta7642
    @atanaskiswanta7642 11 місяців тому

    Haaaahaaaa maana mcheke eti ndan ya wk mbili sema unamkimbia tunaijua hiyo😂😂 binti wa kitanga

  • @nasramasimba3532
    @nasramasimba3532 Рік тому +4

    Watanga hua tunaogea saaana na vitendo tunapiga saaana😂😂😂

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t Рік тому +2

    Mwkinyo hana tofauti na wadada wachambaji kiwangochake kinayumba Ana tabia zakike

  • @omariaman7818
    @omariaman7818 11 місяців тому +1

    Uzuri ngumi ni kama mpira haupimwi kwa macho waingie ulingoni wazichape tujue nan mbabe

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Рік тому +3

    Hata wapande ulingoni Kiduku na Mandonga wacheze round 12 Champez Mwakinyo atawachapa tu. Huu Ni ufalme wa Mwakinyo kwasasa!!

  • @mugishadavidsengati5119
    @mugishadavidsengati5119 11 місяців тому

    Ila lakini itawezekana maana weight zao ziko tofauti....

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 Рік тому +5

    Hassan mwakinyo ni bondia mzr sn lkn dharau zmekuzid kwa mabondia wenzio, ukisain kupigana na twaha kiduku ujipange anausongo n ww aweza kukuulia ulingoni

    • @lebelgross2656
      @lebelgross2656 Рік тому

      😢😢😢😂

    • @AbdillahiLulinda
      @AbdillahiLulinda Рік тому +1

      Mimi kila bondia wa Tanzania namkubali japo mimi ni timu kudunda twaha sio bondia mzuri kama alivyo mfaume au iclas wala kidunda anapigana sana fujo mwakinyo ni professional ana2mia sana akili kwaiyo ajipange2 twaha maana atazalilika akienda kifujo fujo

    • @upendosteven6733
      @upendosteven6733 Рік тому

      😂😂kweli Ila nampenda ameshaonyesha uoga Mambo ya wiki 2 ya Nini hapo atakua anawaza ataweka wapi uso wake ndio maana anaweka vikwazo

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 Рік тому

      @@AbdillahiLulinda sw kk muda utaongea

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 Рік тому

      @@upendosteven6733 twaha hanaga maneno mengi muda utaongea

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 Рік тому

    Wakinyo awezi kupigana na kiduku hata iweje mm nawaambia

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 11 місяців тому

    Mi navyoona mwakinyo bado anaogopa maana kusema pambano lipangwe ndani ya hizi wiki mbili ndiyo nini mwakinyo hayupo tayari alafu yeye ndiye kaanzisha choko choko hizi

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp Рік тому +4

    Mwakinyo mama tuuu mdomo sanaaa

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 Рік тому

      Huyu apigwe na apakiwe futa atombwe tu😂

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому +5

    Mwakinyo hajui ngumi,, Tuwe wakweli

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v Рік тому

      Uo ndio ukwel na uongo ni upi!?

  • @GameCastle94
    @GameCastle94 Рік тому +2

    Asani kimambi

  • @mdudamduda1284
    @mdudamduda1284 Рік тому +2

    Week mbili tena acha woga

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 11 місяців тому

    hawa sasa wataenda kupigana kwa hasira na sio kama mchezo wa ngumi ,na ulingo utapungua rabda wafungiwe taifa

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 Рік тому +1

    Nani atampandia mwenzake uzito ama kushusha uzito kimfuata mwenzake!

  • @fadhilngalanda7520
    @fadhilngalanda7520 Рік тому +1

    Mkumbuke hata Mohamedi Ally alikataa kupigana na msaidizi wake kwa miaka mi3 siku moja alikubali kupigana walichakazana sana sura zote hazifawi mwisho second wa yule msaidizi wake akatupa towel round ya 10 kama sikosei Mohamedi Ally alilia sana na kusema alikuwa hajisikii kabisa kupigana lakin ili kulinda heshma yake ikamlazimu ngumi zilipigwa hatari sana

  • @DouglasMassop
    @DouglasMassop Рік тому

    Asisemi tu viatu vinamtia anka. Kiduku atazaba kwel kwel

  • @RamadhaniMzashi
    @RamadhaniMzashi Рік тому

    Kiduku alisema mwakinyo muoga na ni kweli ongea na matajir wake ndan ya wiki mbili kuna ngumi za namna hyo c anajua haiwezekn ndi mn kasema alf ww umekuwa dola nowdays za kuwafungia watu

  • @RuttaJames-kh5jx
    @RuttaJames-kh5jx Рік тому +5

    Mm timu kiduku maana huyo dogo michambo mingi😂

    • @Eljeffebanks
      @Eljeffebanks Рік тому +1

      Babaa maneno tunayo na ngumi tunapiga vile vile wapaka piko nyiee 😂😂

  • @IgarandaIgaranda-d9e
    @IgarandaIgaranda-d9e Рік тому +1

    Chuki zenu huwaga zinaponza msiangalie mwili wala maneno angalieni uwezo wamtu

  • @strong8534
    @strong8534 Рік тому +3

    Kwa kigezo kipi ??? Yaani Rolls Royce ikapambane na TOYOTA IST!!?

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Рік тому +2

      Zote ni gari tu

    • @upendosteven6733
      @upendosteven6733 Рік тому +1

      Hana ata baiskeli huyu nyumbu anaonyesha zarau kama hasani

  • @hassankaaz5948
    @hassankaaz5948 Рік тому

    weeki mbili is so unprofessional mtu anahitsji atleast 2 months camp kuprepare for a match wacha uoga mwakinyo acha mkataba uwekwe chini alafu watu wajitayarishe kwa ajili ya pambano

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 Рік тому +1

    Huyu champ mbona yupo kama FASHANU vile😂

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs Рік тому +1

    Mshamba uyu binti wa kitanga