Wapi Kamnyweso Wapi Kamnyweso Wapi Kamnyweso Wapi kamnyweso Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva Upende usipende huwezi avoid hawa manigga Ukinipatia mboka sikuenjoi namaliza Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah Na mi ninani to prove no point for de media Go ahead and light a joint for this feature Rada sikutafta coins ni mamita Na peng ting ka si Wamboi ni Anita Kanairo wamenibandika jina sonko Kogalo massive hii ligi mi ndo na control Odi dance sitambui sijui azonto Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo Na kila nikichunisha debe wanaturn face Utadhani wameona manjege au masanse Niko zabe juu ya veve na machampez Haters nawapea headache vile narun place Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso Wapi kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) You didn't know Okonkwo can spit another lingo And I make it look simple Am a G in this shit just living it up I got many flows let me switch it up Umeshtuka mi sikai eh Na kizungu aki walai Ni mwisho wa mwezi najidai Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai Ndo sherehe tunapiga place ya nguvu Mahali pombe inaserviwa na tunjugu Aki ya nani leo nikishika mutu My chik, ataenda kuku Lamba chupa ukilamba mtu Tupa lugha kamata mtu Chuma nzuri hainanga kutu I keep it one hundred Me and OG we glowing this money You know we run this streets You know we killin this shit Level up! Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Nasema Leo form yetu kamnyweso eeeh Na kama zimekushika basi weka yako juu Nasema Leo form yetu kamnyweso eeh Na kama zimubamba basi inua yako juu
The chemistry btw the two is on another level. Creativity 💯, content 💯 and shooting is lit. Hii comment my grandkids will be reading it in 2095. Wapi likes ya mejja na OG
the vibe this song gives is insane, the beat, all about this song is massive respect to both of them. Can't stop listening, the repeat button is burning
BIG SHOUT OUT TO VINC ON THE BEAT BY THE WAY 🇰🇪🔥⚡
#The Beat Killer
🔥🎧🔥
THE BEAT KILLER mwenyewe.
Mbuzii👹👹👹👹
#respektthebeatkiller, #respekttheogs
Izo guitar ndo zimenibamba sana man🔥🔥
Alafu unaweza cheki hii doba yangu pia
ua-cam.com/video/6fiIP_fYac0/v-deo.html
0% nudity 0% vulgar language 100% talent and creativity... Naacha comment apa nakujia likes na replies badae 💯🔥🔥🔥
you forgot 0% crime and drug abuse addons
Hdhdh ua-cam.com/video/tRjmAzlXQhU/v-deo.html
100% alcoholism
Wallahi💯💯
Pure content
Shout out from TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 gonga like tunaomkubali khaligraph
Naacha hii comment hapa ndo mtu aki like nakam kuwatch hii song tena
Hii Hadi muindi emesema ichezwe kule Mumbai India 👊👊❤️💯
Chuma nzuri hainanga kutu apo mejja amenena wapi likes zangu
😂
Nobody gonna mention how clean OG and Mejja dripped on this one...Kenya to the world 🇰🇪🔥
You already mentioned it, why should anyone else do it
Uko rada Brejin
Wow am seeing @samantha dedra
Heye ua-cam.com/video/tRjmAzlXQhU/v-deo.html
Kali sana
Mm ni fan wa OG na Mejja❤️ si mnipee 1k like leo
After kifee word on this,I had to come and re confirm.
Io doba n legit respect the OG🔥🔥na mkurugenzi wa katambler🤘
The way Mejja switches from English to Swahili is stunning 👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Boy alienda shule😂😂
The fact that he rapped in English is shocking...mtoto wa khadija amenimaliza
I love meja doing perfect English and switching tunes
Wapi Kamnyweso
Wapi Kamnyweso
Wapi Kamnyweso
Wapi kamnyweso
Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva
Upende usipende huwezi avoid hawa manigga
Ukinipatia mboka sikuenjoi namaliza
Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah
Na mi ninani to prove no point for de media
Go ahead and light a joint for this feature
Rada sikutafta coins ni mamita
Na peng ting ka si Wamboi ni Anita
Kanairo wamenibandika jina sonko
Kogalo massive hii ligi mi ndo na control
Odi dance sitambui sijui azonto
Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo
Na kila nikichunisha debe wanaturn face
Utadhani wameona manjege au masanse
Niko zabe juu ya veve na machampez
Haters nawapea headache vile narun place
Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tumbler wapi kamnyweso
Wapi kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)
You didn't know Okonkwo can spit another lingo
And I make it look simple
Am a G in this shit just living it up
I got many flows let me switch it up
Umeshtuka mi sikai eh
Na kizungu aki walai
Ni mwisho wa mwezi najidai
Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai
Ndo sherehe tunapiga place ya nguvu
Mahali pombe inaserviwa na tunjugu
Aki ya nani leo nikishika mutu
My chik, ataenda kuku
Lamba chupa ukilamba mtu
Tupa lugha kamata mtu
Chuma nzuri hainanga kutu
I keep it one hundred
Me and OG we glowing this money
You know we run this streets
You know we killin this shit
Level up!
Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tumbler wapi kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Wapi kwamnyweso Kamnyweso
Nasema Leo form yetu kamnyweso eeeh
Na kama zimekushika basi weka yako juu
Nasema Leo form yetu kamnyweso eeh
Na kama zimubamba basi inua yako juu
My tribesmen, my village people, my wicked ex, my arrogant landdord and I have agreed that this song is a hit💯🔥🔥🔥🔥
🤣💯💯💯🙌🙌Kali sana
Hdye ua-cam.com/video/tRjmAzlXQhU/v-deo.html
Was ex 😂😂
😂Bana jooh
😂😂huchokangi na hii comment kila mahali naenda nakupatanga ....good taste in music though❤
Nilifikiria ni amaboko ya rayvanny ft diamond platnumz hiyo location
Nimeambiwa nikuje ni comment hapa, so kamnyweso kwa desert, aje?? Ngoma kali tho
Nawaeshimu hawa wazee, hepu nifikisheni 1k subs tuone
Me arriving here after watching the OG kwa kifeeee....nice nicee
Umeshtuka mi sikai na kizungu aki walai😂
Gonga like hapa Kama umekam Kucheki Kenya Music Industry on Shoulders of One Man Army #OG Jones x Hataree Mejja 💥🔥👍
Ety,,,,,, chuma mzuri hainanga kutu,,,,,,, 🔥🔥🔥🔥
Chuma nzuri hainanga kutu😁😁😁😁mejja mtoto wa Hadija🔥🔥🔥🔥..majengo& kayole collabo of the year
The OG must be Respected..24/7... From Zambia 🇿🇲 ❤️
Kbisa I'm Kenyan by citizen but currently working in zambia all da way 254 OG nakutambua Morio The OG and the only one
Mejjaa should be verified
2. he should be awarded top awards this year
3. mejja is everything Generation z is having
the interview was just 🔥🔥🔥🔥🔥 pale kwa bazuuu Mwenyewe Andrew kibe the GOAT
Na huyo eric omondi ako wapi na hizo mbwa zakeee😂😂😂
Noma noma nomaaa sanaa ka unakubaliana na mm mtoto wa hadija amemfunika og piga like
Approved ✍️ now!! Khaligraph is the best rapper in Africa. Mejja is carrying our music industry with one hand the other hand carrys tambler 😁😁
Mejjja NEVER dissapoints.....this be a big tune dis December....likes za okonkwo hambatapa💥
The chemistry btw the two is on another level. Creativity 💯, content 💯 and shooting is lit. Hii comment my grandkids will be reading it in 2095.
Wapi likes ya mejja na OG
😭😭😭
Lamba njugu ukilamba mtu 😂😂🔥🔥🔥 issa vibe
Why are not subscribing, OG needs a million plus subscribers, he is a hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ule msee wa kibera mwambie akuje aone vile OG talk less n hit after hit
Wapi LIKES ZA MTOTO WA HADIJA . Put the VOLUME ON TUKISONGA NA KAMNYUWESO.
from kibe🎉
OG na Mtoto wa Khadija to the top.💥💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥💥💥💥💙💙👌👌💲💲💲💲💲
Si part ya meja mi huninyc..kwanza sasa ni ngusu ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
1 million + its a certified hit repect the OGS
Definetly a hit
And it has only taken 6 days and we have the 1 million views
Kali sana hiii n motoooo
🔥🔥🔥😂hii ngoma nmengoja for long kuliko relationship zangu zote
It's worth it though🔥🔥🔥🔥😂😂
Okwonko kizungu ei...moto maze ka hupendi ngoma hizo zingine za OG lazima upende
Lakini Okonkwo mtoto wa Hadijjah I love this guy salam kutoka hapa ndani ya 256
When two OG's meet you know it's a banger🔥🔥🔥
Mejja has the simplest choice of words dont know how they hit this hard😭😭😅🇰🇪🇷🇼🔥🔥
You guy my guy😂🎊🎊🎊
MEJJA/Mtoto wa hadija, to the world..🤘🏽🇰🇪🤘🏽🇰🇪🔥...Lamba chupa uki lamba mutu🔥🔥🔥🔥🔥🔥..LIKES ZA OKWONKWO ZINA WEKWA APA😎😎
Ni MEJJA NA OG .WAMEWEZAA THIS 100%CERTIFIED. HAO NDIO WAKUSEMA
Okwonkwo ngoso imekubali
the vibe this song gives is insane, the beat, all about this song is massive respect to both of them. Can't stop listening, the repeat button is burning
Great Track!!! UG is listening 🇺🇬🇺🇬🥳🥳
December song watu wajibambe Sasa 🤣🔥🔥🔥
This is hit ya kufunga mwaka apa kila mtu ametendea haki beat
This two artists are now to be declared National Treasures, should be protected at all costs.
You can't afford to just not like them!!
High quality video ,meja and OG must be respected 🔥
Kenyans don't know how much we Nigerians love them...Kenya 🇰🇪 Nigeria 🇳🇬 loves you❤️
We love you too Nigeria 🇳🇬♥️
Thank you bro
We love u too Nigerians
I don't usually comment..... but, Shhhhhhhh...... Listen. You don't need another definition of MasterClass!
Where is my comment in this legendary song 💥💥💯the best collabor of the year 2022
Noma the best collabo for good humble ninjas Kalimejja 🇺🇸 🇰🇪 bless up!
The only two OGS who never disappoint in this country. Killing it as usual. salute
Love From Tanzania 🇹🇿
From 1:49 ndo Okwonko anaanza kwa wale wamekam skiza mtoto wa Hadija
Noma sana..... Wapi kamnyweso🔥🔥🔥🔥
this jam walahi is fire...Okwonkwo spitting another lingo
The OG part is something else ❤️❤️❤️❤️😋 u're the best
"They act like two legends cannot co exist"
This is proof they can
Hii Nayo Iko Tik ☑️, Mtoi wa Khadija!!! Wee.. 💥✌️💯 OG 💪
na hizi majango hazikunywangi kamnyweso wallahi
Cant imagine Khaligraph Jones with all this bangers has not reached one million subscribers
This is quite the dynamic duo 🔥. Hopefully these two would be able to add Nyashinski kwa ngoma next...
OG you'll never stop transforming the world. This more than we expected. Big ups to Mejja
Eish Dope🔥🔥🔥🔥🔥 my watuz
Motoooooooooooo uuuuuuuuiiiiiiiii wap likes za our legends #254 tuko top❤️❤️❤️
Anywhere MEJJA aka OKWONKWO is There must be Hit
This is a Banger 🇰🇪💯💯🔥🔥
Hits after hits what am always expecting from this two dudes
These not this
Certified Fact.
Hdud ua-cam.com/video/tRjmAzlXQhU/v-deo.html
Why Khaligraph Jones is unique.... He's got melody
🔥🔥🔥Sasa tunangoja video ya Tsunami 💯
You can't afford to disrespect khaligraph Jones ....wapi kamnywesooo🔥🔥🔥🔥
20%dance
60%good vibes lyrics
20%creativity
This sound is on another level my dear Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wacha tu😊
Already on repeat mode☑️
Kenyan Musician don't get enough credit, OG and Mejja are fire. Protect this two legends.
Sipendi Jones but ngoma zake joh hakuna vyenye naeza zichukia walai... Huyu jamaa hukill 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 itabidi nimekupenda man
mejja yuu slap kama iyo drink yeneye yuu beba kwa tumbler🔥🔥🔥🔥🔥
Khaligraph killed the germ and Mejja buried it baaad!! 🔥🔥🔥🔥
From kibe’s channel and that interview made me love the OG even more 🫶🏾🔥
The Collabo Kenyans were waiting for 🔥🔥🔥
1.3mil views in only 11 days?pozze wanastruggle kufika 500k in months..OG ni OG
Love you alot OG🙌❤️Kam Ug tafadhali 🙏
Love the chemistry between these two. This must be the biggest banger of 2022
Hdud ua-cam.com/video/tRjmAzlXQhU/v-deo.html
Respect the OG always but Mejia killed it for sure 💯 👌
OG you run the streets 💯 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Maze ka hujatii khali, ata ww mwenyewe hujajitambua bado
Million in 5days 🌏🌏🌏🌏🌏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪lm so happy 😊😊😊 Next in 1day congrats to US 🇰🇪💯💯💯💯
when two great men come together, wonders happen....THIS IS A HIT🔥🔥🔥🔥🔥
Abeg! Mob love from Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇰🇪🇰🇪
We love Nigeria 🇳🇬
The two Legends on this beat totally killed it!!!
hii video iliwezaa🔥❤🇰🇪
Khaligraph Jones the luo 👑 pin💪💪💪💪
Wow it's only Khali that makes me to be proud of being Kenyan. G.O.A.T🔥🔥💯
mejja on the mic with English vibes👑❤️...daaamn😩❤️❤️❤️.
Finally bomb has bursted 🎉🎉
Hii ndio tulikua tunangoja....
OG can sing🔥🚀kama unakubali piga like