Nakukubali sana Brother, Mpira unachezwa na kubadilika kutokana na mpinzani unaecheza nae huwezi kulinganisha mchezo wa SC SFAXIEN na Simba Sc Performance yake na mechi ya Ken gold. Umezengumza vizuri sana. Santee.
Wewe hujui hata kuuliza maswali.Hujui hata mpira. Unaonyesha wazi upenzi wako kwa Utopolo. Sisi wanasimba wala hatuna mashaka na Ateba.Hayo ni mawazo yako.

Acha ujinga mwandishi
Jitayarishe na maswali Hujui hata jina la mchezaji! Unauliza unayemuuliza?
Huyo mulize maswali ya simba, huyo ni mwana chawa wa simba
Wewe hujui hata kuuliza maswali.Hujui hata mpira. Unaonyesha wazi upenzi wako kwa Utopolo. Sisi wanasimba wala hatuna mashaka na Ateba.Hayo ni mawazo yako.
Nakukubal xna jef
Unaonyesha ujinga kuuliza maswali ya kijinga.Unakuwa kama kijiwe cha kahawa