HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @aderickanatorypesha4004
    @aderickanatorypesha4004 2 дні тому +1

    Mama unafanya vizuri ,tunakupongeza Sana. Kwenye suala la Ubalozi umefanya vizuri . Mimi nashauri Mabalozi wa nchi za mipaka yetu wawe watumishi ambao wamepitia jeshi ,na hasa nchini Uganda na Rwanda .Naona hili maana wazee Hawa wanakalibia kustaafu ,Ila watoto wao wanaoandaliwa kuchukua kiti sio Sauti nzuri kwetu .Hata wa kuu wa wilaya katika mipaka hiyo ,lazima nao wawe wamepitia jeshi. Ahsante.

  • @CharlesMapinda
    @CharlesMapinda 3 дні тому

    Refa wa leo Jackson Samwel, amechezesha mchezo wa JKT V. PAMBA JIJI. REFA huyu alikuwa na sababu na timu ya pamba jiji. Ameionea sana, mpaka ameinyima na penalt. Hafsi ktk ligi yetu.