Twasema Asante ewe Mungu Wangu - Worship TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @emmanuelmwaikambo5516
    @emmanuelmwaikambo5516 2 роки тому +2

    Wewe Ni Alfa na Omega Mungu HAKUNA Kama wewe umetenda Mambo makuu kwetu sifa na shukuran zikurudie wewe tunasema asante Mungu wangu

  • @amahorogospel5491
    @amahorogospel5491 9 місяців тому +1

    Blessings ❤😂😢😊

  • @WorshipTV7
    @WorshipTV7  2 роки тому +2

    Hii ni twasema asante ewe mungu wangu...

    • @emmanuelmwaikambo5516
      @emmanuelmwaikambo5516 2 роки тому +2

      Twasema Asante maana hata Sasa umetusaidia wewe Ni Ebenezer

    • @WorshipTV7
      @WorshipTV7  2 роки тому +2

      @@emmanuelmwaikambo5516 Kweli kabisa. Huyu Yesu ametusaidia sana..

  • @WorshipTV7
    @WorshipTV7  2 роки тому +3

    Tunataka kusikia kutoka kwako njinsi ibada hiiinakuguza, Tuandikia HAPA

    • @emmanuelmwaikambo5516
      @emmanuelmwaikambo5516 2 роки тому +2

      Ilikuwa njema sana ibada ya leo 🇹🇿 Tanzanian
      Tumejifunza karama za rohoni na jinsi ya kutambua karama uliyonayo Kuna karama ya kufarij,kukarimu,utoaji na nyingine nyingi.Asante nimebarikiwa kwa namna iyo leo

    • @WorshipTV7
      @WorshipTV7  2 роки тому +2

      @@emmanuelmwaikambo5516 Waah! Asante sana, ubarikiwe.

    • @emmanuelmwaikambo5516
      @emmanuelmwaikambo5516 2 роки тому +1

      @@WorshipTV7
      Asante Barikiwa pia

  • @WorshipTV7
    @WorshipTV7  2 роки тому +3

    And we say thank you Lord...

  • @WorshipTV7
    @WorshipTV7  2 роки тому +3

    Bwana Yesu asifiwe!!

  • @dianaminayo3780
    @dianaminayo3780 2 роки тому +1

    Always feel blessed 🙌🙌🙌

    • @WorshipTV7
      @WorshipTV7  2 роки тому +1

      We bless the Lord so much