MBUNGE ATAKA ASKOFU GWAJIMA AONGEZEWE ADHABU, "AMUACHE MAMA SAMIA AFANYE KAZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 654

  • @sr.helenarhobi8886
    @sr.helenarhobi8886 3 роки тому +56

    Wewe Gwajima siyo wa kuongezewa adhabu isipokuwa cheo maana Ni msema kweli.

    • @prisillahmasherema8564
      @prisillahmasherema8564 3 роки тому

      Msema kweli ni mpenzi hao wapiga dill 2025 mtaisoma namba mtajua hamjui watanzania tuko tumefunguka macho Gwajima hoyeeeee

    • @pendohoseah7719
      @pendohoseah7719 3 роки тому

      Mfanyeni Mnavojua Lakin Ss 2nampendatu..Angekuwepo Shujaa Magu Ndo Angemuunga Mkono Xxa Maana Aliyakataa Hayo Machanjo Ww Unafkir Akifufuka Leo C,Utavuliwa Ubunge Ww Hayo Ndo Waliyokutuma Wanainch Wa Jimbo Lako

  • @shariffmtonya8945
    @shariffmtonya8945 3 роки тому +10

    gwajima mitano tena kwa kweli Allah akulinde mtumishi wa mungu

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 3 роки тому +20

    Hatuchanchi ng'oooo, damu ya Yesu ndo chanjo yangu, Gwajima juu

  • @getnewstv1637
    @getnewstv1637 3 роки тому +4

    Mungu aendelee kukupa maono na akuongezee ujasiri zaidi Askofu Gwajima

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 3 роки тому +13

    Kutoka Kenya nimeipenda hao wabunge gwajima na slaa watu wenye maamuzi ya kweli

  • @dapurity6006
    @dapurity6006 3 роки тому +20

    Hata kama angekaa viti vya nyuma GWAJIMA AMESEMA UKWELI.. YUPO SAHIHI SANAAAAA

  • @papaajvmassua5453
    @papaajvmassua5453 3 роки тому +20

    💪💪 gwajimaa babaa wasikutishee hao God is with you

    • @furahajacob506
      @furahajacob506 3 роки тому

      Hivi!! Mnajitambua kweli muda wote mnamzungumzia gwajima hamna vitu vingine vya kudiskas acheni Mambo yene ya ajabu

    • @papaajvmassua5453
      @papaajvmassua5453 3 роки тому +1

      @@furahajacob506 we mpubavuuu nn ww kwanzaa unajitambua kweii ww nyooo

    • @furahajacob506
      @furahajacob506 3 роки тому

      Mwanaume mzima unasema nyoo!! We ni pic Kali😀😄🥰😁

    • @papaajvmassua5453
      @papaajvmassua5453 3 роки тому

      @@furahajacob506 kama alivo baba ako mbwaa ww

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 3 роки тому +22

    Jirani yangu amepata chanjo anaumwa hadi Leo.Je? mnafatilia afya za waliopata chanjo?

  • @alphonseziragora5151
    @alphonseziragora5151 3 роки тому +1

    Hili bunge litaangusha CCM kwa mda mufipi tu na Mama atabaki akishangaa. Yaani kuna wajanja ndani wanajifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu. Wanasema sema eti Askofu.......Mama Samia, wewe ni msomi, waangalie tu kiisha uibuke na msimamo utakao save chama unachosimamia ili isiandikwe kwenye historia kam mama mtanzania, Mungu amempa nafasi kwa siku chache tu akaharibu.

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 роки тому +36

    Mungu atawashugulikia subirini tu

    • @gracewaziri3221
      @gracewaziri3221 3 роки тому

      Wanacheza na MUNGU wetu, wakamuulize Dogo Makonda

  • @amanmwailolo3199
    @amanmwailolo3199 3 роки тому +16

    Acha zako wewe, kwahiyo unafikiri Hilo bunge ni la kwako? Mwacheni Gwajima ni Chaguo la Mungu

  • @franciscakambuga4065
    @franciscakambuga4065 3 роки тому +19

    Mungu yupo ipo siku . Atawashughulikia ukweli. Mnaujuwa.

  • @godwinmuze3937
    @godwinmuze3937 3 роки тому +32

    Acheni siasa nyie chama kimoja, wapigaji hela wakubwa nyie, UNANIKERAAA

    • @isackduma6289
      @isackduma6289 3 роки тому

      Chama kimoja hahahahahhahaaaaa!

    • @salumhassanigongolo1925
      @salumhassanigongolo1925 3 роки тому

      Ccm yangu duu Sasa imekua ni mapambano ya kovd jamani wananch tunamengi namatatizo lukuki haaa wabunge tuoneeni uluma jamani

    • @hamisihaji7049
      @hamisihaji7049 3 роки тому

      Mpe ukwer akajifundishe

    • @hamisihaji7049
      @hamisihaji7049 3 роки тому

      Azabu ndogo sana

    • @williamkeitha1262
      @williamkeitha1262 3 роки тому

      Tunakereka wengi hoja kibao badala na ya kujadili unamjadili gwajima kisiasa mpinge gwaji kwa hoja

  • @rajahmlango2765
    @rajahmlango2765 3 роки тому +22

    Sasa hiyo mamlaka kama ni ya huozo afanyaje,acha uwoga was kuongea ww mzee,kama hauwezi kutetea wananchi wako toka huko bungeni haufai kabisaa ww unayempinga anayetetea ukweli

  • @annesirengo2532
    @annesirengo2532 3 роки тому +2

    Mungu Jehovah anaishi!!!

  • @upendomlaki1943
    @upendomlaki1943 3 роки тому +1

    Rais magufuli angekuwepo gwajima angesema anayosema anayosema leo.wangapi?wamesikia hiyo kauli wapige like

  • @dapurity6006
    @dapurity6006 3 роки тому +14

    Magufuli aliwaamini na sisi tukawaamini..Subirini 2025..Watanzania wana akili sana kuliko mnavyodhani

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 3 роки тому +12

    Muache gwajima wetu

  • @emarrgeorge8536
    @emarrgeorge8536 3 роки тому +6

    Sasa JPM Angekuepo ..
    Yeye na Chanjo Wapi na Wapi??..
    Daah Ee Mungu tunakuomba Utuletee Magu Mwingine...😢😢

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 3 роки тому +21

    Mamlaka ya kuuwa inatoka kwa Mungu

  • @manrumba6133
    @manrumba6133 3 роки тому +25

    Yaan kwanza hustahili kumsema Rais Maguful. Maana hakuwa na uozo Kama WA kwenu, watu wanajilipa pesa huko hazna, na kudivate mafta, mpo kimya mmekazana kupandisha tozo tu na makato. Hamna lolote.

  • @johnleonard7451
    @johnleonard7451 3 роки тому +6

    Mungu anawaona

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 3 роки тому +20

    Kuwa na mtazamo tofauti sio kutokuheshimu katiba. Sasa hivi watu wameenda shule, Freedom of Speech as democracy pillar...

  • @dansonkasala1784
    @dansonkasala1784 3 роки тому +3

    Napenda kuwa jeuri kama Shedrack, Meshach na Abednego....Ili nisiinamie Mamlaka za Dunia zenye hila mbaya na watu wa Mungu.....ili nisiambiwe tii Mamlaka iliyopo.

  • @renatuskweyamba6460
    @renatuskweyamba6460 3 роки тому +8

    Umekula ela..
    Tushajua mmekula hela.
    Huna hoja.

  • @afamefunaokeket4946
    @afamefunaokeket4946 3 роки тому +1

    This papaaa is too small 4 ngwajima to send thunder from heaven 4 u,, coz Hata a achoseme hapo story tu za wahenga sahani ya ubwa ubwa, kipindu pindu, na enzi za nyerere, adhubu unayo shindilia Kwa mwenzio,,, dhambi zako mungu akuesabie na jiwe juu,, utupwe baharini,, but kama umtakatifu basi gwajima aongezewe adhabu,,

  • @megatyres4795
    @megatyres4795 3 роки тому

    From Burund tunamfuata Gwajma mtumish wa Mungu . Hata mpinge hamwezi kumuzidi pharaon alipinga lakini mwisho alikuja kumtambua Mungu ni Mungu

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 3 роки тому

    Mungu atawashuhulikia bunge mmemshika mtuminishi wa Mungu tunawapa muda

  • @salamakulungu5647
    @salamakulungu5647 3 роки тому +15

    Kwan maguful angekuwepo hoy chanjo ingetoka wap?

    • @sampaulogrevas6499
      @sampaulogrevas6499 3 роки тому

      Rahis wetu ni mwelewa siyo wakuchonganishwa na wewe unaetafuta ujiko

    • @witingela6283
      @witingela6283 3 роки тому

      Huyu mh naye anatafuta kukaa kiti cha mbele nyuma kubaya jmn

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 3 роки тому +18

    Wewe mbunge ni mtu unaekufa Taratibu.

  • @renatuskweyamba6460
    @renatuskweyamba6460 3 роки тому +11

    Pesaaaaa...... Mshakula pesa...
    Na maneno ya Mungu huyajui.
    Umeambiwa umtii Mungu kwanza...

  • @elyotchisanga138
    @elyotchisanga138 3 роки тому +15

    Hawa machizi vipi wanatoka wapi kwani Gwajima kapinga, (Nimsema kweri Gwajima, dini-dano hiyo duniani kote imepingwa wewe vipi unawewesukanini ! Acha bangi😷)Magufili usimchokoze ndugu yangeongerewa wapi? hayo unazani Mjomba Magufuli alikuwa bwege kama wewe , Mjomba alikuwa na msimamo hizo chanjo za Covid19 kwanini kipindi cha Mjomba hazikuwepo na kwanini hukuwahi sema zije leo kwakutokuwa na msimamo mnahalibu Taifa kwajili ya matumbo yenu !😭😭😭😭 Mumeamuwa kumusaliti Mjomba Magufuli kweri ila alisema wasaliti watatoka katika chama chake na ndio ninyi hamtaki kusema kweri badala yake wanaosema kweri mwapinga na kuwatupilia mbali sawa mtavuna mnachopanda Mjomba Hakika tunakumbuka Daina wasaliti ni wengi wamehalibu Taifa plz Mjomba watokee hata kwenye ndoto wanamunyasa mama plz

    • @ndamugobaivan1
      @ndamugobaivan1 3 роки тому +1

      Hawa jamaa angewatokea Magu pasingetosha.

    • @rwenenahomechannel1634
      @rwenenahomechannel1634 3 роки тому

      Unasema kweli.
      Wamfute ubunge wasimuuwe kama walivyo mfanyia daddy Magufuli.
      Kama wasipomuua Gwajima ataishi vizuri bila huo ubunge beberu na wataanza kuaibika akiwatazama.
      Lisilo kuuwa hukuimarisha.

    • @elyotchisanga138
      @elyotchisanga138 3 роки тому

      @@ndamugobaivan1 Hakika hawa kama sizani wapo salama wanaongea tu pasipo kufikilia , Gwajima hapo anaetetea familia yake ya ufufuo na uzima na ni hiali hizo fitina wataisoma no tu ipo siku wao wataomba msamaha tu, Magu angekuwepo wangekuwa wanafanya hayo ? Mjomba aliikata na alisema ni vita vya kiuchumi kweri wamefikia hatua ya kumpola mkate wake , sure Dady plz amka watazame wasaliti

    • @elyotchisanga138
      @elyotchisanga138 3 роки тому +1

      @@rwenenahomechannel1634 kabsa Mungu amtete mtetezi wawanyonge Joseph t Gwajima

    • @mosesshedrack7600
      @mosesshedrack7600 3 роки тому +1

      Kweli chizi jamani

  • @ramadhanally3243
    @ramadhanally3243 3 роки тому +1

    Gwajima usife moyo pambamba mungu you pamoja nasi usitetereke kwaajili ya watu ckuzote mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe

  • @upendoamani8164
    @upendoamani8164 3 роки тому

    Hatuangamii kwa jina la Yesu wa Nazareth Mungu aliye hai

  • @Swahili14
    @Swahili14 3 роки тому +34

    🤣🤣🤣🚮
    Viva Gwajima💪

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 3 роки тому

      Napaua zako hizo mmeambiwa ukweli mkachukia 😏😏😏😏😏

  • @abdallahmsaka6794
    @abdallahmsaka6794 3 роки тому +5

    Hata jambo la hovyo watu wasiseme we mbona hujitambui.?

  • @chrismwanakwetu1435
    @chrismwanakwetu1435 3 роки тому +2

    Inaonekana huna uelewa ndio maana uñakaa viti vya nyuma jaribu kuangalia hoja za Gwajima na zako ktk mda mfupi alioingia bungen we n kilanza

  • @kelvinchacha5557
    @kelvinchacha5557 3 роки тому +2

    Gwajima tupo pamoja 💪💪💪 hawa watu ni wapuuzii,,,,, they are trying to run from reality,,,,

  • @abasikandoro6980
    @abasikandoro6980 3 роки тому +1

    Kweli nyie wanafiki wabunge kweli mnajali tu matumbo yenu gwajima usiogope mungu awezi kukuachaa watanzania tupo pamoja nawe nakupenda sana mtetezi wetu

  • @henryxavery1713
    @henryxavery1713 3 роки тому

    Safi Sana Mheshimiwa,

  • @kibabemakame7197
    @kibabemakame7197 3 роки тому +3

    Gwajima yupo sawa

  • @charleswilliam6221
    @charleswilliam6221 3 роки тому +2

    Gwajima oyeee
    Jerry oyeee
    Wabunge acheni unafiki IPO siku kitaeleweka, kwanza serikali yenyewe ni 0 hamtaki kukosolewa,samia jitathmini wanaokuzunguka ndo hao hao watakaokudhihaki miaka ijayo,Mungu nipe umri mrefu niyaone yajayo

    • @gracemasumila7475
      @gracemasumila7475 3 роки тому

      Gwaji boy hoyeeeeeeeee yupo juuu

    • @gracemasumila7475
      @gracemasumila7475 3 роки тому +1

      Gwaji boy yupo juuu

    • @kennethndingo2544
      @kennethndingo2544 3 роки тому

      Tunao watu wenye upizani wa kila kitu ndio wanamushangilia Ngwajima.ili wanaccm wagombane ndio wengi hao.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 роки тому

    Mmmmh mungu anawaona atawajibu kwa mda wake

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 3 роки тому +5

    Gwajima ni zaidi ya wataalam !

  • @cleofasswenya6443
    @cleofasswenya6443 3 роки тому +1

    Hata , Shadrack , Mashaki na Albelnego , hwalikataa kuitiii mamlaka iliyojuu kwa sababu ya uozooooo. Huwezi kuisujudia chanjoooooooooo.

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 3 роки тому

    Mungu akusamehe hujui usemalo

  • @gracejoshua9650
    @gracejoshua9650 3 роки тому

    Gwajima yuko sahihi saaan hata mimi Niko pamoja nae kwasbb mtu wa mungu nilazima aseme na mungu kwanza kwasbb anaoneshwa jinsi dunia inavoteketea....tunapaswa kumuamin mungu tu na kuwa na iman , Nakusali ili atuondolee ili janga kubwa la korona maan dunia mimea na vitu vyote vilivyomo dunian kaviumba yy tunapaswa kumuomba mungu yeye ndiye mponyaji asiye shindwa na chochote.

  • @williumdarema8736
    @williumdarema8736 3 роки тому

    Mungu yupo

  • @eliasmwakasaka8454
    @eliasmwakasaka8454 3 роки тому +4

    Njaa mbaya. 😂😂😂😂
    Wabunge wanaongea mishipa ya shingo inawatoka , kisa kulinda ugali wao

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 3 роки тому +8

    Eti wasomiii ,hakuna kitu hapa ,vijana tujitafuteni

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 роки тому +2

    Gwaji boy,yuko sahihi kwa mtazamo na uelewa wake, lkn angeenda taratibu,
    Ngoja tuone gwaji boy vs serikali....

  • @pendomalisa6726
    @pendomalisa6726 3 роки тому +1

    Hilo sio bunge bali nyumba ya majungu na fitina na unafiki

  • @petromtakati2975
    @petromtakati2975 3 роки тому +5

    Alie kwambia walio kataa kuchanja itawapata Garika ni nani siajabu mlio chanja ndo mtapigwa garika maana mmekuwa vigeugeu wa kutupwa tana hatujui mko upande gani yaaani ata aibu hamna kabisa

    • @eliyajeremia1447
      @eliyajeremia1447 3 роки тому +1

      Hata wanavoongea unajua tayali yashakua mazombi hayajielewi nahayana hoja mpaka lile lispika jeusi kama mukaa

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 3 роки тому

      @@eliyajeremia1447 kikwazo kwakweli

  • @lubambeheneli133
    @lubambeheneli133 3 роки тому +5

    sasa nimegundua kumbe wabunge ndo waliagiza chanjo sio samia

  • @jameslyambilo2270
    @jameslyambilo2270 3 роки тому +4

    Hamna hoja tupeni faida na hasara za chanjo yenu, kingine chanjo ni hiari Gwaji boy hajazuia watu ameshauri na hata kamati ilisema chanjo ni hiari.

    • @mariambwilo6841
      @mariambwilo6841 3 роки тому

      Namuona gwajima na slrah wakisimama Kama abelndego na meshak kwenye biblia

  • @bkilango4265
    @bkilango4265 3 роки тому +2

    Ni kweli FARAO ni mamlaka iliyotoka kwa MUNGU
    Lkn mbona MUSA alitumwa na uyo uyo Mungu kumuonya FARAO aache kulipeleka taifa upotevuni kwa kujiona yy ndo Mungu
    Yasomeni maandiko vizuri sio mnasoma vichoroba choroba

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 3 роки тому +24

    Kwendaa si kila mamlaka inatoka kwa Mungu i hate politician

  • @ellymagoke6079
    @ellymagoke6079 3 роки тому +13

    Muongo wewe serikali imeruhusu pombe lakini kqnisani linakemea ulevi na uzinzi

  • @gwamakangwala6468
    @gwamakangwala6468 3 роки тому +15

    KUMBE NYIE WANAFIKI SASA WANACHEKA NINI?

    • @ignasiissaya1718
      @ignasiissaya1718 3 роки тому

      yani WaBunge ni wanafilki sana yani mimi hapa ni UVCCM damu lakini kwa mara ya kwanza 2025 naenda kupiga kura kwa wapinzani maana sioni jipya yani nchi kwa sada haina unafuu popote

  • @gabrielstephano5261
    @gabrielstephano5261 3 роки тому

    Mwl Julius K Nyerere ulihangaika Sana kutengeneza taifa hili, ukapambana kuitengeneza ccm ukamaliza yakwako ukaenda zako mbali lakini leo hii ccm yako haioni mbele ni Kama inaenda kupotea waliobaki na ccm yako sio waamifu wengi ni wanafiki " olewenu ninyi wanafiki" inasema biblia.

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 3 роки тому +5

    Acha kutupotosha' kwanza kabisa napenda kumshukuru Gwajima,Polepole,kwa kutuelimisha kuhusu Chanjo' Anayejisikia akachanjwe. Nanukuu maneno ya Rais sio lazima kuchanjwa

  • @sheriibrahim6753
    @sheriibrahim6753 3 роки тому

    Safi Sana. Umeongean

  • @froidamilinga2452
    @froidamilinga2452 3 роки тому

    Mungu atampandisha tuu

  • @makulanangale588
    @makulanangale588 3 роки тому +5

    Wew ni mbuge mshenziiiiiiiiiiio

  • @salomeshila3671
    @salomeshila3671 3 роки тому

    Msicheze na mungu nyie wanasiasa acheni mungu aitwe mungu najua Ngwajima yupo sahihi kutusaidia watanzania namungu atampandisha Mara saba naatang,arishwa zaidi

  • @paulinamassay5122
    @paulinamassay5122 3 роки тому +6

    Kumbe mnajijua mnatudanganya wanachi!!! Lazima muunge mkono hoja hata kama siyo.

    • @mariambwilo6841
      @mariambwilo6841 3 роки тому

      Sio Kila mamlaka ni ya mungu acha kuongea pumba

  • @hamidumatelephone7403
    @hamidumatelephone7403 3 роки тому +1

    Wabunge wengi wasenge
    Wanafirwa
    Akiwemo na uyu choko mzee
    Bunge la kichoko Sana
    Mikuma ya Mamaa zenu nyie
    Bora Amza angevaa mabumu akaja kujilipua uko bungeni

  • @gfkhopechannel4493
    @gfkhopechannel4493 3 роки тому +1

    Umejitoa sawa subiri ,tuone baada ya kujitoa

  • @lerachete988
    @lerachete988 3 роки тому

    Unamudanganyiya.

  • @twigazano1011
    @twigazano1011 3 роки тому

    Ninajua ktk hili wapo waliokasirika na waliofurahia na wasioupande au wasiomsimamo wowote, msitukanane wala ktukana,tumieni lugha bila matusi,mnaowalenga watasikia tu na kuwaelewa. Tengenezeni hoja badala ya malalamiko kuhoji chochote kilichotokea kati ya Gwajima,Slaa na bunge ndipo Mungu atawasikia, mkiukana,ohoo! hapo tena,mnamshirikisha shetani Mungu mwenye haki hatawasikiliza ili kuwadaidia au kupokea mnachosema,zaidi sana mtaingia hukumuni.

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 роки тому +5

    Wewe ndio ungesema hayo kama Magufuli angekuwepo?
    Au mbona hukusema hayo kipindi kile?

    • @afamefunaokeket4946
      @afamefunaokeket4946 3 роки тому

      Uyu baba bora angesinzia msaa yapite,,, kwa hawa watu bungeni hawasomagi comment waka jua upepo unapoelekea,,, ngwajima hata ikimpendeza mungu wasishangae akawa rais,,, coz ni kichwa,, fear no one but God

  • @eliasmahalila9464
    @eliasmahalila9464 3 роки тому +3

    Tunawasomi wengi Sana Tanznia Ila walio na elimu ni wachache tukutane 2025 kwanguvu ya Mungu hamutarudi humo tena

  • @elishaezekieldotto5467
    @elishaezekieldotto5467 3 роки тому +1

    Wasikutishe Askofu wetu, hata wasemeje sisis tunakuamini sana hao wanabwabwaja2 tueleze ukweli sisi

  • @linuspapiasmanywele3414
    @linuspapiasmanywele3414 3 роки тому

    Mtashushwa Nyie .

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 3 роки тому +2

    Gwajima ni balaa yule hafai bungeni wala ndani ya CCM angekuwepo Magufuli kweli angemuweza, lakini Magufuli ameenda ndio amekua huru kufanya atakavyo afutwe chama tu arudi huko chadema yake CCM liangalieni hili.

    • @stephanomtatiro6221
      @stephanomtatiro6221 3 роки тому

      Hatutaki kuchanjwa pigeni kelele mtatukuta 25

    • @hiyanimsangi73
      @hiyanimsangi73 3 роки тому +1

      Upo sahihi saana

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      @@stephanomtatiro6221 kwani kuna mtu kakulazimisha kuchanja? Kama hutaki wewe kuna wengine wanataka na wanaotaka kuchanja wako kimya, ila nyie msiotaka ndio mnabwabwaja hovyo hamjitambui, gwajima Askofu au mchawi yule😳 ukimsikiliza gwajima basi wewe chizi acha kuchanja kivyako na si kwa kuyafuata ya gwajima.

    • @nelsonkamendu9243
      @nelsonkamendu9243 3 роки тому

      Pumbavu wewe huna akili bendela wewe kichwa kaa boga

  • @edinahkemuntomainya6551
    @edinahkemuntomainya6551 3 роки тому

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mimi hapa kutoka Kenya nimekataa hotuba Yako Mzee Kiara.Gwajima ana hekima na busara.Ukitaka enda ukachanjwe mara kumi lakini sisi Hamna chanjo hapa !

  • @195941233
    @195941233 3 роки тому +1

    Hamjamuelewa Askofu Gwajima. Jibuni hoja zake.

  • @simontchaz5272
    @simontchaz5272 3 роки тому +1

    Bunge la chama kimoja ni noma sana.

  • @juliansjuicebarmalindi1156
    @juliansjuicebarmalindi1156 3 роки тому +1

    Mimi nimkenya na nasimama na gwajima mia kwa mia anamsimamia magufuli nyinyi wengine nyooote hamna la msingi kwa nnchi yenu rambeni na mavi pia

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 3 роки тому +1

    Hivi kweli, kwa kodi zetu kutwa nzima mnajadili ngwajima tuu, hebu jengeni hoja bana watu wanashida lukuki !!, madawa, hospital, wodi za wazazi na kadhalika acheni hizo si kamati ilishaliza??!!

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 3 роки тому +4

    Mbunge ganzezetahuyo ngwajima ndo mwanaume pekebungeni haowengine tumbotu rana 😏😏😏

  • @maimunamisana4293
    @maimunamisana4293 3 роки тому +1

    Mtajua, hamjui!

  • @stelamkane9775
    @stelamkane9775 3 роки тому

    Hujamjua vizuri Mungu wa Israeli ambaye Gwagima anamtegemea, Najua hata yeye asipokujibu Mungu atakujibu NA adhabu za Gwajima mnazompa IPO Sikh mtajuta kitabu kitakapowageukia , nasi tunasema Hachanjwi MTU damu Yesu inatosha basi

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 роки тому

    Mpaka naona kichefuchefu juu ya hawa vibaraka wa spika, tunajua mmetumwa kuwadhihaki, kuwachafua, kuwadhalilisha, na kufanya mtakavyo sio vigeni Hata Yesu alidhihakiwa na kupewa kila aina ya karaha na hii Leo tunajua ni Nani. Endeleeni tu.

  • @jacksontura504
    @jacksontura504 3 роки тому +6

    Bunge limekuwa la ajabu jaman ivi hivyo ndo mnavyotumia kodi zetu?

  • @rebeccamukonyi3489
    @rebeccamukonyi3489 3 роки тому

    Mheshimu mungu.

  • @emmanuelmassawe745
    @emmanuelmassawe745 3 роки тому

    Huyu katokea wapi subiri kifo na huyo sijui Nani unamheshimu chanja ufe mwenyewe garika ipo kwa hao wanaochanja safina kwa wanaoamini

  • @yohanaenockyohanaenock2595
    @yohanaenockyohanaenock2595 3 роки тому

    Mungu atawalipa

  • @raphaelsamson6576
    @raphaelsamson6576 3 роки тому +2

    Aise wabunge tunao! Mbona Mh. Raisi hajasema chochote juu Gwaji! nyie ndio mnamsemea.

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 роки тому +14

    Utiii mamlaka ambayooo inapotoshaaaa

    • @chrispinjohn144
      @chrispinjohn144 3 роки тому

      Uliwahi kusikia wapii? Hakumbuki wakina Danieli walifanya nini hili sijui la wapi!? Tena walikuwa ugenini na wakagoma. Hata mimi sitaki lichanjo lao... Wachanjane wenyewe.,Yesu nilie nae ananitosha.

  • @kasalangasa384
    @kasalangasa384 3 роки тому

    Ikiwezekana huyo mbunge jibolanke apewe gwajima analopoka tu kusubili posho hata mungu hamjui gwajima akiongezewa adhabu sana nakupatisha tenki la maji kwenye mnala ilionekane kuwa juu na salama

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 3 роки тому

    Usitumie maneno ya Mungu kuidhinisha uovu ,aMungu akupige kusema kweli ni shida ktk ulimwengu huu

  • @ayubusaidi922
    @ayubusaidi922 3 роки тому

    Naomba mungu usiludi bungeni wasikuchague tena

  • @marymweni7852
    @marymweni7852 3 роки тому

    Ukweli unauma siku zote,, Gwajima tunakuunga mkono kwa sana, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tupo chanjo hatuchanjwi ngo! Ata kwenye ndoto

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 роки тому +6

    Kuna tofauti ya utiii na uzwazwa...sio kila kitu unatakiwa kutiiiiiii

  • @faustinkikoti9735
    @faustinkikoti9735 3 роки тому

    Mazee manafiki sana haya..!!

  • @mariasongea5518
    @mariasongea5518 3 роки тому

    Subirini gharika humo bungeni... afya zetu c mabenchi mnayopigia makofi bungeni!! Mungu atawachapa... gwajima go forward 2025 crown is urs Acts news news hizini afya we ndugu!

  • @froidamilinga2452
    @froidamilinga2452 3 роки тому

    Tunatii. Ikiwa iko sawa lakini kama sio sawa lazima tukatae kwa sawa yuko sawaa

  • @mwilemshani236
    @mwilemshani236 3 роки тому +1

    Asante wabunge leo mfanya kazi.

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 3 роки тому

    Kumbe kuingia bungeni gwajima walichukia sana ,angalia sana baba hao si watu wazuri, hata wakijifanya wanakuchekea ni simbi wala watu