Museveni Apinga "Ushoga"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada utakaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja. Sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo cha miaka 14 gerezani kwa wale watakaopatikana na hatia kwa mara ya kwanza, na kifungo cha maisha kwa watakaopatikana na hatia zaidi ya mara moja.

КОМЕНТАРІ • 5

  • @StephenFrancis-mh3uh
    @StephenFrancis-mh3uh Рік тому

    Mubarikiwe..sanaana..namungu..akuinuee..hao..niwatu..tuu..wasikutishe

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv Рік тому

    Asante Baba museveni mungungu akujalieee Manisha mema Aisee

  • @johnsonjohn-qz7cq
    @johnsonjohn-qz7cq Рік тому

    Huyo ndio Raisi wa Tanzania

  • @shakurfaith
    @shakurfaith 5 років тому +1

    "We are not gays"
    - Robert Mugabe

    • @nyamidela
      @nyamidela Рік тому

      musev baki na msimamo awa wasitupeleke sodoma