Kazi mpya sindo hii bhana nimewahi kama kawaida yangu ep 1 naombeni likes mama enu🔥🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🙌,...... EP ya kwanza mshaanzaa kuniliza mkojani una nn lakini😭😭😭😭😭😭😭🙌
Hii ya moto wallah kijiko eti si mwambie tu kwamba mkeo amekufa huyo jamaa mwenye shati jekundu eti ee mkeo kafa bora umekuja tukazike 😂😂 inahuzinisha na kuchekesha pole kamgisha
Mnzingua kweli yani kila mtu ana taka like mnakua kama wapuuzi sasa movie mpya imetok baada mutoe mawazo na fikra kukuza film zetu nyinyi mtaka like halafu baadae muwatukane bongo muvi wote wakati makosa ni yetu raia
Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️😢😢😢😂😂❤❤❤
Tatizo kama ugomvi vile
@@ClaudeezzojohnjohnsonJacobjona hamna wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤
😁😁
@@NajlaaAlly-zm6uc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuma kimpya 🎉❤ tutakua wote mpk mwisho inshaallah 🙏🏿
Wooyoooo kazi imeanza karibuni Tena mkojani geng tuli wa miss Sana nawakubali Sana nakufatilia nikiwa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Wakwanza hadi mwisho na mahabuba ❤❤ team mkojani Kama yanga tu inavofanya Vizuri nanyie mnafanya ivoivo
Asante sana mkojan Gang kwa kutuletea movie mpya nipeni like na mimi from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Waswahili husema kimya kingi kina mshindo mkubwa huu msemo mumeuweka vzr mkojani gang hongereni sana kwa kazi mzuri tupo pamoja nanyi
Mkojani nakupenda ilawe unitesa 😂❤❤nilikua nasubiria sana kitukipya kutoka kwako asante sana twende nalo MAHQBUBA ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦👣👣👣👣👣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pamoja sana mkojani gang kwa kazi nzuri tunawakubali sana
Napenda sana kazi zenu ata ivi nilikaa kinyonge san shukran mkojan gang
Naona nmekuja kwa kishindo...tamthiria Ni Kali inaonyesha❤
Kazi mpya sindo hii bhana nimewahi kama kawaida yangu ep 1 naombeni likes mama enu🔥🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🙌,...... EP ya kwanza mshaanzaa kuniliza mkojani una nn lakini😭😭😭😭😭😭😭🙌
Mkojani gang tena,,, mashallah👍
❤❤❤nmechelewa lkn nmefika 🎉🎉🎉yaan nlikua kila siku nlikua nategea🎉🎉aki
SWAUMU ZETU, UGAIGAI, UMBAMBAMBA, KIVYERE, GUEST YANGU, NA HATIMAE MAHABUBA
Nakukubali sana mkojani
Wakwanza ❤
From london mkojani gang we love you
Nakubali kazi zako 👍🏾👍🏾
Mkojani uyo jamaa alivaa shati kubwa anajua sana uyo ndio mrithi wa chumvi mfunde vizuri anajua
❤❤❤❤ l love you mkojani
Kitu ichoo dah mkonyan episode ya Kwanza unatuliza Hy na mm nipen like basi from oman😂❤❤
yee baba kumekucha muda wakula MB sasa iko good sana hii❤❤
😂😂😂😂😂😂umeonaeeeh muda wa kumaliza bando😂
Mm ushauri wangu Mkojani muwe mnabadilisha location mara nyengine muekt maeneo ya mjini
Kazi nzuri, uyu jamaa anataka kitengo cha michango uyumpijaji
wakwanza kbsa
nawakubali sna mkojan gang
Oyaaaa weee kumbe ngo'mbe hutujui,tumekusubiri mnoo ankali.jaagul shubasted
Waoooooo karibun wpenz au siyo washabiki❤
Mkojani gang mmetisha,Yani unyama mwingi sana wazee
Mnyama kijiko 💪💪
Yani imeniumizaa jamani hongereni sana tim mkojani🎉🎉
Nakukùbali.mukojani.mambomazuri.mashallah❤❤❤❤❤❤😂
Kitu kipya kutoka kua mkojani gang love from Qatar
❤❤
Chuma kipya kimeanza na msiba😢😢😮
Safi sana mkojani geng
Tm mkojani gonga like twende sawa. Chuma hicho mahabuba
Kijiko 🎉🎉🎉🎉 hutaki mizunguuko ya baba aako
By the way MOVIE MZURI MNOOOO SANA SANA HONGERA KWA HILO BINAFSI NAKUPENDA SANA YAN HUWA NA ENJOY SANA NIKIKUONA NACHEKA MNO
Tulikaa kinyonge sana mgojan gang hamna adui🤗
Kazi imehaza hii nahona imehaza vzr na muhimaliziye vzr msichanganye mambo yenu tena
This also a boom....💥💥💥
Nimekubali mkojani fundi
By fire by force here we go 🚶♀️ 🙌 🔥 💪 🙏 kenya 🇰🇪 🙌
DUDE JENGINE HILI HAPA SHABAAASH ❤❤
itakuwa ya moto sana mkojan na wenzako mnafnya vizur sana
kaziiii nzuriiiiii kaka ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ndio ndiooooooo🎉🎉🎉🎉
Niliacha kufuatilia kazi zako kwa sababu mnatoa haraka na mimi sina muda mwingi wa kuka kufuatilia toa taratibu taratibu ntafuatilia
Hongereni wakuu
Leo kwanza Jamani
Ilikuwa tumeboeka sana glad you're back with a new series 😊❤
Sijawai kumpinga mkojani
Nipo zangu Zambia nawafuatilia sana ni nawapenda Pia
Hii ya moto wallah kijiko eti si mwambie tu kwamba mkeo amekufa huyo jamaa mwenye shati jekundu eti ee mkeo kafa bora umekuja tukazike 😂😂 inahuzinisha na kuchekesha pole kamgisha
Mkojani on 🔥
Mashallah Mashallah nawakubari sana
Wow chuma kipya s mchezo 🔥
Kazi sasa Imeaanza tupoote🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Me ntaendelea kuwakubali t mkojan gang ni 🔥
Woyoooo team mkojani piga keleleeeee
❤❤❤
Kaz ju ya kaz tuliwamis mkojan geng tuko pamoja mpka waseme
Nami wa kwanza Leo
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯🤣 nataka laik
Kamugisha kila mchezoo anamajangaaa yeye t ila anauwa sanaa
Nipen like kama unamkubal mkojan 🇰🇪
Mnzingua kweli yani kila mtu ana taka like mnakua kama wapuuzi sasa movie mpya imetok baada mutoe mawazo na fikra kukuza film zetu nyinyi mtaka like halafu baadae muwatukane bongo muvi wote wakati makosa ni yetu raia
Mkojan nakukubali jojo yup wp
Woyoooo team moojoni piga keleleeeee
Kazi nzuli🎉🎉🎉🎉
Wakwanzaaaaa🤸🏽🤸🏽🤸🏽🤣🎉
Ogopa sana hii kitu iskie ttu mm Sina hamu kbs irishanikuta r.i.p mkewangu Sarah 😭🙏
Ila kijiko umenikeraa walah we unampaje taarfa ya msba hvyoo 😢
Kazi nzur mkojan gang🥰🥰
Jamani kujeni huku kuna mahabuba
Aisee kama kawaida mkojani gang daima mbele nyuma mwiko maua yenu hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Leo wa kwanza ctak xhobo
Wahhhhhh noma 😅😅
Chuma nyingine ya moto😂😂😂😂
Kumbe ng'ombe hamunijuiii😂😂 wasaba Mie wapi wengine
😂😂😂😂😂kamugisha hajapona ugonjwa wa moyo kumbe very tumeanza n mazishi 😢
Mahabuba wang uko wapi😂😂😂 madako yako
Ongera mkoo
Hii Ina uqality mpaka 🔐♥️ mwanzo mpk mwisho wa mahabuba tupo p1
Ni Illinois Chicago nawapata vizuri
Wa kwanza leo kutoka kenya
Show Show mkojan gang uusizime data weeeehh zombie 😂😂😂
Nakubali sana naiman one day ntakua kama nyie🙏🙏🙏🙏
Mkojani gang for everybody
Wa kwanza ni mm naomba like japo 5
Mahbuba 🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
Mkojani gang forever.!!!❤ 4rom 🇰🇪
Kawachia mahabuba
series tamu mno bt mda ndo kidogo
Oya wadau hii mpya au mbn part 2 siion
Daah choz limenitoka kwakwel nnavompenda huyu kaka mm kamugisha pole😢japo sio ukweli
Mkojani hii imeanza na moto iko bulubulu
Wa kwanza Leo
Samofi hyo kofia umepewa na babuyooo 😂😂😂
I sey mkojani gang kiboko 😊❤
Daah atari aisee ❤