MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024: Shangwe la wanachama wa Simba baada ya Mo Dewji kuingia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024: Tazama shangwe la wanachama wa Simba SC, baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ambaye pia ni Rais wa Heshima, Mo Dewji kuingia kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ambako kunafanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 2024.
    #MkutanoMkuuWaMwakaSimba2024 #SimbaSC #MkutanoMkuu #AGM

КОМЕНТАРІ • 19