Yani kaa yangu yote sijawahi kusikia chama Cha chadema au viongozi wa ngazi za juu wamewasaidia wanachama wao wadogo wadogo misingi au miradi yakufanya maendeleo au hata kuwakopesha pesa au kufubguwa kiwanda chochote kile kikaleta mafanikio na maisha Bora kwa wanachama wadogo aswa chipukizi maqna nchi yetu sote na sote ni ndugu mafanikiwa ata kama sio wewe lakini Kuna unafuu wawengine tunawaombea nawapenda wote
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Yani kaa yangu yote sijawahi kusikia chama Cha chadema au viongozi wa ngazi za juu wamewasaidia wanachama wao wadogo wadogo misingi au miradi yakufanya maendeleo au hata kuwakopesha pesa au kufubguwa kiwanda chochote kile kikaleta mafanikio na maisha Bora kwa wanachama wadogo aswa chipukizi maqna nchi yetu sote na sote ni ndugu mafanikiwa ata kama sio wewe lakini Kuna unafuu wawengine tunawaombea nawapenda wote
❤
Tunahitaji sera na siyo mashindano ya vyeo 😢😢
Na mwakani anagombea uraisi wa Tz tena kwa sera ya risasi16😢
Alisema ataongelea kuusu swala la milion 1.500.000.tunatamani kuskia hilo
Huwezi kumshinda mbowe na mwisho wako umefika
Mwakani atagombea kwa sera ya kuuza rasilimali.. za watanganyika