Hii ngoma kiboko huku kwetu inafanya vizur bro, Hongera saaana, tunataka piano lingne, ila hii DEAR LORD ni mwisho kweli umefunga mwaka, na Umefungua amwaka Pius🔥🔥🔥🔥
Ila kusema ukweri unajua kaka naamini utakuja kuishangaza Dunia na maelfu ya watu watamjua Mungu kupitia wewe WIMBO WAKO UMEKUWA BARAKA KWENYE KAMPUNI YA DALTONY FILAM Barikiwa sana🙏🙏
I like the word #gospel amapiano# Nyimbo nzur sana ndugu yangu Mungu aendelee kukupaka mafuta NOTE Tunza sana Mungu ndani yako. Na kumsikiliza nini anataka ufanye👍🤝🤝
Kweli kabisa Kuna binadamu wako kwaajili ya kuharibu kesho za watu na Mungu uwaanawahaibisha sana tu ongera sana sana Kamanda wangu ni bonge moja la nyimbo nzuri sana Mungu akubariki sana sana
Bravooo God bless you kijana juhudi yako katika kumtumikia Mungu ni kubwa naye Nuru yake na iaangaze juu ya kila ufanyalo ili azidi kutumia. Umefanya vizuri zidii kupiga hatua Pius, hongereni sana nyote❤️
Hii ngoma kiboko huku kwetu inafanya vizur bro, Hongera saaana, tunataka piano lingne, ila hii DEAR LORD ni mwisho kweli umefunga mwaka, na Umefungua amwaka Pius🔥🔥🔥🔥
oooh ni fire 🔥🔥 nilifurah ulikuja kwa Pro. Aldo x🙌🙏🙌🙏
Asante sana ubarikiwe
Praise God...🙌🏻
#ukasimama na wakaaibika #Jesus power , Dear Lord thank you
Injili iende mbele moto moto
Kazi Nzurii Keep it Up Boss Umetishaaaa🙌🙌🥰🥰👍👍
Kali Sana Naisikia Sehemu Zote Nazopita Mpaka Kwa Mama Nitilie Duh Ubarikiweee
Nyimbo inamafuta sna mtumishi mungi akuinue viwango vyajuuu zaidi
Hongera Kwa Amapiano Ya Yesu, Ujumbe mzuri, beat nzuri, vibe ya kutosha. Mungu awatangulie zaidi
Hongera sanaa dogo KAZI taaamu sanaa
Wow hongera sana Pius kazi nzuri sana
😍😍😍😍😍😍😍
Hapa umezinguaa
Congratulation mdogo wangu
Kazi nzur sankak
Congratulations brother kaz nzur
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ila kusema ukweri unajua kaka naamini utakuja kuishangaza Dunia na maelfu ya watu watamjua Mungu kupitia wewe WIMBO WAKO UMEKUWA BARAKA KWENYE KAMPUNI YA DALTONY FILAM Barikiwa sana🙏🙏
Bonge langoma 💥💥💥💥
Yes amen
Hongera sana wimbo mzr sana
U kill it dear😍
Goooo my son
Hongera sanaa nyimbo nzuri sana funga mwaka 🔥🔥🔥
🙏🙏
Congratulations 👏👏 keep on moving
Talented, ❤kazi nzur sanaa
Ubarikiwe
Mungu akubariki mtumishi iko vizur sana
Goma la mwaka ni soma #dear Lord
Woyoooo 🔥🔥🔥🔥Bonge La Ngoma
@@Sifa_film_tv72 Amen my Mom 🙏
Mungu akusimamie kijana ujumbe mzuli sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
💪🙏
Congratulations
Verry verry verry
I like the word #gospel amapiano#
Nyimbo nzur sana ndugu yangu Mungu aendelee kukupaka mafuta
NOTE
Tunza sana Mungu ndani yako.
Na kumsikiliza nini anataka ufanye👍🤝🤝
✨️🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana Hongera Mkuu Tunaufunga mwaka vizuri sana
Very Nice songg😘😘
Congratulations brother
Waoooh, umeuaaaaaa
💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Tunasubiriiiiiiiiiiii
Umetisha san mzee baba
Be blessed more brother❤much appreciate
Ni 🔥🔥 kazi nzuri mnoo
Kweli kabisa Kuna binadamu wako kwaajili ya kuharibu kesho za watu na Mungu uwaanawahaibisha sana tu ongera sana sana Kamanda wangu ni bonge moja la nyimbo nzuri sana Mungu akubariki sana sana
Nini mbaya jamaa wangu
Hawajui yote anafanya Mungu
Great great my lovely son keep it up forever
Nyimbo nzur kaka angu mungu aendelee kukupigania 🙏Katika kila hatua🙏🔥 DEAR LORD 🙏
👏👏congratulations sweetheart 💋 nice song May God bless your work,,,lovely from🇰🇪from your lovely one👌
Hongera Sana Mwana🎤🎸
Nice one dear,much love from Kenya 🇰🇪 🥳🥳🥰🥰🥰
💥💥💥💥👊⭐🇨🇩
Much love from Kenya bigup bro Wilson
congratulations man of God
Great
Achiaa vibeeeeeeee
Kaka next level
💥💥💥💥💥💥💥💥💥
💥💥💥💥💥💥💥💥💥
🔥🔥🔥
Bravooo God bless you kijana juhudi yako katika kumtumikia Mungu ni kubwa naye Nuru yake na iaangaze juu ya kila ufanyalo ili azidi kutumia. Umefanya vizuri zidii kupiga hatua Pius, hongereni sana nyote❤️
What a great move,, unajua ninavyokukubali. Kama ni koki imefunguliwa kwa kishindo kuwa unachotaka pacha. Nice job🔥🔥🔥🔥🔥
ASANTE MUNGU WANGU🙏
KWA KUNIPENDA KWELI UMENIKOMBOA🙏
unajua bro🙉
Great 👍 Job Dear Lord on the Air ❣️
🙌🙌
That's is not gospel service is gospel vibe a mean nyimbo sio ya ujumbe ni ya kufurahi ba kudance
Goma la mwaka ni soma #dear Lord
✈️✈️✈️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
congratulations man of God
🙌🙌
🙌🙌🙌
Asante my Dada
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera Kwa Amapiano Ya Yesu, Ujumbe mzuri, beat nzuri, vibe ya kutosha. Mungu awatangulie zaidi