Pole Sana Dada jenga msingi imara wa namna Ya kushinda vifungo kuombewa peke Yake haitoshi kama hutokuwa na msingi wa Neno la MUNGU ndani Yako sababu maombi hqyakuvushi ila yanakupa ushindi wa muda mfupi sana cha msingi Soma Neno kwa ushauri zaidi +255756742032
Utaratibu mnapangiwa na serekali mambo ya ibada!Mungu yuko wapi mtume! Umetumwa na nani? Mungu anapokutuma anakupa maelekezo ya kufanya kazi, leo wote mmehama mnaongozwa na wanadamu!
Ni jambo la baraka sana kumualika mtumishi wa Mungu Mwamposa katika kipindi cha Chomoza kutupa chakula cha kiroho kila Jumapili asubuhi.
Ubarikiwe baba tupo pamoja
Leo Wa Kwanzaa like zangu,nakusikuliza Dad.😍
Barikiwa 🙏 🙏 Sana mtumishi
God bless you man of God !
Amen
Nimebalikiwa sana
Amen my dady
Mwamposa MWENYENZI-MUNGU akupe Moyo mkuu
Naomba uniombee baba nina mapepo yananisumbua zaidi ya miaka 20.Sina amani na maisha yangu
Pole Sana Dada jenga msingi imara wa namna Ya kushinda vifungo kuombewa peke Yake haitoshi kama hutokuwa na msingi wa Neno la MUNGU ndani Yako sababu maombi hqyakuvushi ila yanakupa ushindi wa muda mfupi sana cha msingi Soma Neno kwa ushauri zaidi +255756742032
@@deusbngika2105 Amina
@@deusbngika2105 Amina
Utaratibu mnapangiwa na serekali mambo ya ibada!Mungu yuko wapi mtume! Umetumwa na nani? Mungu anapokutuma anakupa maelekezo ya kufanya kazi, leo wote mmehama mnaongozwa na wanadamu!
Umeshindwa kuelewa umuhim wa mamlaka
Kumbe huyu mchungaji ana hekima hivi mimi nilijua ni mpiga pesa tu duu! Kwel dharau hazifai
Asante kwa Kulijua hilo