SEAN PAUL ASHANGILIWA kuliko MSANII MWINGINE YEYOTE Kwenye SHOW Yake/TAZAMA Hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @nargishans2431
    @nargishans2431 20 годин тому

    Kawaida sana..Hapo wamejaa wahindi tu wangetaka wajae Simba angekuwepo.

  • @AliceZawadi-c3b
    @AliceZawadi-c3b 2 дні тому +2

    Hapa n kelele na wa tz hawaelewi anasema nn😂

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 День тому

    Tutoto twa 2000 tunajua ni msanii Mpya 😊

  • @IzackKinyunyu
    @IzackKinyunyu 3 дні тому +3

    izo ngoma apo zingine zina miaka 20 af bado moto

  • @calvinleemo5887
    @calvinleemo5887 3 дні тому +3

    Apa ndipo wakenya wanapotuzidi

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 3 дні тому +3

    Watoto wa elfu mbili naelewa kweli

  • @dallerbwoyniglo8675
    @dallerbwoyniglo8675 День тому

    Kuelewa jambo lingine vibe jambo lingine uelewe ni nots za mtihan kwani au chek ya malipo ya bank we enjoy ukalale uanze siku upya😂😂😂😂😂😂😂😂 🇹🇿

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 День тому

    Goma langu pendwa kutoka kwa sean paul temperature nimelisikia

  • @eliaskabiashara6946
    @eliaskabiashara6946 2 дні тому

    Does no matter what guy talk, aim to enjoy

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 День тому

    Haya wasanii wetu, mjisome hapo mwalimu mkuu kashika chaki. Maana zile vibe zenu za kipombe, miuno tu na micheni ka masonara, mashati kuvua ka mpo mpirani mukome.😂

  • @IzackKinyunyu
    @IzackKinyunyu 3 дні тому +1

    temperature wayback

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline 3 дні тому +5

    tunashangilia wengine awajui anachosena mchizi

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 дні тому

    Wakiishiwa soko ndo wanajua kna nchi inaitwa Tz tkpige show

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 3 дні тому +3

    Diamondplatinum anatakiwa ajifunze kupiga show kaama sean paul sio kutumwagia maji au kiki zake na zuchu stejini mambo ya kuzaliana na kufunga ndoa ndio maana sean paul hamjui

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 дні тому +5

    Sean Paul in the wrong place 😂😂😂😂

  • @honrimshot7827
    @honrimshot7827 2 дні тому

    Alafu munasema kenyans hakuna pesa wewe ndio una.......