Makonda alia hadharani baada ya kukutana na wastaafu waliotapeliwa nyumba Kunduchi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Subscribe kutazama video nyingine nzuri kwa kubofya… / @dar24media
    FACEBOOK: / . . TWITTER: / dar24news Tembelea dar24.com/,
    WEBSITE: dar24.com FACEBOOK: / dar24tz
    TWITTER: / dar24news
    INSTAGRAM: / dar24news ... FACEBOOK: / . . TWITTER: / dar24news Tembelea dar24.com/, Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / @dar24media WEBSITE: dar24.com FACEBOOK: / dar24tz
    TWITTER: / dar24news
    INSTAGRAM: / dar24news
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 285

  • @shkonlinetv1756
    @shkonlinetv1756 6 років тому

    nawapenda watu wanaopigana kwaajili ya wengine na ndo mkondo wa maisha.. life is a system, in the form of life, the great translation is love for others, fighting for. asante RC Makonda kwa upendo..

  • @josiahsimon490
    @josiahsimon490 6 років тому +3

    Welldone Mr Paul Makonda unafanya kazi njema sana nakuombea uje kuwa Waziri Mkuu au Rais.una roho njema sana

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому

    Jmn hata mimi machozi yalinilenga sana, mkuu wa mkoa Mungu awe pamoja na ww jmn... Nitakuombea ufanikiwe ktk kazi yako...amen..

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 6 років тому +7

    Kwa kweli inaumiza pale haki inapozulumiwa na kuzungushw.ilimrad tu watu wana pesa.Hongera sana Mh.Makonda.waache wenye midomo ya kukutangaza vibaya waendeleee.lkn wew ifanye kazi njema kwa wananchi wako.ipo siku Mungu atakulipa tu

  • @lilliankelvin6630
    @lilliankelvin6630 6 років тому

    Mungu akubariki Makonda akupe hitaji la moyo wako Amina

  • @monicaandrew8292
    @monicaandrew8292 6 років тому

    Mungu akupe nafasi zaidi uweze kuwafikia wenye uhitaji na matatizo mbalimbali

  • @pascalmaziku2705
    @pascalmaziku2705 6 років тому

    Safi sana rais wangu wa mkoa mungu akubaliki

  • @queenandrea5648
    @queenandrea5648 6 років тому +2

    Mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @allybomba4125
    @allybomba4125 6 років тому

    mungu akuzidishie katika kusimamia wanyonge kila kitu mungu hupanga

  • @abubakarsalim4188
    @abubakarsalim4188 6 років тому

    Asant sana mkuu wa mkoa Mwenyezi mungu akuzidishie imani hiyo hiyo .

  • @jinimahaba2739
    @jinimahaba2739 4 роки тому +1

    Moyo Wa mtu ndio unaotizamwa mengine tuwekege pembeni tunachoshukuru kazi zinafanyika hayo mengine tumuachie mungu ndo mwenye kujua waja wake tulivyo ila kwa yale yanayowezekana ya kibinadamu tuendelee kusapot kikubwa dua

  • @abdallahawadh4168
    @abdallahawadh4168 6 років тому +1

    mh RC mungu akupe Maisha marefu hakika mh rais wetu aliona na kukupa nafasi yawakuwatumikia watanzania hongera sana

  • @rafiahamadi5057
    @rafiahamadi5057 5 років тому

    Mimi pia nimelia baba yangu alikuwa daktari serikalini alipata stroku kwa ajili ya hizi nyumba akajitaidi akajega nyumba ya udogo wakapomoa waka mwabia hapo ni barabarani wakaambiwa wanauziwa nyumba za serikali walipie badae wakasema haziuzwi tena tukatolewa tukaanza kuangaika kutafuta nyumba ya kupanga baba alifariki ila kinacho ni uma mtu mmoja aliuziwa ile nyumba ya kotazi na anaishi mpaka leo ila mungu aka tusaidia mama alikuwa ni mwalimu akaweza kujenga nashukuru mungu bila hivyo tungiaibika sana makonda nasikia raha sana ukiweza kuwasaidia watu kama hao mungu akulinde

  • @muniramussa1530
    @muniramussa1530 6 років тому

    We ni kiongozi Nora🙌🙌

  • @siringitvilla2749
    @siringitvilla2749 6 років тому

    Ubarikiwe,na wakuu wa mikoa wengine mjifunze kwa ndugu makonda,

  • @isaackmakundi531
    @isaackmakundi531 6 років тому +6

    nimekukubali Mr Makonda endelea na moyo huo

  • @ireneranga7024
    @ireneranga7024 6 років тому +1

    Mungu azidi kukubarika kaka ..daaah

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 років тому +6

    Mungu akutangulie makonda

    • @lucassabida5471
      @lucassabida5471 6 років тому

      Shani Mbaruku
      Aisee makonda umenifurahisha natamani kumwona huyo mtu aliyewafanyia hao wazee, viongozi wa serikali hasa wakuu wa mikoa wengine waige mfano huo kuna dhuluma nyingi sana wanazofanyiwa watu katika nchi hii

    • @issakawanya648
      @issakawanya648 6 років тому

      Inshaallah kheri mwenyezimungu akupe mwisho mwema akuzidhishie hekma na afya na moyo wenye imani

  • @athumansaid8941
    @athumansaid8941 6 років тому

    Big up makonda

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 років тому

    Ubarikiwe sana makonda

  • @imeldasylvester2671
    @imeldasylvester2671 6 років тому

    Ubarikiwe kaka makonda

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 6 років тому

    Jaman hivi kwa nn viongozi wote msimuige Makonda Mungu akubariki siku zote za Maisha yako kamwe usibadilike

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 6 років тому +21

    MAKONDA KAMA MKUU WA MKOA NI MFANO WA KUIGWA. KAKANGU MUNGU ANAKUONA UNAYOWASAIDIA WANYONGE.

    • @aleyslaim4935
      @aleyslaim4935 6 років тому

      Teresea Masawe sanaaaaaa

    • @aleyslaim4935
      @aleyslaim4935 6 років тому

      Namkubali Sana huyu jamaa

    • @marcmaxim2930
      @marcmaxim2930 6 років тому +1

      Daaaaaah kna kipind nashindwa kujua mkuu unamoyo gan huo ww ni zaid ya binadam duuuuh ntaomba kila ck kwa ajil yako mkuu mung akupe uzima uendelee kuwasaidia wanyonge walio na wanaoteseka nasema amen BIG UP MAKONDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    • @zainabufeka5723
      @zainabufeka5723 6 років тому

      Dah huyu Baba mungu am bariki jamani

    • @bethajacobo6993
      @bethajacobo6993 6 років тому

      sana mimi sinak uwexo mbona agekuja anione

  • @martinesango9393
    @martinesango9393 6 років тому

    Mimi si mu tz ila Mungu amulinde malonda lwa kila kibaya cote

  • @georgeworkuerope1368
    @georgeworkuerope1368 6 років тому

    makonda mungu akubariki wewe ni wakipekee kabisa niamini wewe ni kiongozi mteule kwa watanzania.

  • @josephmwakabungu8385
    @josephmwakabungu8385 6 років тому

    Siamini kama hawa jamaa walioitenda familia hii kama watapona.Yaani matapeli moto wenu umewaka,huu moto si wa kuni za mbegu ya mihogo huu ni moto gasi,ole wenu mliozoea kutapeli mali halali ya watu na kuwalisha watoto wenu halamu na laana,huu mto(Makonda) haupitiki kirahisi,ni mto wenye kutisha,mto uhungurumao zaidi ya radi.MUNGU ahsante kwa ajili ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam PM.

  • @rosefidelis383
    @rosefidelis383 6 років тому

    mungu azidi kukupigania makonda mtetezi wa wa anyongenge

  • @stanslausmateru5416
    @stanslausmateru5416 6 років тому

    Hilo ulilofanya ni Jema sana kaka

  • @omanmobeela6153
    @omanmobeela6153 6 років тому

    Makondo sina la kusema kakaang nimelia cn jaman mungu kakupa moyo wa tofauti nataman hata siku moja nikushike mkono mungu akulinde

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 6 років тому +1

    Mungu akupe nguvu na na ushindi zaidi afungue milango yako ya baraka ni jinsi gani unaonyesha hujalewa madaraka bali uko kwenye hicho kiti kusaidia watu kweli,

  • @njugzkeith
    @njugzkeith 6 років тому

    Indeed there's a very difference in being human and human being.

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 6 років тому

    Aisee hua sipendi kuona mama akitokwa machizi

  • @nusurakajubu8785
    @nusurakajubu8785 6 років тому

    yani ww nakupenda mpaka nazimia

  • @fbhj443
    @fbhj443 6 років тому +1

    penda sana makonda wetu

  • @hellenabmollely2350
    @hellenabmollely2350 6 років тому

    wapo wengi wanaozurumia uje na Arusha

  • @mankomwita8692
    @mankomwita8692 6 років тому +1

    kwanini usiwe waziri mkuu hakuoni?

  • @alsam4881
    @alsam4881 6 років тому +10

    Hatujawahi kupata mkuu wa mkoa kama Mh. Makonda kabla yake,Nakuombea Mungu azidi kukupa moyo huo wa kuwajali wanyonge Ameen.

  • @happykipeya8516
    @happykipeya8516 6 років тому +10

    Jaman 😢 mimi nimeliya san kaka yangu makonda mungu akubariki 🙏 maana unajali san wanyonge❤❤❤

  • @hamiduchilumba2352
    @hamiduchilumba2352 6 років тому +3

    Muda mrefu tulikuwa tunahitaji viongozi wacha mungu,hakika mungu ametupatia.Ubarikiwe mkuu....!

  • @nyalajapaulo8469
    @nyalajapaulo8469 6 років тому +7

    Makonda hakutakiwa tu kuwa mkuu mkoa wa Dar es salam Bali kuwa mkuu wa mikoa yote anafanya mambo mazuri sana

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 6 років тому +6

    Tu naitaji taifali liwena viongozi wenye hofuya mungu tuu

  • @subiramwakingwe5140
    @subiramwakingwe5140 6 років тому +8

    Mungu akubariki sana Makonda hakika inakitwalia utukufu kupitia hayo inayoyatenda.

  • @innocentpaulchillu1512
    @innocentpaulchillu1512 6 років тому +8

    tunawahitaji viongozi kama wewe,Paul.ambao wenye moyo safi,roho njema Na upendo.God bless you man of God.

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 6 років тому +5

    makonda anajitaidi kwa kweli japokuwa iwe itakavyo kuwa Lkn kiukweli anajitaidi sana kijana MUNGU awe Pamoja na Wewe kaka

    • @justicemanase9208
      @justicemanase9208 6 років тому

      Ubarikiwe Mkuu wetu wa Mkoa. Mungu akulinde dhidi ya waovu

  • @myself4128
    @myself4128 5 років тому

    Ana uchungu sasa kulia hadharani ni ajabu gani? Waandishi wengine sijui mlipewaje vyeti????? Kwani Makonda hana emotions?? Kwani hatumii famu anatumia petrol???

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 років тому

    walikutakana makonda hadi walitumia wasanii wakushambulie kupitia nyimbo zao lakini wewe ulijishusha na hakika Mungu atakukweza kwa wakati wake na waliokudharau sasa wanadhalilika wenyewe.

  • @yasinkeita6722
    @yasinkeita6722 6 років тому +3

    Makonda anafaa kuongoza na anahofu ya mungu so Kuna watu wanamzidi elimu ila hawawezi kutenda haki wala kusikiliza wananchi

  • @64aaa
    @64aaa 6 років тому +10

    Mungu akubariki na akuifadhi kwa kila baya. InshaAllah

    • @bernadinangasi7664
      @bernadinangasi7664 6 років тому

      Makonda Sam time uko vizuri mno ,wewe ni kiongozi fanyakazi acha kuwachukia wapinzani ,yani uko vizuri kaka asilimia 100000000 zote nakupa Mungu akuzidishie maisha marefu

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 6 років тому

    akukinge na husda vijicho na mabalaa.. na endelea kutupigania wanyonge na maskini na wewe mungu atakusimamia zaidi ya unavyofanya... nakukubali mchapaka.. kazi...

  • @deborahgerald8756
    @deborahgerald8756 6 років тому

    Makonda makonda makonda! Ww umetumwa Na Mungu kuja kutusaidia sisi wanyonge! Mungu was mbingun akubarik mno!mno! Mno! Hakika Mungu katupa kiongoz bora na mwenye Roho y kipekee.

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 6 років тому

    ndugu yangu makonda.... sina cha kukuombea zaidi ya Kuja kua rais.... yaani wewe ni zaidi ya mtu... mungu akupe watoto wema na kizazi Chenye barka tele na nafanikio...

  • @hafsahamis2841
    @hafsahamis2841 6 років тому

    Nadhani nimechelewa kuiona hii video ya Mh Rc Makonda kusaidia chakula huyu mama,Sasa sielewi mwisho wake ulikuwaje kuhusu Familia hiyo kuipata Nyumba yao.Anayejua anijibu,Asante.

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 років тому +5

    Safi sana RC Mungu akubariki sana

  • @hafsahamis2841
    @hafsahamis2841 6 років тому

    Makonda kwa kumsaidia chakula huyo mama Mstaafu anayetaka kutapeliwa nyumba yake,Umejiwekea amali kubwa ya mbele ya Mungu,Mungu akulinde na chuki za wasiojua Shida.Amina.

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 6 років тому +1

    RC.Paulo Makonda He try to proof long the political readers...That Honest is an expensive than don't expect it from people.wanachi wanataka Vitendo namaendeleo vinavyoonekana nasio mnavyoviona nyinyi...MUNGU azidi kukupigania RC.PAULO MAKONDA

  • @azorysallah9304
    @azorysallah9304 6 років тому +3

    He is always the great and courageous leader..

  • @singosingojr6210
    @singosingojr6210 5 років тому

    Mungu akulinde na kukutunza mkuu wangu wa mkoa PAUL MAKONDA KWA KAZI NJEMA UZIFANYAZO

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 6 років тому

    Mheshimiwa Makonda MMungu atakulipa kwa Wema wako Amina, kutetea wanyonge si kitu kidogo, Mheshimiwa najua MMungu amekuchagua uwe msaada Kwetu

  • @reenesa
    @reenesa 6 років тому +6

    Mfano wa kuigwa, Bless your heart RC

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 6 років тому

    Mimi bana Mh P.M sina comments ila nashukulu mama aliye kuzaa hongera sana mama kwa top transfered wisdom 👏👏👏

  • @rahimyusuph9568
    @rahimyusuph9568 5 років тому

    Makonda umeniliza sana.. Asante sana mwenyezmungu akuzidishie ulipo pungukiwa Dah!!

  • @chikuluchidodokochiitingan340
    @chikuluchidodokochiitingan340 6 років тому +6

    Hongelaa sana Ndugu Yangu mungu akubalikii Sana'a .hofu ya mungu unayoo

  • @suleimannull4202
    @suleimannull4202 6 років тому

    Mwanzo nilihis kma ni kiki ila kwa sasa nimeanz kuzielewa jitihada zako brother na kwa hili nakupongez sana kw7 unasifa za kua kiongoz bora na unafaa ata kua rais wa Tanzania badala ya Magufuli kumaliz mda wake Hongera sana brother 🖒

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 6 років тому

    unajua Mimi ni mfuatiliaji mzur sana wa kazi.. na kila Siku huwa nakuombea....... dua zangu zote baadae uje kua rais..... amin

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 6 років тому

    Mungu akulinde mkuu wa mkoa wa Dar kiukweli una moyo waubinadamu nafwatilia sana nyendo zako unavo saidia wanyonge ubagui n wadini gani wala kabila gani kweli Mungu aliwaletea watanzania rais magufuli nae pia akajua kuchagua viongizi watakao endana n ilani yake ya hapa kazi tu mm n mkenya kutokea mombasa lkn naikubali sana serekali yenu mbarikiwa rais wa Tanzania n mkuu wa mkoa wa Dar

  • @salimselemani250
    @salimselemani250 4 роки тому

    Huyu mkuu wa mkoa ni wa tofauti sana hebu mungu akujaalie basi mh uchukue jimbo letu la ukonga angalau kama utatufikisha pazuri unaonekana ni mwenye kuchapa kazi sana

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 років тому +11

    hongera makonda mtetezi wawanyonge

    • @boitumelongaka6245
      @boitumelongaka6245 6 років тому

      Hata Ufanye nini ukiwa kiongozi si wote watakaokupenda. BG up Makonda Mungu akusimamie! Mungu akulinde!

  • @myself4128
    @myself4128 5 років тому

    Hii video ilitakiwa kuwa na millions hit lakini wabongo watacomment udaku wa wema na diamond mambo ya kipuuuzi kabisa ndio utawaona wanafuatilia udakudaku tu kuhusu maisha ya watu

  • @misigopatrick8868
    @misigopatrick8868 6 років тому

    Mimi ni mkenya na nimelia kwa huzuni sana baada ya kuwatazama wazazi hawa. Hakika mkuu huyu wa mkoa wa Dar, Mungu wetu akupe maisha bora na marefu ukawasaidie wengi ambao wamekosa raha maishani mwao.

  • @josephprosper9172
    @josephprosper9172 5 років тому

    Sema kweli usilo likuwa nisawa na usiku wa giza mweshimiwa makonda ni ni weng hawakupend lakini isisaidie kitu mungu akishakupenda bass zid kuwa na moyo kama uwo broo

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 6 років тому +5

    hakika Mungu atakulinda makonda

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 6 років тому

    nikuite mdogo wangu makonda mungu akubariki umenitoa machozi kwakweli mungu atakulipa kwa wema wako mola akulinde akupe afya nikijana mwema

  • @msangichristina299
    @msangichristina299 6 років тому

    MUNGU akuzidishie mh makonda,kwa kuwa na moyo wa guruma n baraka,naamin family hiyo itarud katik aman yao..

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 5 років тому

    Wish kenya 2ngekua na viogosi kama hawa hapa kasi yao ni kuimba kwendesha magari kubwa na wakiona maskini hawesi fungua kio ya gari wala kumugusa na mkono

  • @marywilliam2572
    @marywilliam2572 6 років тому

    hasante Mungu kwa maana wewe ni Mungu wa wote ..... Mungu awabariki viongozi wote watendao haki

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 років тому

    Mungu akupe miaka mingi mkuu wangu wa mkoa wa DSM ww akika ni mfano wa kuigwa sio mtu wa maneno maneno ni wa vitendo akika nafasi kubwa za uongozi zinakuja kwako piga kazi baba

  • @Shiff06
    @Shiff06 6 років тому

    mheshimiwa mkuu wa mkoa kwaukweli umetuliza sana mungu atakulipa hapa duniani na kesho akhera ameen kwakuwa faraji hao wazee wetu

  • @Shiff06
    @Shiff06 6 років тому

    mheshimiwa mkuu wa mkoa kwaukweli umetuliza sana mungu atakulipa hapa duniani na kesho akhera ameen kwakuwa faraji hao wazee wetu

  • @alanjose6471
    @alanjose6471 6 років тому

    jmn huyu kaka huyu nizaidi ya kiongozi bora nahisi nikiongea mengi nitakosea zaidi yoyote Mungu akubariki mno

  • @christinamajid1553
    @christinamajid1553 6 років тому

    Ninakukubali sana makonda Mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema ninatamani sana ungekuwa huku kwetu mwanza

  • @Kidotii
    @Kidotii 6 років тому

    Wacha watu wakuseme ila Mungu anatia muhuri utumishi wako na Taji yako inakusubiri Mbinguni!

  • @glorydonad8280
    @glorydonad8280 6 років тому +6

    nakupongeza Paul makonda.

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 років тому

    Eeee, Mungu wetu wa mbinguni mzidishie balaka mheshimiwa makonda na umjalie kwa kila jambo

  • @solangeirakoze7718
    @solangeirakoze7718 6 років тому

    jamani Mungu akubariki sana mkuu makonda kwakwel nimeitizama hadi na mimi macozi yanamiminika inaula sana

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 років тому

    Dah we Kaka wewee sijui nikuandikie maneno gani zaidi ya Mungu akulinde na akubariki kwa kila jambo

  • @g8metalwolkshoptupombeyamw959
    @g8metalwolkshoptupombeyamw959 6 років тому +4

    asante sana makonda nimelia sans kiukweli nimeumia sana

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 років тому +7

    Mungu akubariki Sana mkuu Yesu akushike na nguvu zake

  • @ابوعشر
    @ابوعشر 6 років тому

    Mungu akukusanye na wewe kama unavyo kusanya ndugu zako mungu akupandishe daraja la juuuu kabisa

  • @jasonhiphop2589
    @jasonhiphop2589 6 років тому +1

    To be honest hii imenigusa sana.Huyu ni Makonda wa Dsm.Kuna wakuu wamikoa pia amba naimani kwenyemikoa yao matatizo yapo kama haya.Kuna wastafu leo wanamadai juu ya Serikar,jamii na hata kesi za kifamilia ambapo kukosa kwao nguvu na uweze hakizao leo zimepolwa na wengine wapo vitandani na hakiyao inangojea ujio wakiongozi kama Mako au ww mwenye mamlaka.Hongera sana Makonda

  • @williammajani2152
    @williammajani2152 6 років тому

    Hongera sana kaka Makonda kwa hili Mungu akukumbuke umefanya zaidi ya Nafasi yako.

  • @fatumafashiondesigner1461
    @fatumafashiondesigner1461 6 років тому +5

    Jamani huyu kaka safi sanaa

  • @sadickallykingengena4034
    @sadickallykingengena4034 6 років тому

    Big up rc choz limenitoka kiukweli iwe na mikoa mingine yapo haya sio dar tu

  • @mubamaabadi1213
    @mubamaabadi1213 5 років тому

    Mungu muongoze kwanza makondo aje upande wa haki Maaana moyo wake unastahili kwako

  • @revocatusmakoye1344
    @revocatusmakoye1344 6 років тому

    Mungu akubariki sana jembe

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 років тому

    Mpka nimelia jamani huyu mama ana uchungu sana,Mungu akulinde Kaka Makonda,🙏🙏

  • @artisttigisa5529
    @artisttigisa5529 6 років тому +6

    Lazma tukupe urais makonda

  • @bakarbaraka3497
    @bakarbaraka3497 6 років тому

    Nakukubali sana Makonda,, una huruma, heshima, daima niko upande wako.

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 6 років тому

    Makonda acha uongo uliikuta hii inchi nzuri toka kini hebu acheni kulaghai wananchi

  • @kenethmagwila1425
    @kenethmagwila1425 6 років тому

    Big up sana mkuu wa mkoa poul makonda kwakutenda Kazi bila uonevu safi sana

  • @zainabboo3205
    @zainabboo3205 6 років тому

    Watuwananisahau sana kama ikosiku wataziacha malizote walizozulumu