We jamaa una fanya analysis vizuri...ila unashida ya kuwa biased kwahiyo unapoteza credibility ya kila kitu....hakuna uhusiano wa goli la Dube na issues ambazo umezielezea... hilo goli halikuamua mchezo ... kama ulitaka mfano sahihi iko mingi Sana na umeikwepa kuitumia kwasababu ya ushabiki ...kuna penalties za kutosha zimetolewa na ndizo zimeamua mchezo...very good examples... Shame on you... nenda kawe msemaji wao...
Yaani umeona ya dube tuuu hapo unakera

Bro unaongea fact ila nawe ukianza kupewa pesa ili uwaponde watu flani utakua kama edo na Oscar wazee wa miamala
Acha ujinga.Magoli ya Penati ya hovyo hukuyaona?
Huna maana na wewe