YAA RABBI SWALI - DHIKRI KUTOKA MTWARA KWA DARUWESH ROCKET 2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 6 місяців тому

    hihi ndodini.mungu wape nguvu.mashekh wetu watuongoze vyema.akika zikir ndodini.

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 6 місяців тому

    Kwanza chunga sana kauli zako apokuna.mabwana wakubwa ndugu yangu

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 6 місяців тому

    Wewe ndugu yangu nenda kasome kisha utajuwa nini wanakifanya hawanipenzi wa mungu zikir ndodini ndugu yangu shida.ampendi.kusoma.ndoshida nenda kasome

  • @nyumbayadua9057
    @nyumbayadua9057 3 роки тому +2

    Maasha Allah Allah Atube Nafahati za Mabwaana wa kubwa kwa Baraka na Utukufu wake Allah Allahummah Ameeen

  • @shaabannasibu2222
    @shaabannasibu2222 3 роки тому +1

    Kila bidaa ni upotevu ,Na huu ndio upotevu hakuna dhikri hapa ni upuuzi Na kuchezea dini ya Allaah , Allaah awaongonzeni ufuate dini ya sawa aliotuachia mtu salama Na salama ziwe juu Yake

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      Hii ni mila ya nabiy ibrahima as. Kasome dogo Acha u zuzu

    • @muslihallyiddi
      @muslihallyiddi 3 роки тому

      Kwani dhikri ni nini kaka?
      Usiseme hakuna dhikri hapaa wakati ata definition ya dhikri huijui ....
      Tuambie dhikri ni nini? Ndio uongee mngine

  • @sashashaibu6821
    @sashashaibu6821 2 роки тому

    Hizi nyakati zirikuwa safikabisa Sasa dunia imebadirisha kirakitu Mimi

  • @gorahamad6587
    @gorahamad6587 3 роки тому +1

    Hongeren sana kwa kufanya jambo jema kabisa

  • @hamisijob5647
    @hamisijob5647 3 роки тому +3

    Allah anihifadhi na ujinga wakutokujua Quran na Sunnah Kama Hawa viumbe

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 роки тому

      Usilolijua Nibora Ukakojoe Nakulala. Nasikila Usilolijua Nibidaa

    • @abdillahmaulid7204
      @abdillahmaulid7204 3 роки тому

      @@nurdinmfamau3493 hii twaijuwa NI bidaa

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 роки тому

      @@abdillahmaulid7204 Khatari Iliyokuwepo Isijekuwa Bidaa Niwewe.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      @@abdillahmaulid7204 hii ndio DHIKRI Safi kuliko zote. Hapo nikiisikia tu mwili unanisisimuka najiona nipo karibu zaidi ya Allah sw

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      Weye unaejua quran katafute sherehe ya Nano la quran linalosema AWWAHUN

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 7 місяців тому

    DUH hii BIDAA mmetoa SAYARI GANI??? maana sjaiskia kwa umma wowote huko nyuma
    ila watanzania wazushi ndo nawaona wanafanya huu uzushii

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 3 роки тому +3

    Allah awaongoze

  • @binseif2216
    @binseif2216 Рік тому

    Huu ni mtihani Sana

  • @gorahamad6587
    @gorahamad6587 3 роки тому

    Tunakualiken na sisi kwetu tumbatu kichangan mfunguo sita Inshaallah

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 6 місяців тому

    mashalla

  • @jemedarmohamed3644
    @jemedarmohamed3644 2 місяці тому

    ما شاء الله

  • @mwanahamisihalidi1387
    @mwanahamisihalidi1387 2 роки тому

    Mashalllaaaa mungu azidi kutuongoza

  • @khamissleman-oi1bq
    @khamissleman-oi1bq Рік тому

    Nimeipend mno

  • @zainasaidi9218
    @zainasaidi9218 2 роки тому

    masha Allah ❤️❤️🌟 🕋🌙🕋🌙⭐🙏🙏🤲

  • @jumasungura1293
    @jumasungura1293 2 роки тому

    Tumtegemee allah

  • @ahmadabdalla4483
    @ahmadabdalla4483 2 роки тому

    Allah ❤️

  • @daruweshimohamed981
    @daruweshimohamed981 3 роки тому

    Ameen

  • @tamimumelly3581
    @tamimumelly3581 3 роки тому

    Huyo mzee nimchafu sana

    • @sharifkeda7109
      @sharifkeda7109 3 роки тому

      Karma Baba yako

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 роки тому

      Umekuwa Kama Nzi Kutua Kwenye Uchafu navidonda.

    • @tamimumelly3581
      @tamimumelly3581 3 роки тому

      @@nurdinmfamau3493 pita kushoto

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 роки тому

      Napita Kulia. Nipite Lushoto Mimi Msambaa. Mshukuru MOLA Kwakukupa Usafi.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому +1

      Katika huo uchafu unaouona ndio Allah sw huficha vipenzi vyake msivijue

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 3 роки тому +2

    هداكم الله أهل البداع والغرافات

    • @abuuminya8746
      @abuuminya8746 3 роки тому

      الله يغفرك

    • @abuuminya8746
      @abuuminya8746 3 роки тому +2

      sio allaah awaongoze allaah awazidishie kuongoka

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 3 роки тому

      @@abuuminya8746 hayo maneno ni yako. Wanazuoni na mashaykh wanawaambia mukhaalifiin kuwa Allah awaongoze sisi na wao. Sio awazidishie kuongoka. Hakuna uongofu wa kati na kati. Ni aidha uongoke au upotee. Na ndo mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam akasema yatatokea makundi katka umma wake (wa kiislamu) 73 na yoteeeeee yataingia motoni isipokuwa kundi moja. Alipoulizwa ni lipi hilo akasema ni lile linaloiishi dini yako kama navoishi mm na maswahaba zangu. أو كما قال عليه الصلاة والسلام.
      Kwahy hakuna ukati na kati. Hao wamepoteaaaaa

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 3 роки тому

      @@abuuminya8746 kiarabu cha sawa ni kusema الله يغفر لك.

    • @rajabulukwainnalillahwainn2279
      @rajabulukwainnalillahwainn2279 3 роки тому

      @@eng.saalim8646 lete hojja mezani na sio kusema watu wa bidaah

  • @haleemanakupendasanailamuh668
    @haleemanakupendasanailamuh668 3 роки тому

    Mashaallah

  • @إلىاللهمرجعناجميعا

    *Asnt dhikr nzur

  • @muhammadabushehe359
    @muhammadabushehe359 3 роки тому +2

    Huu ni ujinga

    • @abuuminya8746
      @abuuminya8746 3 роки тому

      kunauzekano mkubwa kuwa ww ndie mjinga

    • @abdillahmaulid7204
      @abdillahmaulid7204 3 роки тому

      @@abuuminya8746 asiye jua ujinga Basi huyo NI mjinga zaidi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      Katika utukufu ndio upo hapo. Mawalii wengi wamepatikana hapo

    • @muslihallyiddi
      @muslihallyiddi 3 роки тому

      Yani kumtaja Allah na mtume ni ujinga ALLAH AKBAR!!!!
      أذكر الله ذكرا كثيرا
      Mtaje Allah sanaaaaaaaaa (utajo mwingi)
      Na hapo ndo nnaemsikia Atajwaa ...yaani unachukia sisi kumtaja Allah na Mtume
      Au unatak tumtaje diamond
      Au wataka tumtaje diamond....

  • @hassaniissa4085
    @hassaniissa4085 3 роки тому +1

    mmmmhh mtihan kweli,mtume Ndio kufundisha dhikri kW sampuli hii??????? Watu tusome dini

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 роки тому

    MashaAllah

  • @iddyjohn1032
    @iddyjohn1032 2 роки тому

    Mie sisemi jambo kwa hao wanao jiita wao WATU wa dini sunna sana wao ni answaaar n.k mie huwapuuza tu.........mie niache na kile naamini simwaas muumba bac wewe macho yako yaona nakosea mie nasema sikosei bc.
    Wale mabwana zetu waliofunga vilemba na majoho huku wameshika majamvia wacheza mashairi mbalimbali tena Mashekh wakubwa mbona hamsemi wala hamuoni kubwa ni haramu??
    WAPUMBAVU NYIE....
    NA MASHAIRI GANI NDY HARAMU HARAMU!!!!??????????

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 3 роки тому +1

    هداكم الله أيها الرافض