MashaAllah Tabaraka Allah.... twashukuru sheikh wetu kwa da'awa zako unazo tupatia.... twamuomba Allah atujaalie tuwe wenye kusikiliza mawaidha na kuyafanyia kazi
Assalam alaikum wa rahmatullahi wa barakat. Nimejitahidi kutafuta kwenye youtube sijaona mwanzo wa kisa cha nabii Mussa a.s naomba utuwekeye sisi wenye hatukubahatikiwa kuiona in shaa Allah
Shukran ktv. Nawashauri video msi foword inakua inaenda fast kiasi kwamba baathi ya maneno yana rukwa. Pia hizo ni aya sasa mkiwa mnapeleka video fasta aya haiwi sawa na tutakua tupo makosani. Acheni video kama ilivyo ili tusikie vizuri
Mungu akupe kila la kheri shekhe wetu othuman maalim ww pamoja na sisi amin
MashaAllah Tabaraka Allah.... twashukuru sheikh wetu kwa da'awa zako unazo tupatia.... twamuomba Allah atujaalie tuwe wenye kusikiliza mawaidha na kuyafanyia kazi
Mashaallah tunaelimika kupitia mawaidha yako sheikh Othman allah akujalie umri mrefu dunia uzidi kutuelimisha inshaallah.
Mashallah sheikh Othamn Maalim tunakuombea kheri ww na sisi kwa pamoja. Allah akujaalie kila kheri ktk maish la ya duniani na akhera. Amin
Allah akujaze heir sheikh Othman maalim
Yarabi mzidishie elimu yake na sisi utujaalie tuwe na elimu amin yarabi
Allah amekuleta Alhamdulillah najivunia sana uwepo wako ulamaa wetu mashaAllah Allah akulipe pepo ya firdaus amiin
alhamdulillah jazakallahu khair dawa tamuuu
mashallah mola akuzidishie maarifa zaidi ahsante kwa mawaitha
Ma Shaa Allah ya Sheikh, BarakAllahu feek
Mashallah, nakupenda sana shekhe Othman Maalim, Shukrani kwa mawaidha Allah akulipe jannah.
Inshaallah
mambo saum
@@suleimanshaban591 Safi tu mzima wewe
Allah mjaalie umri mrefu sheikh Othman maalim ili azidi kutuelimisha. Amiin🙏
asante sheikh Othman kila la kheri tunakuombea
Mashaaaallah mashaaaallah jazakalh khayra
Allah akujaze kheri na thwawabu tele shekhe wetu❤🙏
ما شآء الله 💐💞
الله يبارك فيك الشيخنا 🌹
asanten kwa video za dini tunakumbuka akhera Allah akulipen jaman
Allah atakulipa kwa kuitumikia dini
Mashaalla MW MUNGU akujaalie akupe umri mrefu tunafarajika sana namawaidha yako
Mashaa Allah sukran ya Othman
BaraakaAllahu FiiQ. Nimejifunza mengi kupitia kisa hiki.
Shukran sheikh Othman Maaalim
Sheikh uko vizur Sana Allah akujalie kila la kheri
Mashaallah mungu akujalie umri mrefu ustadh
Mashaaallhmungu akuzidishiekipaji nawengine tufikiehuko
Mashallah I love you so so much sheikh,I love everything about you, ahsante kwa mawaidha
Mashaallah....
Allah akuhifadh shekh wetu akupe umri mrefu Amini Amini
Shukran jazzakallahu khery yah Sheikh othman Maalim, Allah akulipe jannah 🙏
Mashallah shekh
Maa shaa Allah. K 📺 tz on line hongerezen kw hili safi sana tupo nnje kama tupo nyumban
Mubarak asate Sana nimikubari Sana umituerimisha Sana mungu akujarie mema
ALLAH akupe umri mrefu uendelele kutupatia mawaidha Inshallah
Inshaallah kwel kabisa
Mungu ampe maisha marefu in shaa allah
Shukran Sheikh wetu
Mashaallah Othman maalim wa mawaidha mazuri Allah akulipe kila la kheri
Shukrani sana ustadhi Othman
Mungu akujaze kheriii sheikh wwtuuuu🙏
Jazak Allahu khayr
Mashallah shekhe wetu mungu akupe maisha marefu Sana inshallah.
Mashallah Allah akubarki akupe misho mwema ,(samina) my
Allah maak yaa Othman wa shukran jazillah baarak Allahu fik*
Masha Allah mawaidha ni mazuri sana
Allah akujaliye
Masha ashallah Kisa kizur
nice sheikh othuman allah akulipe kherii njema
Mash Allah
manshaallah shekhe athuman
More love ❤️❤️
Shukran sheikh othman
Mashallah..
Mashallah
Shuqran may Allah bless as
Mashalla Allah
Mashallha mungu akuzindishie
alhamdullillwah
Allah akbar
Ahsante
Assalam alaikum wa rahmatullahi wa barakat. Nimejitahidi kutafuta kwenye youtube sijaona mwanzo wa kisa cha nabii Mussa a.s naomba utuwekeye sisi wenye hatukubahatikiwa kuiona in shaa Allah
Shukran
MashaAllah , shurkan sana
masha allah
Naam
Masha'Allah
mashallah
Mengi twafunzwa na othumani maalim ila je twazingatia
Je wewe wazingatia?
asalam alaykum, Ahsanteni kwa mawaidha mazuri, Allah awalipe kher
Jaman naomba niwaulize hiv mama yake nabii musa anaitwa nani
Mashaa ALLAH kwa visa venye mazingatio
Mimi naomba Maalim Othman atutolee kisa cha bibi Asiyah Binti Muzahi please!!!
🙏🙏🙏
MashaAllah
Shukran ktv.
Nawashauri video msi foword inakua inaenda fast kiasi kwamba baathi ya maneno yana rukwa. Pia hizo ni aya sasa mkiwa mnapeleka video fasta aya haiwi sawa na tutakua tupo makosani. Acheni video kama ilivyo ili tusikie vizuri
Asante sana modaux wetu kwa kuwa pamoja nasi...hayo ni matatizo ya kiufundi laking Inshallah tunayafanyia kazi
najash jejeje Exactly my
Kumbe mlikuwa nyinyi KTV TZ Online wakati mnamhoji Sheikh nlikuwa nazungumza na mtu
kisa kizur
Yani hothmani yeye mzee wavisa tu duh
mashaallah tabaarakallah
Mashaallah
Mashallah
mashallah
masha ALLAH
Masha'Allah
Maasha Allah
mashallah
Mashallah
Mashaallah
MashaAllah
Mashaa Allah
Mashallah
Masha Allah
Masha Allah
Yarab mjaalie huyu kiongozi wetu popote alipo mjaalie afya ilio bora na piya mjaalie moyo wa subra azid kutupa yalio mazuri kama haya insha Allah
Yarab mjaalie umri mrefu azid kutufungua vichwa
Allah akulipe mema maaliim wangu
Masha Allah