Viongozi wajitokeza mtandaoni kuomba msamaha baada ya kuupigia kura mswada wa fedha 2024
Вставка
- Опубліковано 28 вер 2024
- Viongozi wajitokeza mtandaoni kuomba msamaha.
Wengi wapata wakati mgumu kutangamana na wananchi baada ya kuupigia kura mswada wa fedha 2024.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
About TV47
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: www.tv47.digital/
Facebook: / tv47ke
Twitter: / tv47news
Instagram: / tv47ke
TikTok: / tv47_ke
Telegram: t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__
Hamkuweka chini , vijana ndio waliweka chini!!!!! Accept the truth.
We shall not forgive them.
What about the lives lost?
Kwanza wanakuwaga na mdomo sana
Yess bunge litajengwa na hao watoto
Exactly
Ruto left them under the bus 😅
Venye ameachwa na USA kwa mataaa ....Hawa watu sio viongozi😂
Then wanaclap...this guys wako na kiburi mpaka they can't think. They stopped thinking..Ruto must go.
They thought Ruto will be there 24/7 for them.
Ruto na tumbo yake
Maji yakimwagika hayazoleki...the blood of our fellow comrades was spilled on the streets. We want them to resign and go home to there families.
Forgiving them, is voting them out period
Correct
Mambo ni matatu
1): Ruto
2): Must
3): Go!
Thank you,for now hatutambui these government
Hahaha uyo interviewer bana ATI "Tuwasalimie" 😂😂😂
What for after watoto wa wenyewe kupigwa risasi
Na kunyongwa ka mbwa so painful
Wanezoea tumesema ku resighn ndyo suluhisho
Ombeni Mungu msamaha but as for us.... RUTO MUST GO plus the Yes MPs who voted YES
Why are you lamenting i said one day you wake up and find Ruto out of power what will happen to you. You thought you're clever than those are in power 80 % of you were rigged in by Ruto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is the time you have to no that You're not chosen to please ruto but to work for your nation
Msamaha na watoto wa watu wamekufa
You must go!
Hakuna msamaahhh apo wacheni unjiga😂😂😂😂😂😂
Hawa wanadharau sana wananchi😭😭😭😭😭😭juu ya 2 million Vijana wamekufa manze for no reasons,,, Mp whoo voted yes damu haigemwagika😭😭
Safi Sana Wakenya , nimewapenda. Heshima kutoka Tanzania
We will never forgive them wenye wali Vote Yes Yes, Mungu awa curse mpaka vizazi vyenu. Mpaka tumepoteza maisha ya watoto wetu Shame on them.
Kwanza wakiwa alive ndo wajue uchungu WA kuzika mtoto ni kusema nini, wabinafsi watupu hawa MPs.
😢Shenzi saana,,,waennde nyumbani
Mp from Turkana voting yes,I wonder
Just resign,if indeed they are genuine
Kiatu ni two milion
Helipads while pple r suffering kiburi kiburi
Kusema kweli hii financial bill doesn't belong here
You never heard them in the first place!
They must pay......✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼
Bado hatujamalizana na nyinyi msitu adress kwa mkutano wowote na mngoje 2027 tujue sisi na ruto nani ndio boss wenyu!!!😢
Kwanini mlipitisha, watu wamekufa je mnawez kurudisha uwahi wawo.
After mumeshatulia watoto wetu hampatii Kura zetu tena plus huyo Ruto wenu
*Wakwende na uko wao ni kids wavote yes then waje kwomba msamaha*
Mafi nyinyi mutaena home soon shenzi😂😂😂
They not only owe Kenyans an apology, but they should also resign ASAP. Nobody has time for shenanigans
NO MERCY!!!!!!!!!
Hawa watu waongo Sana Kenya tumeelefuka
Hakuna msamaha,mumetuzoe sana,Gen Z shika wao 😡😡😡😡😡😡
Warudi parliament na waombe na microphone za parliament na bado wajue hawatambuliki na wananchi
Nyinyi kazi menu kwisha Tunawangoja kwa uchaguzi
No mercy for the wicked
Hatutaki hao walichangua Ku support Ruto badala ya mwananchi wa Kenya wakwende kabisa.
Gen z kudos 💪💪💪💪
They messed big time and can keep their apologies to themselves
If you voted you voted, don't come near us, kitawaramba!!!!
No forgiveness. They were called on phones and got sms from Kenyans
TumeTENGA forgiveness ; will the people mliua resurrect? Forgiveness ombeni mungu
Hawa wa yes waende home.
Sio kamaa
They should place 2m on the table first before saying sorry
Wake mlipiga yes you need to be impeached
Resign don't apologise, nkt
Hakuna kujadiliana na mafala. Fresh elections. New leaders. Ruto na Kenya Kwanza must go
Aron is a honest leader
Haiwezekani vijana wamepoteza maisha halafu munaomba msamama wakazi Gani nyinyi ni watu wabaya sana
Waresign tuamini they are truly sorry
We don't teloret drama future is the most important to the life of the people
Peleka 2M kwa familia walifiwa. Utaongea are ikiwa kwa mfuko?
Ata kesho utafanya hivyo hivyo.
Na kama unfeeli very guilty, solution ni kamba.
We will never forgive you,labda you bring back the lifes of those who passed away
They voted yes because they already had 2 millions shillings in their pockets.
Abolish heavy salary for all political class position
And all cdf money to be directed to education and make education from grade 1 to university free
Acheni kujifanya wema.munaogopa kifo nyoko nyinyi
Watatii kabsaaaass
Nisawa,je waliokufa kwa sababu yenu?nyinyi pia niwakuuliwa.
We will visit you one by one
Hatuna haja na msamaha wao
Ata waki jitetea. Wata salimiwa tu. It's too late
Too little,too late
Why are they sorry, did they do something wrong unknowingly ?
You must be seen behind the tent...
It's late to apologize...
Hama kenya
no mercy yyyyyyy
Waende wakakule 2m zenye ruto aliwapea maumbwa sisi ni criminal and goons, how comes now sisi ni watoto wenu wakati mliua half of them, shaimon on you
No forgiveness just save kenya resign
No wakufe mbaki they were passing the bill for Kenyans to continue suffering
After blood shed never....we should not listen to this ppl,what they wanted it happened n let it be ...we can't use force to get justice..
Hao mabro wa aaron watoke tuhakikishe
Waombe msmaha wakiwa nje. Watu waliaga dunia kutokana na kiburi walionayo.
Tunataka kuwapiga mawe, wasijaribu kukujia huku kwanza ndindi nyoro na ichungwa
Kama hatungekuwa rada wangekuwa behind curtains wakitucheka vile sisi ni mafala
Mnatoa wapi nguvu za kukaa kusikiliza hizi nyangau
Mkae huko huko wasaliti nyinyi mlilipwa!!!!
rudisheni ile hongo mlipewa ya 2m each
If anyone wants to apologize to Kenyans for betraying them in parliament, they should first raise the young men and women whom they killed by their acts of commission or ommission. They should go to the hospitals and meet those fighting for their lives in peril after suffering gun violence. Anything less than that is unacceptable.
Mutajuwa..amujui..sisi..ndiyo tulieatuma..sasa.
Mumejisa..cho..chakike
Mtaenda nyumbani
Pesa zenye walilipwa zote warejeshe
Waende nyumbani wote, bure kabisa!
Hafai ata kupewa time ya kuongea
Wakija twawatandika adi wawe na akili wapumbuvu sana na maduka yao tutaiba
Maji yakimwagika...
Enough is enough tooo late to apologise
Mlifaa mkatae before hiyo maandamano too late
All who voted yes must go!
Apology not accepted
Ruto must go
The likes of Harun has portrayed that kalenjins can not be trusted with governing a state
Wabunge ndo wenye makosa sio Rais aliwatuma
Wote wanaenda nyumbani
2027 mtaenda nyumbani direct
hakuna kitu mnatuambia
Cheruiyot hata kama unaongea 15000 unakanyagia chini????
Hatuwataki na wala hatutaki misaada yao wasubiri 2027