TUNDULISU MDA HU AFUNGUKA WANAO TAKA KUAMA CHAMA NI WANGAPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @VicentLooken
    @VicentLooken Годину тому

    Utachangiwa kila ck utachwokwa tafuteni miradi

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 12 годин тому +5

    Saluti kamanda unaewanyima usingizi majambazi wanaojivisha wema ambao hawana

  • @MasungaLaurent
    @MasungaLaurent 9 годин тому +1

    Suburi bb auzwe ako auzwe ndo useme uchwara

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 33 хвилини тому

    Majizi hayawezi kaa kwenye haki lazima yatakimbilia timu dhuluma

  • @VicentLooken
    @VicentLooken 55 хвилин тому

    Mbona ulitoka na kuropoka kwenye mitandao

  • @JamesMwakasonda
    @JamesMwakasonda 5 годин тому

    Walimu wana kazi. Kurara, kuhairisha, kuluka, kubalikiwa, kura na kurara hapo hapo.😂

  • @JumbeMuhaji
    @JumbeMuhaji 4 години тому +1

    Maneno haya yaandikwe kwenye kitabu cha gines iliwengine wayasome nimaneno yenye mbolea

  • @VicentLooken
    @VicentLooken Годину тому

    Cku zote ulikuwa makamu hukujua hill mbona hukushauri

  • @VicentLooken
    @VicentLooken Годину тому

    Ulisema unaweza kabadilishe katiba mbona umea.nza kuonyesh udhaifi

  • @CleyKobelu-i6e
    @CleyKobelu-i6e 2 години тому

    Kwani leo kaka unaongea

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana Годину тому

    Bolahao wasalitiwahame

  • @HaroldTarimo-g6f
    @HaroldTarimo-g6f 10 годин тому +2

    Jamani hivi vichannel vyenu uchwara hata kuandika kiswahili inakuwa shida
    Ni kuhama siyo kuama
    Hakuna siyo akuna
    Aibu go back to school

    • @mpallaupdates
      @mpallaupdates  10 годин тому

      Choko wewe Uchwala kazi Ya mama Yako

    • @KhalfanShaban-x4x
      @KhalfanShaban-x4x 6 годин тому

      Uchwara sio uchwala😂😂😂😂😂😂​@@mpallaupdates

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 5 годин тому +1

      ​@@mpallaupdatesSijawahi kuona utoto wa namna hii! Unafanya biashara hnagombana na mteja wako! Je, unafahamu fika ethics za biashara?

    • @ga2revocatus91
      @ga2revocatus91 3 години тому +1

      Mwandishi hajielew mteja mfalme😂😂😂😅😅au haoni kama amekosea kuandika​@@SylvesterKameo

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 години тому

      @ga2revocatus91 Hajakosea kidogo, maana katika kichwa cha habari kakosea maneno yafuatayo:- kuama badala ya kuhama; mda badala ya muda; hu badala ya huu; akuna badala ya hakuna. La ajabu, akielimishwa anaishia kutukana!