Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
MB zangu zote huwanamaliza kumsikiliza huyu mgogo mungu akusimamie huduma yako izidi kukuwa zaidi
Mungu azidi kukubariki Mchungaji.Mahubiri yako yanawasaidia na kuwaguza wengi.
Napenda sana kumsikiliza maana mifano anaeitoa ni kwel kabisa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mumbiri unatusaiindia kwa doa mungu akumbariki undelee kuturusha kwa Mungu.
MUNGU akutende wema🙏 kwa mawe hayo hatukosi kupona
MUNGU akubaliki Sana mchungaji mgogo kwamaubili yako umetuponya wengi amen
Amina Baba mchungaji mungu akubariki zaidi
Mungu akubariki ktk huduma hii
Amen mungu azidi kukuinua mchungaji wahubiri ukwel ulipo kwa viusasa
Ubarikiwe baba, napenda sanakukusikiriza, huwanafarijika, mchungaji.
Wapi kamba,,,ya nn ,,,nataka kujinyonga🥰🤭🤭🤭
Nabarikiwa sana na Maombi yako Baba Mchungaji Mungu hazidi kukuweka kwenye Viwango vya Juu ili Watu walisikie Neno Wapone!
Mie tena nimebarikiwa na mahubili yako,
Uyu apewe uwongozi wowote serikali Mahan uwa afichi chochote Mh magufur muangalie uyu mh Daniel mahana daa ata kuwa kiongozi bora.
Yap!
Nayapenda mahubiri yako yapenya kwenye kichwa changu wewe ni zaidi ya mwalimu naunga mkono mafundisho yako
Amina kwa mafundisho Mazur maana unawafungua watu ubarikiwe mtumishi
🙏🏿 mwenye masikio na asikie
Safi sana mchungaji
Hakika nabalikiwa sawa na mahubili yakp mungu azidi kukuinua
Hakika Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine
nashukuru sana pasteur yesu akubariki sana
mchungaji ata mimi simhaminitena mmewangu, kiujumla Siitaji kuwa na mwanamme
amen baba mchungaji barikiwa sana
Amen ubarikiwe mchungaji Mungu azidi kukuinua katika viwango vingine ninabarikiwa sana na mafundisho yako
Baba unafundisha vzr kama hawa wtu watakuelewa
Mzuri kaka
Nena ukwel mzeee wangu
Yani Mungu kakuchagu utuambie ukweli tupone
Yaani uyu mzeee kiboko kabisa
Asante mchungaji nimekuelewa
Kuna kajamaa kapo pembeni kanakera sana, kanaitikaitika "yes sir"
Sana sana
😂😂😂😂😂kanogewaaaa
Hata Mimi kanikera anatoka kwenye yale makanisa ya kitapeli
Yani kama imekaa nae karbu unamhama
Asante baba kwa neno
Yaani huyu mchungaji namkubali sn
ukweli kabisa mtumishi wa mungu
Katunze kamuke kakoo😂😂😂mtumishi barikiwaa
Uko vizuri.
UBARIKIWE BABA MCHUNGAJI
Amen
kutoka kenya napenda sana maubiri yako
Huo ni ukweli mchungaji juu ndoa nyingi zimeisha juu ya kukosa uaminifu
Mchungaji alikuwa Deliverance Church Kenya au Tanzania?Amenibariki sana. God bless you!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kenya
Anachepuka kimawazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amina Mtumizi Wa mungu
We "yes sir" zako kapigie huko huko unatukera.Si tunataka kusikiliza mambo ya muhimu
mungu akutende mema
Kweli kabisa kabisa
Eti unawasomeshea wenzako duuuuuh haaahaaahaaaahaaaa........
Kweli kabisa
Haleluya.
Unavunja ndoa za watu wewe mchungaji, hayo mahubiri yako hayafai kabisaaa
Inauma kweli.
hakika mchunhaji nakupenda ila namba yako na hamu nayo
Umesema ukweri
Hapo Sawa mchugaji
Waache tabia mbya sn hil nafurh sn jmn mchungji
Hilda
Barikiwa
Our EOur enermy
Umeweza mzee dislike ni wenye umeguza barikiwa
Sema baba
Home work,home,home home work 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Shikamooo mtumishi hahahaha
napende mahubiri yako yana mafunzo mazuri
MB ZANGU AZIENDI BURE
11:06 nime penda sana!!!
Mahubili ni mazuri lakini anasoma kitabu gani na mlango gani ?????
Tina Mayani kwani habari za paulo, zaburi na wengine walisom a wapi wakayatoa kwetu.
Mafundisho haha si mahubiri
ushasema mazr yabebe ivovo
Kwa hiyo hujaelewa kinachoelezewa unata kitabuFungua mahali penye amri 10 "USIZINI"
Pole Tina maana umeumua kweli
🙏🙏🙏🙏
Mmhahubiri haya machungu
Home home home...... Work
Pasuaa chungaj
I'm Adobe
Kweli kabisa pastor hata nimeamua kukaa bila bwana kuliko madharau ya kila siku na bwana hanisaidii mimi wala watoto wake mwenyewe
t7zkc5 tpxgimPole sana
@@denismuyonga443 Asante, Mungu akubariki sana brother
Mungu akubaliki kwa mafundisho mchungaji
t7zkc5 tpxgim Ubarikiwe mchungsji
👫
Amen.kweli.abisa
😂😂mafuta haileweki
MB zangu zote huwanamaliza kumsikiliza huyu mgogo mungu akusimamie huduma yako izidi kukuwa zaidi
Mungu azidi kukubariki Mchungaji.Mahubiri yako yanawasaidia na kuwaguza wengi.
Napenda sana kumsikiliza maana mifano anaeitoa ni kwel kabisa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mumbiri unatusaiindia kwa doa mungu akumbariki undelee kuturusha kwa Mungu.
MUNGU akutende wema🙏 kwa mawe hayo hatukosi kupona
MUNGU akubaliki Sana mchungaji mgogo kwamaubili yako umetuponya wengi amen
Amina Baba mchungaji mungu akubariki zaidi
Mungu akubariki ktk huduma hii
Amen mungu azidi kukuinua mchungaji wahubiri ukwel ulipo kwa viusasa
Ubarikiwe baba, napenda sanakukusikiriza, huwanafarijika, mchungaji.
Wapi kamba,,,ya nn ,,,nataka kujinyonga🥰🤭🤭🤭
Nabarikiwa sana na Maombi yako Baba Mchungaji Mungu hazidi kukuweka kwenye Viwango vya Juu ili Watu walisikie Neno Wapone!
Mie tena nimebarikiwa na mahubili yako,
Uyu apewe uwongozi wowote serikali Mahan uwa afichi chochote Mh magufur muangalie uyu mh Daniel mahana daa ata kuwa kiongozi bora.
Yap!
Nayapenda mahubiri yako yapenya kwenye kichwa changu wewe ni zaidi ya mwalimu naunga mkono mafundisho yako
Amina kwa mafundisho Mazur maana unawafungua watu ubarikiwe mtumishi
🙏🏿 mwenye masikio na asikie
Safi sana mchungaji
Hakika nabalikiwa sawa na mahubili yakp mungu azidi kukuinua
Hakika Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine
nashukuru sana pasteur yesu akubariki sana
mchungaji ata mimi simhaminitena mmewangu, kiujumla Siitaji kuwa na mwanamme
amen baba mchungaji barikiwa sana
Amen ubarikiwe mchungaji Mungu azidi kukuinua katika viwango vingine ninabarikiwa sana na mafundisho yako
Baba unafundisha vzr kama hawa wtu watakuelewa
Mzuri kaka
Nena ukwel mzeee wangu
Yani Mungu kakuchagu utuambie ukweli tupone
Yaani uyu mzeee kiboko kabisa
Asante mchungaji nimekuelewa
Kuna kajamaa kapo pembeni kanakera sana, kanaitikaitika "yes sir"
Sana sana
😂😂😂😂😂kanogewaaaa
Hata Mimi kanikera anatoka kwenye yale makanisa ya kitapeli
Yani kama imekaa nae karbu unamhama
Asante baba kwa neno
Yaani huyu mchungaji namkubali sn
ukweli kabisa mtumishi wa mungu
Katunze kamuke kakoo😂😂😂mtumishi barikiwaa
Uko vizuri.
UBARIKIWE BABA MCHUNGAJI
Amen
kutoka kenya napenda sana maubiri yako
Huo ni ukweli mchungaji juu ndoa nyingi zimeisha juu ya kukosa uaminifu
Mchungaji alikuwa Deliverance Church Kenya au Tanzania?
Amenibariki sana. God bless you!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kenya
Anachepuka kimawazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amina Mtumizi Wa mungu
We "yes sir" zako kapigie huko huko unatukera.Si tunataka kusikiliza mambo ya muhimu
mungu akutende mema
Kweli kabisa kabisa
Eti unawasomeshea wenzako duuuuuh haaahaaahaaaahaaaa........
Kweli kabisa
Haleluya.
Unavunja ndoa za watu wewe mchungaji, hayo mahubiri yako hayafai kabisaaa
Inauma kweli.
hakika mchunhaji nakupenda ila namba yako na hamu nayo
Umesema ukweri
Hapo Sawa mchugaji
Waache tabia mbya sn hil nafurh sn jmn mchungji
Hilda
Barikiwa
Our
E
Our enermy
Umeweza mzee dislike ni wenye umeguza barikiwa
Sema baba
Home work,home,home home work 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Shikamooo mtumishi hahahaha
napende mahubiri yako yana mafunzo mazuri
MB ZANGU AZIENDI BURE
11:06 nime penda sana!!!
Mahubili ni mazuri lakini anasoma kitabu gani na mlango gani ?????
Tina Mayani kwani habari za paulo, zaburi na wengine walisom a wapi wakayatoa kwetu.
Mafundisho haha si mahubiri
ushasema mazr yabebe ivovo
Kwa hiyo hujaelewa kinachoelezewa unata kitabu
Fungua mahali penye amri 10 "USIZINI"
Pole Tina maana umeumua kweli
🙏🙏🙏🙏
Mmhahubiri haya machungu
Home home home...... Work
Pasuaa chungaj
I'm Adobe
Kweli kabisa pastor hata nimeamua kukaa bila bwana kuliko madharau ya kila siku na bwana hanisaidii mimi wala watoto wake mwenyewe
t7zkc5 tpxgim
Pole sana