EXCLUSIVE!! DOLLAR 1M KUMPELEKA MZIZIE WHYDAD MCHONGO MZIMA UPO HIVI!! PACOME NAE...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @arielhansalbert5631
    @arielhansalbert5631 20 днів тому

    1. Nimefurahi mno kwa Mzize kufikia hapo alipo
    2. Kwa mashindano yaliyopo mbele yake, avumilie kwanza, atazidi kuonekana na wengi zaidi
    3. Pesa hata ikiwa bora kiasi gani, itaisha, atulie ataenda Ulaya

  • @grolyligola8959
    @grolyligola8959 20 днів тому

    Mzizeee mzize angalia wanachita kukufanya kama utakuwa na mungu wako muulizr Ili akuper jibu nikukupotea kiwango chako

  • @manarakassimmanara3132
    @manarakassimmanara3132 21 день тому +3

    Kama nikweli nilikuwa na ushauli Kwa kijana, usikubali kwenda Kwa waarabu WA Africa, Mimi nilivyo chukuliwa mwaka 79 kwenda kucheza ulaya kulikuwa mambo haya hakuna, sijui mamilioni Malaki kulikuwa hakuna, na niliondoka Nikiwa na umri WA miaka 23 na nikawa katika historiya ya Tanzania kuwa mchezaji 2 kucheza mpira prof,

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 21 день тому

    Aaiende, hawa warabu ovyo muulize Msuva alivyoteseka na hata Mayele mnaona anavyonyimwa mipira ili asipate sifa

  • @HasanSadala-rh5re
    @HasanSadala-rh5re 20 днів тому

    Waarabu wauwaji waa vipaji,msuva Yuko wapi?

  • @nasonchisota6241
    @nasonchisota6241 20 днів тому

    Asiende huko warabu wa Africa ni washenzi tu, ataenda kukalia kuti then kipaji kinashuka badala ya kupanda

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 21 день тому

    Waarabu wakiona Timu inakuja na moto na inaweza kuwapa upinzani wanatafuta namna ya kuidhoofisha, Mzize ndio wanamtaka ila kumpa nafasi ndo itakuwa mtihani mwisho wa siku hataonekana na timu kubwa. Labda kama Mzize atafuata maokoto ni sawa aende.

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 21 день тому

    Wongo sanaaaa nyie😮😮😮

  • @AbasIddy-wj8yc
    @AbasIddy-wj8yc 21 день тому

    Ushaur wangu asiende kwa waarab aende ulaya

  • @nasonchisota6241
    @nasonchisota6241 20 днів тому

    Hapahapa kama mbele tu, ndo tunapanda hivo

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 21 день тому

    Nyoooooo!!!! Hawa waarabu wanakuja na mchezo ule ule aliofanyiwa simba,mnakumbuka??? Yanga Ni tishio kwao.sasa hapa ndio wakati wa kuwasitukia Hawa mamuluki WA kiarabu.nooooo Muzize nooooo usiendeeee.chukua kombe Kwanza na Yanga,ikitokea Hilo bc dili lake litakuwa Mara Tano ya hili la sasa.😊😊😊

  • @ModestPaullo-cb6bv
    @ModestPaullo-cb6bv 9 днів тому

    iyo pesa nindogo kwa mzinze kwakazi anayo ifanya

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 20 днів тому

    Acheni ujinga Kuna sehemu mnakosea .Waarabu hawna maana ss tunatakafika mbali'Hao wa ULAYA Wamchulie YANGA

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya 21 день тому

    Kwa timu za kiarabu simshauri hata kidogo, endapo dau litapanda basi wamruhusu pia

  • @Feiboy_tz
    @Feiboy_tz 21 день тому

    Mzizeeeee noma

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 20 днів тому

    NZINZE AMECHAFIKA MJINI MJINI GANI TENA ACHENI UJINGA MNASIFIZ MPAKA MNAKOSEA

  • @nelsonfidrish5058
    @nelsonfidrish5058 21 день тому

    Asiende kwanza angoje msimu ujao

  • @user-rr4eq7se4e
    @user-rr4eq7se4e 21 день тому

    eheeeee

  • @user-rr4eq7se4e
    @user-rr4eq7se4e 21 день тому

    😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍