The message (ujumbe), the eloquency (ufasaha wa ufikishaji), the rhythm (uzani) says a lot about you👌Hongera sana Mjomba, Ujumbe sahihi, Mahala sahihi, Wakati sahihi na Namna sahihi ya ufikishaji 🙏. Wale Mainjia Tunaotamani Kwenda Ikulu tujuane 😀 Hongera sana Mheshimiwa Rais, Mungu Akuongoze katika kulitumikia Taifa Letu Tukufu. Amen.
Kweli kabisa watu wote wanapaswa kuwachukulia wanawake kwa heshima kubwa. Ni heshima na tunu kubwa binadamu woooote wamepitia kwenye tumbo la mwanamke👏👏 Tusiwachukulie poa mama zetu, dada zetu, mabinti zetu, na shangazi zetu. Heshima kwa mama jamani....asante mrisho kwa kutukumbusha na kusisitiza 🙏❤
Mladi alianzisha mjomba Magu ilipaswa ata akumbukwe hapa ila imekuwa ndivyo sivyo Kiukweli Mama hana jipya alilo lifanya katika nchi Nje ya kuungua masoko Bei kupanda mafuta Royal tour Ngorongoro watu wanauwawa Wafanya biashara wajasiliamali block Wakulima pembejeo zimepanda alafu leo etii mpoto anakwambia mkulia anamshukuru Mama dhaaa😭😭😭😭 MUNGU iangalie Tanzania 🙏🙏🙏
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba endelea kumuongoza kumsimamia kumlinda kokote aendapo raisi wetu pamoja na wasaidizi wake wote ewe mwenyezi MUNGU
The message (ujumbe), the eloquency (ufasaha wa ufikishaji), the rhythm (uzani) says a lot about you👌Hongera sana Mjomba, Ujumbe sahihi, Mahala sahihi, Wakati sahihi na Namna sahihi ya ufikishaji 🙏. Wale Mainjia Tunaotamani Kwenda Ikulu tujuane 😀
Hongera sana Mheshimiwa Rais, Mungu Akuongoze katika kulitumikia Taifa Letu Tukufu. Amen.
Kweli kabisa watu wote wanapaswa kuwachukulia wanawake kwa heshima kubwa. Ni heshima na tunu kubwa binadamu woooote wamepitia kwenye tumbo la mwanamke👏👏
Tusiwachukulie poa mama zetu, dada zetu, mabinti zetu, na shangazi zetu.
Heshima kwa mama jamani....asante mrisho kwa kutukumbusha na kusisitiza 🙏❤
Mashaa allah mama kaupiga mwingi Jana tulikuwa sote Oman Leo Tanzania tunakupendaaaaaa mamaaaaaaa yetu
Hongera sana lais samia
Hongera kwa kuvaa buti leo mjomba balozi wa maji tanzania
Mrisho Mpoto nimekukubali sana
Mladi alianzisha mjomba Magu ilipaswa ata akumbukwe hapa ila imekuwa ndivyo sivyo
Kiukweli Mama hana jipya alilo lifanya katika nchi
Nje ya kuungua masoko
Bei kupanda mafuta
Royal tour
Ngorongoro watu wanauwawa
Wafanya biashara wajasiliamali block
Wakulima pembejeo zimepanda alafu leo etii mpoto anakwambia mkulia anamshukuru Mama dhaaa😭😭😭😭 MUNGU iangalie Tanzania 🙏🙏🙏
Heko kwa Mama!
Jamaa nalikubali
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba endelea kumuongoza vyema raisi wetu
Genius
Injinia wa Iringa 🤣🤣🤣
Baba na mama wote ni mashujaa bila baba hakuna kitu kwa mama.
Mwenye kiswali chake uyu
Mafuta hayo mnayompaka yabakizeni msiyamalize yote, mbakizieni nayamwaka 2025 mumpake tena mafuta yakumfariji atakapokua anang'olewa ikulu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna hoja.Uhasidi tuu wakusumbua.
Eleza shida yako Serikali ikusikize.
Uhasidi si hoja
Iwe hivyo iwavyo mm tunae 2030 hapo ndio mtasema kama mnakufa kufeni 2
Kwawenu uchungu
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba endelea kumuongoza kumsimamia kumlinda kokote aendapo raisi wetu pamoja na wasaidizi wake wote ewe mwenyezi MUNGU
Aaaamiyyni
Wouey
Robuging
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌️
Kubukeni munapeda kuwapa kiburi wahisiram munasema rais
Mpoto hauna jipya ushapunguzwa makali
Nitho p namuona
Msifien tu lakini nyienyie mtakuja kulaumu kuleni hela tu ila nisaswala la muda tutaona kama tutafika
Mpoto wewe ni maana halisi ya msanii. Una gani mashahiri sio mchezo
Mpoto bhana
Wasanii mna shobo
Mpoto pubavu sana wewe t unahangaika hivi maji shezi wewe
Mpuzi wewe siumeupiga mwingi pumbavu
Sio magu wetu ambaye alibeba maono ya African?
Unasifia ujinga Fala ww njaa tupu
Tafuta kula yako
Mboto sioni unasifia nni hakuna chochote kinachoendelea